Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Bila kujua ndo atajiaribia zaidi maana bwana yule wa ubungo atamsaula hadi boxer kweupeeeee saa saba pale mataaa
 
  1. Kama litatokea hilo nitapata waswas na aliyemteua na aliyeteuliwa hivi haya mambo yanaweza kutuletea machafuko hivi siuweke vyeti mezani kenge wewe kwanini utusumbue? Mm nimekibia kituo kwa sababu hiyohiyo lafa wewe
 
Wapeleke Kamati teule ya Bunge au tume guru ya Majaji tuujue ukweli,kesi ya ngedere unampelekea Nyani!
 
Lakini kwa maoni yangu tuhuma /kosa la kutumiaia cheti cha mtu mwingine linahitaji tume
Tume ya nini? ,au ni mkakati wa kuzunguka zunguka mpaka ukwell upotee? Gharama ya kupeleka waandishi 10, ni kubwa,na hakutamaliza tatizo Labda warudi na vyeti.
 
Safari yoote kwa hisani ya wafadhili wake: Mbinguni Media, MSG, Hamorapa, yeye n.k
 
Huu ni upuuzi
 
Makonda hauhusiki na kanuni za mtumishi wa umma yeye ni mteule wa rais anaweza kutumbuliwa wakati wowote mtumishi wa umma hawezi kutumbuliwa mpk apewe onyo mara tatu na mabaraza ya nidhamu yahusike.
 
Ahaaaa badala ya kutoa vyeti anaenda kuwapa wamaccm wa huko maiki wamtetee
 
Halafu wasukuma walivo wazito kuongea mbona ataumbuka! Labda atoke na wahojiwa Dar wakajifanye wenyeji wa Koromije
 
Hivi na mawaziri wameshajipongeza kutimiza miaka miwili madarakani?
 
Bila kujua ndo atajiaribia zaidi maana bwana yule wa ubungo atamsaula hadi boxer kweupeeeee saa saba pale mataaa
Haitasaidia cha msingi apeleke ushahidi alionao mahakamani ili akikuta na hatia afungwe tu.
 
Si jukumu lake kumpeleka daudi mahakamani isipokua yy atasaidia tu kutoa ushahidi pale vyombo vinavyohusika vitakapomchukulia hatua dab
 
Kumbe sasahivi ukienda kuomba kazi mahali huna haja yakuonyesha vyeti bali unaenda na video zako zikionyesha watu waliohojiwa wakikushuhudia kwamba wewe ulimaliza form four shule fulani na hukupata div. zero
Hahaha
 
aweke vyetti mezani kwa nini anapapanya fedha kutengeneza filamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…