Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

Hao walioandaliwa wajiandae kutoa ushahidi mahakamani. Ninachotaka kujua huyu mtu kwanini system inamlinda kwa nguvu zote. It does not make sense. Lazima kuna kitu tumekimiss. There is a missing link somewhere.
Kwa maana hiyo serikali yetu sio ya kuaminika,kumbe ina watu wake wa kuwalinda hata wakiwa na hatia.
Serikali ya awamu ya tano ni tatizo.
 
Mambo mengine tunapoyezeana muda tuu.....

Obama aliambiwa c raia wamarekani, akatoa nyaraka watu wakahakiki wakakubali n raia mwenzao.

Magu kauliziwa mshahara wake akautaja hadharani

Sasa ndugu BASHITE kuonesha vyeti tuu anashindwa au aseme vimeliwa na mchwa kule "CALL ME J".[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nshachoka na story zake kila kukicha.
 
  1. Kama litatokea hilo nitapata waswas na aliyemteua na aliyeteuliwa hivi haya mambo yanaweza kutuletea machafuko hivi siuweke vyeti mezani kenge wewe kwanini utusumbue? Mm nimekibia kituo kwa sababu hiyohiyo lafa wewe
Utatukana matusi yote usipoenda mahakamani kupeleka ushahidi akiwemo aliyeibiwa cheti imekula kwako.
 
Waandishi 10 mpaka wakamilishe taarifa si chini ya mwezi na nusu hivi ..
Kwa haraka haraka, kwa siku mwandishi mmoja atalipwa kadirio la 200,000 /=

200000 * waandishi kumi * chakula * malazi * usafiri * siku 30 * report * kipind live cha kuelezea report ya waandishi * watakaonunuliwa * ( ongezea nlilosahau )

Gharama za huu ujinga zinatoka kwenye kodi zetu au ni zake mwenyewe .?
 
Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.

Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi watakutanishwa na kuongea na ndugu pamoja na walezi wa Kiongozi wa Mkoa na watatembelea Sekondari ya Pamba—Mwanza. Katika Sekondari hii watapata wasaha wa kupewa taarifa mbalimbali kuhusu Kiongozi wa Mkoa na kuongea na uongozi wa Sekondari.

Baadaye waandishi wataelekea Kijijini Koromije ambako watatakiwa kuwahoji watu kulingana na orodha iliyotolewa na Kiongozi wa Mkoa.

Kazi itakamilika kwa kuandaa taarifa katika mifumo mbalimbali ya kieletroniki (maandishi, sauti na video) zitakazolenga kuonyesha kuwa yote yaliyosemwa na kushuhudiwa juu ya Kiongozi wa Mkoa ni uongo. Taarifa kamili kutoka katika ziara hii zitarushwa mitandaoni na kupelekwa kwenye vyombo vya habari.

Lengo la ziara hii si kuibua ukweli bali kutaka kuufanya ukweli uchanganyikiwe kama njia ya kufifisha sakata la “BASHITE” Ifahamike kwamba huu ni muendelezo wa mikakati ya Mwana Kipenzi cha Mfalme baada ya kufurahia keki ya mwaka mmoja madarakani. Nakuuliza; hivi mawaziri waliambiwa wakibainika kufanya sherehe baada ya kuteuliwa watafanywa nini?

Sasa naanza kuelekeza lawama zangu zote kwa Makao Makuu nyuma ya Dstv Oysterbay nchini Tanzania kwani hawatutendei haki Watanzania juu ya suala hili ambalo hata Kiushahidi tu lipo wazi lakini hata Wao wenyewe ukweli juu ya hili suala la Makonda na Vyeti Feki wanaujua na sijui ni kwanini wameshindwa au wanaogopa kumpa ukweli Mkuu wao Mteule wake juu ya hili suala. Hii mbegu wanayoipanda kwa Watanzania kwa sasa siku ikija kukomaa wanaweza kushindwa hata kuivuna na ikageuka kuwa chungu kama siyo shubiri Kwao. Niwatakie tu kila la kheri katika Kuliratibu hili suala la Makonda ili wamsafishe, wamdanganye Mteule wake kisha azidi kuendelea Kuongoza Mkoa. Yangu macho!!!!!!!
 
Anachezea Pesa Bure.
Angetoa Vyeti kwanza.

Pia swala hili sio la kipropaganda ni la kuchunguzwa kwa kufuata sheria na kanuni za utumishi wa Umma.

Bashite hajui namna ya ku-"deal" na ishu za umma. Anakuja kiushilawadushilawadu.

Nakuooona bashiteeeee unakula tu Ubuyuuuuuu

Pesa anazochezea ni kodi ya mtanzania kama mimi na wewe
 
Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.

Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi watakutanishwa na kuongea na ndugu pamoja na walezi wa Kiongozi wa Mkoa na watatembelea Sekondari ya Pamba—Mwanza. Katika Sekondari hii watapata wasaha wa kupewa taarifa mbalimbali kuhusu Kiongozi wa Mkoa na kuongea na uongozi wa Sekondari.

Baadaye waandishi wataelekea Kijijini Koromije ambako watatakiwa kuwahoji watu kulingana na orodha iliyotolewa na Kiongozi wa Mkoa.

Kazi itakamilika kwa kuandaa taarifa katika mifumo mbalimbali ya kieletroniki (maandishi, sauti na video) zitakazolenga kuonyesha kuwa yote yaliyosemwa na kushuhudiwa juu ya Kiongozi wa Mkoa ni uongo. Taarifa kamili kutoka katika ziara hii zitarushwa mitandaoni na kupelekwa kwenye vyombo vya habari.

Lengo la ziara hii si kuibua ukweli bali kutaka kuufanya ukweli uchanganyikiwe kama njia ya kufifisha sakata la “BASHITE” Ifahamike kwamba huu ni muendelezo wa mikakati ya Mwana Kipenzi cha Mfalme baada ya kufurahia keki ya mwaka mmoja madarakani. Nakuuliza; hivi mawaziri waliambiwa wakibainika kufanya sherehe baada ya kuteuliwa watafanywa nini?
Kuna watu washajimilikisha nchi. Basi tu
 
Si jukumu lake kumpeleka daudi mahakamani isipokua yy atasaidia tu kutoa ushahidi pale vyombo vinavyohusika vitakapomchukulia hatua dab
Kwa mujibu wa sheria ya nchi raia yeyote anaweza kumpeleka mahakamani raia mwingine iwapo atakuwa na ushahidi kuwa raia huyo amevunja sheria fulani ya nchi. Najua unangoja jamhuri impeleke mahakamani kisheria jamhuri kwa maana ya polisi haiwezi kumpeleka mtu mahakamani kwa kufuata porojo za mitandaoni. Sheria inataka mtu akalalamike kwanza. Kumbuka kuna zoezi la kuhakiki vyeti linaendelea lkn haliwagusi wateule wa rais na wanasiasa.
 
Kwa maana hiyo serikali yetu sio ya kuaminika,kumbe ina watu wake wa kuwalinda hata wakiwa na hatia.
Serikali ya awamu ya tano ni tatizo.
Hatia hutamkwa mahakamani pekee mahakama gani imemtangaza makonda ana hatia? Au gwajima amekuwa mahakama?
 
Hao Waadishi Bila Shaka Itakua wa TBC tu Ndiyo Wenye Kufanya Upuuzi Kama Huo.
 
Yanini kujisumbua na kujichosha kote huko, ni nini kinachomfanya ashindwe kutoa vyeti ili kuzima huu mjadala?

Huyu jamaa amechanganyikiwa bila shaka. Anafanya mambo ya kijinga kijinga tu.

Atahangaika lakini mwisho wa siku kinachohitajika ni vyeti.
Tulieni c mnataka ukweli
 
Kwa mujibu wa sheria ya nchi raia yeyote anaweza kumpeleka mahakamani raia mwingine iwapo atakuwa na ushahidi kuwa raia huyo amevunja sheria fulani ya nchi. Najua unangoja jamhuri impeleke mahakamani kisheria jamhuri kwa maana ya polisi haiwezi kumpeleka mtu mahakamani kwa kufuata porojo za mitandaoni. Sheria inataka mtu akalalamike kwanza. Kumbuka kuna zoezi la kuhakiki vyeti linaendelea lkn haliwagusi wateule wa rais na wanasiasa.
Kumbe unadharau hili jukwaa kwa senti anazokupa Bashite? Kumbuka hata Mtukufu malaika huwa anajifunza kupitia mtandao huu, unakumbuka kosa alilofanya kwenye teuzi za wabunge likasabbisha yule NW Possi akatenguliwa ubunge na kupewa ubalozi?
 
Back
Top Bottom