Waandishi wetu wa habari, Rutto na Museveni wako Arusha, mna kifua cha kuwauliza maswali kuhusu kutekwa kwa Kiiza Byesigye? Labda Pasco Mayala tu!

Wahuni at work
Wamekuja Kuangalia maghoroofa ayao ndugu na makampuni yao ya utaliiiiii
 
HAKUN WA KUULIZA HAO NI MADIKTETA WANAWEZA KUKUUWA
 
Ila Watanzania kwa kujitoa akili hatujambo, unataka wawaulize kina Museveni kutekwa kwa Besigye mbona wewe husaidii kuuiiza kuhusu kina Soka na Ben Saa nane waliopata madhira hapa hapa pua na mdomo tu.

Dah! Watanzania kwenye unafiki nchi nzima ni phd holders walahi
 
Mbona unapenda kujidanganya sana?Sasa Pascal ndiyo atauliza nini wakati hao unaotaka waulizwe anawaona kama CCM wenzake?What a laughter!
 
Tanzania, waandishi wa habari hamna, labda vichekesho/mauza uza ndo vimejaa kila kona.. 🤒🤒🤒
 
Lugha inawashinda au woga tu? Kumbuka wote wamekula kitabu, ujiandae na maswali yako,sio wale wanaogonga meza maswali yakiwashinda.
 
Pascal yule chawa?
 

..pia wanapaswa kuuliza kuhusu vita vya DRC.

..haiyumkini nchi wanachama wa EAC wakawa wanashambuliana kivita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…