Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?

Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
Hapo ni kwamba tayari wanashangilia Tanzania kuwa koloni la waarabu. Tumeisha. Sijui watz tutaamka lini usingizini!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa ni Wasukuma, muone huyu Ng'wanageni wa Ng'walula, Tarafa ya Jisuge Wilaya ya Kishapu Shinyanga Vijijini. Ukienda Muscat au Dubai lakini hasa Muscat utawakuta wengi tu wanaongea Kisukuma na Kinyaturu. Mmoja ni huyu hapa, Wasukuma wote huimba wakilewa.
 
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?

Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
Duh hali ni mbaya sana kwa yanayoendelea! Tuwe makini na uongozi wa sasa!
 
Hao ni Watanzania walio kwenye mji mtakatifu Iraq walipokwenda kuhiji katika miji mitakatifu ya madhehebu ya Shia ya Najaf kulipo msikiti maarufu mtakatifu na Karbala kulipo kaburi la Imam Husayn .
Tusubiri tec watasemaje.
 
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?

Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
Ama kwezi mnakuwa wajinga, mnakosa hata maarifa na elimu kdg. Hawa ni waumini wa dhehebu la Shia nchini wakiomboleza kifo cha imam Hussein
 
Ndugu zangu hivi mmefika Tabora? mkaona zile ngozi? wakijivika hijabu nawambia mtasema TABORA ni kambi ya DP WORLD, tusichukie ngozi nyeupe kiasi hiki.

tushaharikibikiwa kisaikolojia,maza anatu cost sana huyu.
 
Ama kwezi mnakuwa wajinga, mnakosa hata maarifa na elimu kdg. Hawa ni waumini wa dhehebu la Shia nchini wakiomboleza kifo cha imam Hussein
Ndiyo mwaka huu wameanza kuomboleza? Kwa nini hizo picha hatujawahi kuziona miaka mingine?
 
ndoa hiyo ndugu, DP word washatupenda tiari aka warrabu wote mashemeji zetu.
 
Washangilie kuhiji, washangilie Mkataba, washangilie ubwabwa, jambo ni moja tu Mkataba uvunjwe hatuutaki.
 
Hapo ni kwamba tayari wanashangilia Tanzania kuwa koloni la waarabu. Tumeisha. Sijui watz tutaamka lini usingizini!!
Hebu kasome historia kidogo, Wairani siyo waarabu na wala usijaribu kuwaita hivyo.
 
Back
Top Bottom