Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

Hao ni Watanzania walio kwenye mji mtakatifu Iraq walipokwenda kuhiji katika miji mitakatifu ya madhehebu ya Shia ya Najaf kulipo msikiti maarufu mtakatifu na Karbala kulipo kaburi la Imam Husayn .
Acheni ujinga nyie wavaa kobazi, mnauza nchi yetu eti uislam. Hizo dini ni mawakala wa utumwa Afrika. Na nyie msivyokuwaga na akili, mnamthamini mwarabu wa Dubai kuliko mmakonde wa songea eti kwa sababu mwarabu yupo kwenye dini ya haki. Haki haki gani nyie waenda kuzimu, nchi yetu mmeuza kila kitu cha thamani kwa hao wahuni.

Mmewaondoa Wamasai loliondo mmewapa waarabu waikalie ardhi kimabavu. Nikipewa nchi kitu cha kwanza ni kubomoa misikiti na makanisa ili kuwakomboa kifikra waafrika.
 
Ndiyo mwaka huu wameanza kuomboleza? Kwa nini hizo picha hatujawahi kuziona miaka mingine?

Kila mwaka hii huwa inafanyika na mahujaji wa kila nchi wakienda huko iraq wanakua na bendera yao, mpaka USA , canada pia wanashiriki .

Sema unataka ya mwaka gani utumiwe.
IMG_4806.jpg

Hao kwenye picha wametoka german and france wameenda iraq .

Hayo maombolezo huwa zina kusanya waislamu mpka milioni 20 na wanatoka sehemu tofauti duniani.
 
View attachment 2743728

Picha na video za miaka mingine ziko wapi?
 
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?

Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
Maanake wameinunua.
 
Kila mwaka hii huwa inafanyika na mahujaji wa kila nchi wakienda huko iraq wanakua na bendera yao, mpaka USA , canada pia wanashiriki .

Sema unataka ya mwaka gani utumiwe.
View attachment 2743728

Hao kwenye picha wametoka german and france wameenda iraq .

Hayo maombolezo huwa zina kusanya waislamu mpka milioni 20 na wanatoka sehemu tofauti duniani.
Mkuu unahangaika na ilo choko
 
Nimejikuta najishangaa kama Fala, ila sijajua wimbo wamanisha nini
Amani ya mungu iwe juu yenu.
Hawo ni waisilamu wa dhehebu lakishia walokwenda Iraq kwa ibada maalum.

Hakuna mahusiano ya aina yoyote ispokuwa ni kwa ibada na kwa mujibu wa imani yao.
 
Attachments

  • VID-20230908-WA0003.mp4
    14.4 MB
Tusirudie tena kuchagua wazanzibari kuwa marais. Hawaeezi kuongoza nchi. Wao wanawaza kuuza tu.
..mzee Mwinyi kauza pori la Loliondo.
..huyu mama ndo usiseme sasa.
 
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?

Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
YARABI DUWA MARIDHAWA NA DUWA ADHIMU KABISA, ELEWENI NINI KINATAMKWA HAPO KWANZA KABLA YA KUZUNGUMZA LOLOTE TAFADHALINI TAFSIRINI KWANZA MSIKURUPUKE, PIA SIJAWAHI ONA TAIFA MOJA KULIOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU TAIFA LINGINE DUUWAH NZURI NA NZITO NAMNA HII, BAADHI YA MANENO HAPO NI, "EE MOLA IJALIE AMANI, UPENDO, UMOJA NCHI YA TANZANIA"
maombi kuntu na safi kweli, hakika rais tulienaye ana damu ya kipekee kabisa Allah mjalie umri mama samiah,
WATANZANIA TUYAELEWE YANAYOZUNGUMZWA HAPO NA SI KUKURUPUKA.
 
Tuliwatuma watuombee?
 
Amani ya mungu iwe juu yenu.
Hawo ni waisilamu wa dhehebu lakishia walokwenda Iraq kwa ibada maalum.

Hakuna mahusiano ya aina yoyote ispokuwa ni kwa ibada na kwa mujibu wa imani yao.
Waisramu kutoka nchi gani? Kwanini hayo wayafanyie huko uarabuni wasiyafanyie ndani ya Tanzania
 
Back
Top Bottom