Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

Hao ni Watanzania walio kwenye mji mtakatifu Iraq walipokwenda kuhiji katika miji mitakatifu ya madhehebu ya Shia ya Najaf kulipo msikiti maarufu mtakatifu na Karbala kulipo kaburi la Imam Husayn .
Ubaguzi ukizidi sana mpaka mtu anakuwa Zwazwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™
Hao hawahusiani kabisa na hao Dipiwedi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™
 
Uzi ufungwe tu...

Hakuna sababu ya kuendelea kuwepo mada inayoeneza uongo juu ya watu wenye kufanya ibada, pengine hata wakiliombea Taifa kuepushwa na wenye husda, nia mbaya n.k...
Kweli uzi ufungwe tu !!
 
Kama kuna anayejua wanaimba nini atutafsirie jamani. Huenda wanashangilia kupata koloni linaitwa tanzaniaπŸ€£πŸ˜‚
 
Na muda huu ndiyo msimu wenyewe ndugu zetu toka Tanzania wapo huko kutekeleza jambo muhimu la kiimani katika miji Najaf na Karbala iliyopo Iraq.

View attachment 2741675
Nijuavyo mimi tuna Watanzania wengi wenye asili ya Bara Hindi ambao ni Madhehebu ya Shia sidhani hata kuwa hao ni Watanzania wenye asili ya Kiarabu.
 
Si Bongo zozo huyo.. kawapa bendera na yeye ndo anayerekodi. Wanaimba nini , hatujui!
Hata Bongo zozo wapo watu walisema labda ana ajenda za kuipeleleza Nchi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ kweli Akili ni mali !!πŸ˜…
 
Hata Bongo zozo wapo watu walisema labda ana ajenda za kuipeleleza Nchi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120] kweli Akili ni mali !![emoji28]
Kabisa
 
Wanafurahia kujipatia koloni kwa njia ya ubwete kabisa.
 
Nijuavyo mimi tuna Watanzania wengi wenye asili ya Bara Hindi ambao ni Madhehebu ya Shia sidhani hata kuwa hao ni Watanzania wenye asili ya Kiarabu.
Hao ni wahindi wa pale Kisutu wengi wao ni mashia huwa wanakwenda kuhiji Iraq kwenye mji wa Karbala !
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ Labda ndio wao na wengi wao ni Raia wa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ wa Kuzaliwa kuna ubaya gani wakipeperusha bendera ya Nchi yao ??!! 😍
Hata Makaburu walishaachaga Ubaguzi πŸ™πŸ™πŸ™
 
Wapo wapi?

What's the context?

Kwahiyo hao ndo DPW?

Hakuna watz wenye asili ya arabuni?

Nyie mnaweka bendera za Israel na USA hadi chumbani kwenu nani anawauliza?
We kweli subwoofer!! Spika nzima kweli au wahuni washaichana????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…