Waarabu kushangilia huku wakipeperusha bendera ya Tanzania inatuma ujumbe gani?

Tusirudie tena kuchagua wazanzibari kuwa marais. Hawaeezi kuongoza nchi. Wao wanawaza kuuza tu.
..mzee Mwinyi kauza pori la Loliondo.
..huyu mama ndo usiseme sasa.
Hawa wazanzibar wa kuogopwa kama ukoma! Mwinyi aliuza Loliondo
 
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?

Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
Dah!

Hii kweli inahitaji maelezo.

Ni wapi huko, na ni tukio gani lililofanya hawa watu wawe na furaha kiasi hiki juu ya nchi yetu?

Mkuu 'Etwege', hebu tufafanulie kidogo ili nasi tupate mahali pa kuanzia kuchangia mada hii.

Ni kuhusu ushindi wa timu yetu ya mpira wa miguu?

Hapa inawezekana hawa ndio wamekuwa wahisani wakuu wa timu hiyo?

Hapa kuna jambo, na hatuwezi kunyamaza bila kujua.
 
Wapo wapi?

What's the context?

Kwahiyo hao ndo DPW?

Hakuna watz wenye asili ya arabuni?

Nyie mnaweka bendera za Israel na USA hadi chumbani kwenu nani anawauliza?
Mbona wewe ndiwe umetoa tafsiri. Kuna sehemu yoyote kwenye mada ulkosoma hayo uliyoyaweka wewe?

Sasa kwa vile wewe ni mjuaji, tueleze tukio hilo lilihusu nini?
 
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?

Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
Wasukuma bhana
 
Soma comment #5 utapata majibu yako. Acheni kukurupuka.
 
Acheni kupotosha na kudanganya. Hao ni Watanzania madhehebu ya Shia wakiwa katika Umra katika maeneo ya Karbala nchini Iraq. Wanafanya hivyo kila mwaka na hujitambulisha kuwa wao ni Watanzania sawa na wale wanaokwenda kuhiji Mecca na Madina. MSIPOTOSHE !!!
Wewe ndiyo unapotosha kenge wewe.

Ebu tuletee video za miaka ya nyuma wakifanya hiyo Umra
 
Acha uchonganishi mkiambiwa mjifunze lugha ya kiarabu mnanasibisha na iman,wakati wao wanajifunza English hawajali kitu.Kama ungejifunza hiyo lugha swali hili usingeuliza .Lazima uwe mwingi wa UZALENDO hao ni shia ithniasharia wapo kwenye ibada zao za huko IRAQ.ILA WAO NI WATZ.ACHA MHESHIMIWA AFANYE KAZI USIANGALIE MAVAZI NA RANGI.WASWAHILI WANA MSEMO ISIKUHADAE RANGI YA CHAI TAMU SUKARI.
 
Hao ni Watanzania walio kwenye mji mtakatifu Iraq walipokwenda kuhiji katika miji mitakatifu ya madhehebu ya Shia ya Najaf kulipo msikiti maarufu mtakatifu na Karbala kulipo kaburi la Imam Husayn .
Haya mambo ya kiroho na bendera ya Tanzania wapi na wapi?
Hao watakuwa wanalo lao jambo.
 
Acha uchonganishi mkiambiwa mjifunze lugha ya kiarabu mnanasibisha na iman,wakati wao wanajifunza English hawajali kitu.Kama ungejifunza hiyo lugha swali hili usingeuliza .Lazima uwe mwingi wa UZALENDO hao ni shia ithniasharia wapo kwenye ibada zao za huko IRAQ.ILA WAO NI WATZ.ACHA MHESHIMIWA AFANYE KAZI USIANGALIE MAVAZI NA RANGI.WASWAHILI WANA MSEMO ISIKUHADAE RANGI YA CHAI TAMU SUKARI.
 
Soma comment #5 utapata majibu yako. Acheni kukurupuka.
Wewe umejiridhisha kuwa hilo ndilo?

Basi na tuseme hilo ndiyo sababu ya kusherehekea na bendera ya nchi yao?
Haya siyo maswala yao ya kiroho?

Wamekwenda huko kufanya siasa? Na zaidi nikuulize, huu mkusanyiko ni wa watu wa asili hiyo na hakuna waTanzania wasiokuwa na asili hiyo? Huu ni mkusanyiko wa kibaguzi?
 
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?

Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
Hiyo ni hijja ya washia huko Karbala Iraq

adriz
 
Walio na upeo mkubwa washajua Tanzania ni CHANZO CHA BARAKA na amani kwa mataifa yote na sio Israel wala mashariki ya kati tena.

Mathayo 21:43 Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.

Ndo maana wanamuabudu Mungu wao wakipeperusha bendera ya Tanzania maana ni kweli wamekubalia.Ila bado kuna watanzania hawajajua uheri au upendeleo huu mkubwa walio nao sasa.
169be7fc-0e14-4cbd-af5a-19d6bf17134c.jpg

ce8b1a28-b467-4526-aea1-34770e871e06.jpg
 
Kama ni ndugu wenye asili moja wamejikusanya hivyo baodo litakuwepo swali!
Hawa siyo wa Buguruni, ni Wssukuma wa Jisuge wanapepea bendera ya Nji yao kwa furaha. Si u ajuactena Wasukuma wakinywa kidogo tu wanaanza kuimba? Ni kama huyu. Muone:
 
Back
Top Bottom