Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi?
Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa mke na mume wameshaanza migogoro msibani tu.
Misiba ya wahindi na waarabu wa Tanzania ni ngumu kusikia migogoro ya kugombea mali. Kukwepa hili ndio maana hawaoi dada zetu weusi na wala hawaturuhusu weusi kuoa dada zao labda uwe unatoka royal family za Tanzania ndio wanakupa mke.
Tutahangaika weeee, lakini ukweli ni kuwa watu weupe wanaamini weusi ni laana hivyo hawawezi kujinasaba nayo kwa maendeleo ya vizazi vyao huko mbele. Bara lote la Asia limesheni imani hii, angalau kidogo ulaya kuna nafuu. Mifano iko mingi tu, uarabuni wanafukuzwa na kuteswa, Israel hivyo hivyo na maeneo mengine......wanatuchora tu tunavyojipendekeza kwao!
Acha uongo , mimi nimeswali Ijumaa miskiti ambayo maimamu na viongozi watu weusi mfano Masjid Tambaza na Masjid Ma'amur ya upanga na kuna waarabu na watu weupe kibao na hata uswahilini huku Yombo tunaswali na waarabu kutoka mataifa mbalimbali.
Acha uongo , mimi nimeswali Ijumaa miskiti ambayo maimamu na viongozi watu weusi mfano Masjid Tambaza na Masjid Ma'amur ya upanga na kuna waarabu na watu weupe kibao na hata uswahilini huku Yombo tunaswali na waarabu kutoka mataifa mbalimbali.
Acha uongo , mimi nimeswali Ijumaa miskiti ambayo maimamu na viongozi watu weusi mfano Masjid Tambaza na Masjid Ma'amur ya upanga na kuna waarabu na watu weupe kibao na hata uswahilini huku Yombo tunaswali na waarabu kutoka mataifa mbalimbali.
Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi?
Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa mke na mume wameshaanza migogoro msibani tu
Misiba ya wahindi na waarabu wa Tanzania ni ngumu kusikia migogoro ya kugombea mali . Kukwepa hili ndio maana hawaoi dada zetu weusi na wala hawaturuhusu weusi kuoa dada zao labda uwe unatoka royal family za Tz ndio wanakupa mke