Muccigang
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 1,313
- 1,918
Mzungu lazima aoe mzungu
Ataoaje mswahili na wakati mapenzi ni kizunguzungu?
Madem weusi changamoto akiona unahela
Tu anaenda kwa mganga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzungu lazima aoe mzungu
Ataoaje mswahili na wakati mapenzi ni kizunguzungu?
Unaweza ukawa unajibu hivi ilhali hata Msikitini penyew hujawahi ingia sasa sijui hizi habari unazitoa wapi.Na ijumaa hawasali kwenye misikiti ambayo ibada zinaongozwa na mashehe wenye ngozi nyeusi.
Wanaenda kwenye misikiti yenye viongozi ambao ni rangi zao.
Ukienda Pemba au Unguja unawapata tuNinajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi?
🤣😆😂Na ijumaa hawasali kwenye misikiti ambayo ibada zinaongozwa na mashehe wenye ngozi nyeusi.
Wanaenda kwenye misikiti yenye viongozi ambao ni rangi zao
Hutozipata hizo hela.Mimi nikipata hela sitaoa dem mweusi never never never tena
😅 😅 😅 Hajaelewa contextKuna watanzaia wenye dini ya israel?? Uyahudi??
Yani hii waga inashangaza sana..unakuta mtu akisikia waarabu au wazungu wametajwa kwa ubaya, kabla hata hajasoma kuelewa kama kilichotajwa ni kweli au la, yeye kwasababu za mahaba ya kidini anakimbilia kutafuta jibu litakolopondea upande wa pili. Ndomaana utakuta mada inasema ''Alshabaab Nigeria waua watu100'' halafu komenti ya kwanza inasema ''Mbona hata wakristo wanaruhusu ndoa za ushoga makanisani''😅 😅 😅 Hajaelewa context
Tunapata wasi wasi kuchangia nyuzi kama hizi kwa kuwa tunaweza kuonekana hatuwapendi weusi Wenzetu....lakini nadhani Kuna tatizo kwenye jamii ya watu weusi.........
Kuna sehemu moja kule upanga kuna muarabu aliweka water dispenser nje ili watu wapita njia wakate kutokana na jua Kali..... lakini Cha ajabu watu wakawa wanaondoka na koki za mabomba na kuiba vikombe.......
Pahali ninapofanyia kazi kuna muingiliano wa watu weusi na weupe.....kulifanyika marekebisho ya vyoo vyote ili kuviboresha.....Ile wiki ya kwanza ya vyoo kufunguliwa baada ya maboresho ule upande unaotumika na watu weusi waliondoka na koki zote mpya na pipes......maji yakawa yanamwagika tu......
Hayo ni machache tu akini tunatakiwa tujitafakari watu weusi.....
Yani hii waga inashangaza sana..unakuta mtu akisikia waarabu au wazungu wametajwa kwa ubaya, kabla hata hajasoma kuelewa kama kilichotajwa ni kweli au la,,yeye kwasababu za mahaba ya kidini anakimbilia kutafuta jibu litakolopondea upande wa pili.....Ndomaana utakuta mada inasema ''Alshabaab Nigeria waua watu100'' halafu komenti ya kwanza inasema ''Mbona hata wakristo wanaruhusu ndoa za ushoga makanisani''
Nafikiri upeo wa kupembua mambo pia ni tatizo kubwa sana.Yani hii waga inashangaza sana..unakuta mtu akisikia waarabu au wazungu wametajwa kwa ubaya, kabla hata hajasoma kuelewa kama kilichotajwa ni kweli au la,,yeye kwasababu za mahaba ya kidini anakimbilia kutafuta jibu litakolopondea upande wa pili.....Ndomaana utakuta mada inasema ''Alshabaab Nigeria waua watu100'' halafu komenti ya kwanza inasema ''Mbona hata wakristo wanaruhusu ndoa za ushoga makanisani''
wengine wana upeo kabisa,,,I think tatizo ni ile mentality ya kutetea dini husika no matter the cost, kwa kutumia mbinu yoyte ile ikiwemo uongo, matusi nk.Nafikiri upeo wa kupembua mambo pia ni tatizo kubwa sana.
Kwani wewe ni mwarabuAcha uongo , mimi nimeswali Ijumaa miskiti ambayo maimamu na viongozi watu weusi mfano Masjid Tambaza na Masjid Ma'amur ya upanga na kuna waarabu na watu weupe kibao na hata uswahilini huku Yombo tunaswali na waarabu kutoka mataifa mbalimbali.
Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi?
Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa mke na mume wameshaanza migogoro msibani tu.
Misiba ya wahindi na waarabu wa Tanzania ni ngumu kusikia migogoro ya kugombea mali. Kukwepa hili ndio maana hawaoi dada zetu weusi na wala hawaturuhusu weusi kuoa dada zao labda uwe unatoka royal family za Tanzania ndio wanakupa mke.
Hii video ya mama wa marehemu imenishangaza sana
SifahamuKwani wewe ni mwarabu
Walio oana weusi kwa weusi wao ndoa zao hua hazina hiyo vita? Hazina matatizo?Waarabu wapo waliooa ngozi nyeusi,
Lakini vita lazima,kama hauna msimamo unachana na ndoa.
Hata wakitajwa mayahudi wa Israel utaona hapa mkristo wa Nzega anakuja kutokwa povu,Yani hii waga inashangaza sana..unakuta mtu akisikia waarabu au wazungu wametajwa kwa ubaya, kabla hata hajasoma kuelewa kama kilichotajwa ni kweli au la,,yeye kwasababu za mahaba ya kidini anakimbilia kutafuta jibu litakolopondea upande wa pili.....Ndomaana utakuta mada inasema ''Alshabaab Nigeria waua watu100'' halafu komenti ya kwanza inasema ''Mbona hata wakristo wanaruhusu ndoa za ushoga makanisani''