Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

Kuna uhusiano gani kati ya huu msiba na interracial marriages?

Kwanini watanganyika mnaumia sana msipooa/kuolewa na rangi nyingine?

Kwanini hamuoni fahari kuoana nyie kwa nyie kama wao waonavyo fahari kuona within their races? Hampendi kuoana na jamii zenu? Hamjipendi? Kama wenyewe hamjipendi nani awapende sasa?
 
sasa naambini baada ya wale wamachame kuna warangi.

ukijaa umekwisha tunakuona[emoji24][emoji24]
Kipindi niliposikia hili tukio sasa wakati wa walioshuhudia tukio wanaongea na vyombo vya habari nikagundua kuna tatizo sehemu,how ndoa ya miezi 5 tayari mama mkwe na wadogo wawili wa mke wakaishi na ndugu yao,shida ipo sehemu kwa hawa ndugu zetu
 
Walio oana weusi kwa weusi wao ndoa zao hua hazina hiyo vita? Hazina matatizo?
Zipo na vita kama hivyo

Lakini hakuna family ya kiarabu inayoridhia kijana wao aoe ngozi nyeusi,

Ukiolewa hapo jiandae kutengwa.

Nishaona
 
Zipo na vita kama hivyo

Lakini hakuna family ya kiarabu inayoridhia kijana wao aoe ngozi nyeusi,

Ukiolewa hapo jiandae kutengwa.

Nishaona
Umeona matukio mangapi mpaka kuja na hilo hitimisho? Utafiti wako umeufanyia wapi na wapi? Sample ya utafiti wako ilikua ni kwa watu wangapi na wa miji ipi?
 
Wasipokuelewa hapa ndio basi tena.
 
Kwa waarabu wa yemen,hawa jamaa hawatakagi mseto.
Kama wao hawataki mseto na wanaona ufahari na kuridhika kuoana wao kwa wao kwanini na nyie msione ufahari kuoana wenyewe kwa wenyewe?

Mbona mnaanza kujibagua wenyewe?

Hakuna watu ambao hawataki kuchanganya issue za kuona kabila zingine kama Wayahudi.
 
Kuna anko wangu mmoja ali fall in love na binti wa kiarabu wakati wako chuo..jamaa alibadili dini akawmuoslamu..ila vikwazo alivyopitia asee daah hakuwa na hamu hadi kuna kipindi walipigana na mashemeji zake wa kiarabu hadi anko kuvunjwa mguu katika mapigano wakitaka wamchukue dada yao.

Uzuri jamaa alikuwa ni mtata sana na yeye aliwadunda sana..sema mwanamke alimuelewa sana jamaa..hivyo walizaa naye watoto watu..ila ile misuko suko haikuisha yani walikua kama paka na panya liicha ya jamaa kubadili na kufuata dini yao.hawakutaka kukanyaga kwa ile familia yani walimtenga dadayao.

Mwisho wasiku waliacha na yule mwanamke jamaa akachana na dini ya mnyazi mungu..maisha yakaendelea.

Ngozi nyeupe hasa waarabu na wahindi wanaonaga ngozi nyeusi ni kama mashetani mbwa takataka flani hivi hata uwe wa dini yao kamwe hawawezi kuthamini hata uvae baraghashia na kobazi au kujifunza lugha zao ili uendane nao utabaki kuwa takataka kwao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Walio oana weusi kwa weusi hua hayatokei hayo ndani ya ndoa zao?

Story ya Anko wako ndio inawakilisha waarabu wote? Kila ndoa hua zina matatizo yake hapa Duniani,

Pia hujaelezea hivyo Vikwazo alivyokua anapitia ni vikwazo gani?

Kua specific funguka ueleweke.
 
Nikupe namba ya mtoto wa kihundi umtokee?
Usije kulaumu kumbe hata kutongoza hujawahi kumtongoza huyo mwarabu au Krishna
 
Hata wakitajwa mayahudi wa Israel utaona hapa mkristo wa Nzega anakuja kutokwa povu,

Acha double standard na uangalie pande zote.
Njoo gheto nikupake mate naona unapwipwitwa na waarabu wako wanakupapasa tu hawana hard diki kama zetu
 
Yeah sure fikiria tu hata wahindi weusi kule India na Pakistan wanatengwa nawanazuiwa kugombea nafasi kubwa za uongozi japo Tajiri mkubwa duniani ni mhindi mweusi Mukesh Amban lakini bado na yeye wanamtenga pamoja na ubillionare wake
 
Yeah sure fikiria tu hata wahindi weusi kule India na Pakistan wanatengwa nawanazuiwa kugombea nafasi kubwa za uongozi japo Tajiri mkubwa duniani ni mhindi mweusi Mukesh Amban lakini bado na yeye wanamtenga pamoja na ubillionare wake
Hawa huwa wanatengwa hata huduma za kijamii hawapewi japo ni native indians
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…