Shida zilishindwa kuprove point kuwa n bora kuliko za hao wageni..... Wazungu na mataifa ya waasisi wa dini mafanikio yao mengi kimazingira yameanzia kweny spiritual world,
Mfano kwenye kitabu cha taurat na Quran kina mfumo mzima wa maisha watu waishije watatue vp changamoto zao n.k
Ila hao unaowatetea miungu wa babu zetu.. walishindwa kujithibitisha wao n bora, mfano mdogo: Africa especially East Africa kabla ya ujio wa hao wageni watu waliishi Kama wanyama..... Hakuna nguo, hakuna elim yenye uwezo wa kuchallange miungu mingine, watu n ujinga mbele kwa mbele... Vitu Kama madini pia watu hawakujua matumizi yake yaliyokusudiwa, technology ya vita n hakuna n.k
Swali ni moja.... Hao miungu walishindwa vipi kuwafanya waumin wao kuwa bora kama au zaidi ya jamii zingine huko Duniani,,,, au walikuwa hawajui kuwa bara la Asia na America Kuna watu??
Walikuwa hawaoni kuwa watu wa kule wameendelea na taknolojia imewasaidia??
Chukua hii: China na India hizi dini zilifuka kwa taabu Sana... Sababu miungu yao ilifanya vitu vya kuonekana Yani iliwapa sababu za kupingana na miungu ya kigeni
Ila sisi Africa miungu ya babu zetu ilikuwa mipuuzi tu walitaka kuabudiwa lakini hawakuwanufaisha waafrica... Ndio maana ikawa rahisi Sana kufanyiwa replace!!!
Zamani miungu ilipigana vita na mwenye nguvu alitawala.... Sasa tukubali tu miungu ilokuwa Africa ilikuwa ni dhahifu na haikustahili kuabudiwa maana ilipewa nafasi ikashindwa kujipambania..... Utamoambaniaje Mungu ambaye ni dhahifu mbele ya miungu wenzake!!!
Mwenye nguvu ndio anatawala bhana