Waarabu na wazungu waliondoa dini zetu za asili ili tuabudu Nyota/Mwezi na Sanamu za bikra maria

Hadi mwanao unamuita Glory
Yaan mtumwa ww hadi kizazi chako

sasa utaendeleaje na ilihali akili yako inaendeshwa kama roboti??
swali tu kama una majibu jibu kama huna ndio akili yako imeishia apo
 
Endelea kuosha makalio ya waarabu na wazungu !
Utafanyaje na walishakuwai Upstairs
 
Unahusianisha Dini na Science hapa umechemka

Science haina dini babu

China ndo nchi inayoongoza kwa upagani lakini ndio inaongoza kwa science na technologia
 
Kwa kuwa umerithi na kuaminishwa hivyo
Inawezekana, lakin pia si ninaona hata mwenyewe. Like hii sheria iliopitishwa Afghan, kwamba marufuku wanawake ku socialize..that is too weird, against humanity, mtu kujifunika gubi gubi eti mwanamke asionwe na mwanaume.. mwanamke hana urithi katika malinya mumewe kwa mujibu wa sharia. Mtu aki ritadi anastahil adhabu ya kifo! Mtu asiye wa dini hiyo akionekana kula chakula mbele ya walio funga anaadhibiwa, hayo yoote ni ukatili sana ambapo huwezi kiyakuta kwenye dini yabupande wa pili
 
Hivi duniani kuna dini mbili tu? Tanzania tu yenyewe hamna dini mbili. Kwanini kila siku msiokua na dini mnakazana na uislam na ukristo. Dini nyingine hamzioni? Kitu kikiwa kinafuatiliwa na kutolewa kasoro mara kwa mara ujue kina wachukiza wengine.
 
ndio maana tunasema dini zilizoletwa ni ushenzi mkubwa
 
dini
Hivi duniani kuna dini mbili tu? Tanzania tu yenyewe hamna dini mbili. Kwanini kila siku msiokua na dini mnakazana na uislam na ukristo. Dini nyingine hamzioni? Kitu kikiwa kinafuatiliwa na kutolewa kasoro mara kwa mara ujue kina wachukiza wengine.
Tutajie dini hizo zilizopo ambazo hatuzioni


Hamnaga swali la kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…