Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi mwanao unamuita GloryAiseeeee, nimekudharau sana kwa kweli. Yaani ulichojibu na kuandika hata binti yangu Glory anayesoma P1 hawezi jibu uharo wa namna hii.
Yaani hivyo ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania? Dah Mzazi wako kapata hasara ya mtoto hapa. Ni vyema nyie vijana kuacha kufuata mkumbo na ujuaji kwani mnajitia aibu. Kama kitu hujui ni bora unyamaze kwani unaonesha uchi wa akili na uwezo wako mbele za watu.
Nimekuuliza ni namna gani hizo dini za wazungu na waarabu usemazo zimesababisha umaskini kwa nchi yetu kama madai yako we unasema masuala ya kuvaa wigi na kujichubua.
Aiseeeee, kwa matapishi ukiyoyaandika ngoja nikuteme mate na kukuweka kwenye ignore list maana sio kwa ushuzi ulioiandika.
Ptuuuuuuuuuu
Kabisa mkuuHuu uzi ni wenye Akili tu ndio watauelewa,Kwa wengine ngumu sana,
Endelea kuosha makalio ya waarabu na wazungu !Unajua sister kuna movement za kijinga sana za hawa watoto wetu kupinga dini na kupinga uwepo wa Mungu ila wengi hawajui wala kujitambua wanataka nini.
Mfano umemuuliza dini yake ya asili ni ipi? Hapo hawezi leta jibu. Kuhusu dini za asili za Afrika ni zipi kama movement yao inavyosema hawatakupa jibu. Ukiwauliza, upi utaratibu wa ibada wa hizo dini zao za asili hawakupi jibu. Mi mchaga, je utaratibu wa hizo dini za asili za kiafrika ni moja kati ya wachaga,wamasai, wahehe na wakaguru? Je tutaabudu mungu yupi na utaratibu upi katika kabila zote?
Kimsingi hawajajipanga katika movement zao ndio maana zinafeli kama ilivyofeli ya kataa ndoa.
Unahusianisha Dini na Science hapa umechemkaShida zilishindwa kuprove point kuwa n bora kuliko za hao wageni..... Wazungu na mataifa ya waasisi wa dini mafanikio yao mengi kimazingira yameanzia kweny spiritual world,
Mfano kwenye kitabu cha taurat na Quran kina mfumo mzima wa maisha watu waishije watatue vp changamoto zao n.k
Ila hao unaowatetea miungu wa babu zetu.. walishindwa kujithibitisha wao n bora, mfano mdogo: Africa especially East Africa kabla ya ujio wa hao wageni watu waliishi Kama wanyama..... Hakuna nguo, hakuna elim yenye uwezo wa kuchallange miungu mingine, watu n ujinga mbele kwa mbele... Vitu Kama madini pia watu hawakujua matumizi yake yaliyokusudiwa, technology ya vita n hakuna n.k
Swali ni moja.... Hao miungu walishindwa vipi kuwafanya waumin wao kuwa bora kama au zaidi ya jamii zingine huko Duniani,,,, au walikuwa hawajui kuwa bara la Asia na America Kuna watu??
Walikuwa hawaoni kuwa watu wa kule wameendelea na taknolojia imewasaidia??
Chukua hii: China na India hizi dini zilifuka kwa taabu Sana... Sababu miungu yao ilifanya vitu vya kuonekana Yani iliwapa sababu za kupingana na miungu ya kigeni
Ila sisi Africa miungu ya babu zetu ilikuwa mipuuzi tu walitaka kuabudiwa lakini hawakuwanufaisha waafrica... Ndio maana ikawa rahisi Sana kufanyiwa replace!!!
Zamani miungu ilipigana vita na mwenye nguvu alitawala.... Sasa tukubali tu miungu ilokuwa Africa ilikuwa ni dhahifu na haikustahili kuabudiwa maana ilipewa nafasi ikashindwa kujipambania..... Utamoambaniaje Mungu ambaye ni dhahifu mbele ya miungu wenzake!!!
Mwenye nguvu ndio anatawala bhana
Zimeboreshwa zimekuwa za kistaarabu lakini ujinga ni ule uleMimi naona bora dini za kiarabu kuliko za jadi.
Za jadi zilikuwa na mambo ya ajabu ajabu, kafara na kadhalika
😂😂Huo ni Ugomvi na katekista
kuabudu sanamu na kwenda kubusu kimondo aiseeZimeboreshwa zimekuwa za kistaarabu lakini ujinga ni ule ule
Hata dini za kiafrica zilikuwa na masanamu.kuabudu sanamu na kwenda kubusu kimondo aisee
ndio ndo maana hiyo picha hapo juu !!Hata dini za kiafrica zilikuwa na masanamu.
Kwa kuwa umerithi na kuaminishwa hivyoNi kweli. Japo mi naona bora za kizungu. Za kiarabu zina ukatili.
kabisaKwa kuwa umerithi na kuaminishwa hivyo
sanaaaNi kweli. Japo mi naona bora za kizungu. Za kiarabu zina ukatili.
Na tumeshikwa haswandio ndo maana hiyo picha hapo juu !!
kwamba waliachishwa dini zao kwenda kuabudishwa masanamu ya kigeni ili wawashike vizuri akili
sanamu si zimetengenezwa kwa cementAna maanisha nini ? 😂😂😂
mtu humwambii kituNa tumeshikwa haswa
Inawezekana, lakin pia si ninaona hata mwenyewe. Like hii sheria iliopitishwa Afghan, kwamba marufuku wanawake ku socialize..that is too weird, against humanity, mtu kujifunika gubi gubi eti mwanamke asionwe na mwanaume.. mwanamke hana urithi katika malinya mumewe kwa mujibu wa sharia. Mtu aki ritadi anastahil adhabu ya kifo! Mtu asiye wa dini hiyo akionekana kula chakula mbele ya walio funga anaadhibiwa, hayo yoote ni ukatili sana ambapo huwezi kiyakuta kwenye dini yabupande wa piliKwa kuwa umerithi na kuaminishwa hivyo
ndio maana tunasema dini zilizoletwa ni ushenzi mkubwaInawezekana, lakin pia si ninaona hata mwenyewe. Like hii sheria iliopitishwa Afghan, kwamba marufuku wanawake ku socialize..that is too weird, against humanity, mtu kujifunika gubi gubi eti mwanamke asionwe na mwanaume.. mwanamke hana urithi katika malinya mumewe kwa mujibu wa sharia. Mtu aki ritadi anastahil adhabu ya kifo! Mtu asiye wa dini hiyo akionekana kula chakula mbele ya walio funga anaadhibiwa, hayo yoote ni ukatili sana ambapo huwezi kiyakuta kwenye dini yabupande wa pili
Tutajie dini hizo zilizopo ambazo hatuzioniHivi duniani kuna dini mbili tu? Tanzania tu yenyewe hamna dini mbili. Kwanini kila siku msiokua na dini mnakazana na uislam na ukristo. Dini nyingine hamzioni? Kitu kikiwa kinafuatiliwa na kutolewa kasoro mara kwa mara ujue kina wachukiza wengine.