GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Nahisi ni mhitimu wa UDS...Utakuta huyu jamaa ni mhitimu wa chuo kikuu kabisa.
Je Waarabu wa Asia ni Waarabu au Waasia?
Ni waarabu weusi
Kwan Waafrika Kusini ni wa Waafrika Kusini au Waafrika?Sijakuelewa mkuu hapo mwisho! Wahindi ni wahindi na muda huo huo ni Waasia,
Wachina pia ni wachina na muda huo ni Waasia
Libya ni waarabu na muda huo ni waafrika!
Kwanini Libya wasiwe WaLibya na wawe waafrika?
Umenikumbusha Mabala the FarmerWatu wanachanganya Race ya mtu na nationality yake. Mwafrika aliyeko Marekani ni Mmarekani kwa nationality(uraia) ila ni mwafrika kwa race. Bwana Richard Mabala ni mtanzania kwa nationality (hapa hatuna utaifa/nationalty ya mwafrika) ila ni mzungu tena pure kwa race yake. Bwana Mo ni mhindi kwa race yake lkn si mhindi kwa uraia(nationality) wake. Nafikiri mpaka hapa umeshapata majibu ya hao waarabu uliowaulizia
Uafrika sio race ,,, hakuna Mmarekani Muafrika isipokuwa kuna Wamarekani weusi. Au Wamarekani wenye asili ya Afrika .Watu wanachanganya Race ya mtu na nationality yake. Mwafrika aliyeko Marekani ni Mmarekani kwa nationality(uraia) ila ni mwafrika kwa race. Bwana Richard Mabala ni mtanzania kwa nationality (hapa hatuna utaifa/nationalty ya mwafrika) ila ni mzungu tena pure kwa race yake. Bwana Mo ni mhindi kwa race yake lkn si mhindi kwa uraia(nationality) wake. Nafikiri mpaka hapa umeshapata majibu ya hao waarabu uliowaulizia
WAAFRIKA WA UARABUNI NI WAARABU AU WAAFRIKA?Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika.
Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia, Sudan, na Tunisia.
Kwa kuwa inafahamika kuwa Afrika ina jumla ya nchi 54, waliopo kwenye hizo nchi 10 za Kiarabu wanajitambulisha kama Waafrika au Waarabu?
Kukitokea mgongano wa kimaslahi kati ya nchi za Kiafrika na Kiarabu, nchi kumi za Kiarabu zilizopo Afrika zitaegemea upande gani?
kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo.Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika.
Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia, Sudan, na Tunisia.
Kwa kuwa inafahamika kuwa Afrika ina jumla ya nchi 54, waliopo kwenye hizo nchi 10 za Kiarabu wanajitambulisha kama Waafrika au Waarabu?
Kukitokea mgongano wa kimaslahi kati ya nchi za Kiafrika na Kiarabu, nchi kumi za Kiarabu zilizopo Afrika zitaegemea upande gani?
Mbona kama na ww umechanganya mambo... Africa ni bara ambalo Lina watu wenye asili mbili. Blacks na waarabu.Watu wanachanganya Race ya mtu na nationality yake. Mwafrika aliyeko Marekani ni Mmarekani kwa nationality(uraia) ila ni mwafrika kwa race. Bwana Richard Mabala ni mtanzania kwa nationality (hapa hatuna utaifa/nationalty ya mwafrika) ila ni mzungu tena pure kwa race yake. Bwana Mo ni mhindi kwa race yake lkn si mhindi kwa uraia(nationality) wake. Nafikiri mpaka hapa umeshapata majibu ya hao waarabu uliowaulizia
sasa mbona wanajiita african americans? kama wao ni just black americans?Uafrika sio race ,,, hakuna Mmarekani Muafrika isipokuwa kuna Wamarekani weusi. Au Wamarekani wenye asili ya Afrika .
Race ni rangi
Kwani hizi Nchi India na China ziko bara gani?Sijakuelewa mkuu hapo mwisho! Wahindi ni wahindi na muda huo huo ni Waasia,
Wachina pia ni wachina na muda huo ni Waasia
Libya ni waarabu na muda huo ni waafrika!
Kwanini Libya wasiwe WaLibya na wawe waafrika?
Sasa kwa nini Watanzania ni Watanzania na ni Waafrika?Sijakuelewa mkuu hapo mwisho! Wahindi ni wahindi na muda huo huo ni Waasia,
Wachina pia ni wachina na muda huo ni Waasia
Libya ni waarabu na muda huo ni waafrika!
Kwanini Libya wasiwe WaLibya na wawe waafrika?