Last_Born
Member
- Dec 9, 2022
- 69
- 100
Hongera sana nimependa wew ni mwelewaNaelewa ni Mwarabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana nimependa wew ni mwelewaNaelewa ni Mwarabu.
Exactly brother, watu wanashindwa kuelewa utofautu wa ethnic groups na bara. Kuwa muafrika doesn't necessarily mean you should be black, kuwa mu asia doesn't necessarily mean you're chinese.watu weusi kuna sehemu tunakwama kiakili,
Wa Saudi na waarabu na mda huo huo ni wa asia
India ni wahindi na mda huo huo ni wa asia
China ni wachina na mda huo huo ni wa asia
Libya ni waarabu na mda huo huo ni waafrika.
Uafrika ni kitu mbali na uarabu ni kitu mbali. Africa ni bara Uarabu ni ethic. Munashindwaje kufahamu jambo dogo kama hilo?
Acheni kuchanganya uafrica na Ubantu.