bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Wale ni waarabu wanaokaa Africa hata tamaduni zao ni za kiarabu na sio za kiafrika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu hawafati tamaduni za kiarabukama djibout,somalia,sudani ni waarabu kwanini Ethiopians na Rwandese na hapa Tanzania warangi,wamasai,wambulu wasiitwe waarabu?au uarabu ni mpaka jamii husika iwe na waislamu wengi(majority)?
Waafrika wanaoishi uarabuniWAAFRIKA WA UARABUNI NI WAARABU AU WAAFRIKA?
Acha kujilisha pumba mkuu.watu weusi kuna sehemu tunakwama kiakili,
Wa Saudi na waarabu na mda huo huo ni wa asia
India ni wahindi na mda huo huo ni wa asia
China ni wachina na mda huo huo ni wa asia
Libya ni waarabu na mda huo huo ni waafrika.
Uafrika ni kitu mbali na uarabu ni kitu mbali. Africa ni bara Uarabu ni ethic. Munashindwaje kufahamu jambo dogo kama hilo?
Acheni kuchanganya uafrica na Ubantu.
Mlevi gani kakuongopea Uafrica sio Race? Wewe unadhani ni Coincidence kila bara lina watu wa aina tofauti? Wewe ushawahi kuona MuEuropean kazaliwa Africa?Uafrika sio race ,,, hakuna Mmarekani Muafrika isipokuwa kuna Wamarekani weusi. Au Wamarekani wenye asili ya Afrika .
Race ni rangi
Ingependeza kama ungejibu maswali yote mawili.watu weusi kuna sehemu tunakwama kiakili,
Wa Saudi na waarabu na mda huo huo ni wa asia
India ni wahindi na mda huo huo ni wa asia
China ni wachina na mda huo huo ni wa asia
Libya ni waarabu na mda huo huo ni waafrika.
Uafrika ni kitu mbali na uarabu ni kitu mbali. Africa ni bara Uarabu ni ethic. Munashindwaje kufahamu jambo dogo kama hilo?
Acheni kuchanganya uafrica na Ubantu.
Africa ni Bara na Race au Ethnicity vilevile na Muafrika ni mtu mweusi. Hao waarabu hawatoki hapa bali walikuja. Wewe unadhani kwanini kila bara lina watu wa aina tofauti? Ulishawahi kuona Mtu mweusi aliyezaliwa Europe? Kama hakuna unadhani kwanini?Mbona kama na ww umechanganya mambo... Africa ni bara ambalo Lina watu wenye asili mbili. Blacks na waarabu.
Africa sio race ni bara.
Umetaja idadi ya nchi tu walizokuwepo, hujataja na udadi ya Waarabu waliopo Afrika na Asia.Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika.
Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia, Sudan, na Tunisia.
Kwa kuwa inafahamika kuwa Afrika ina jumla ya nchi 54, waliopo kwenye hizo nchi 10 za Kiarabu wanajitambulisha kama Waafrika au Waarabu?
Kukitokea mgongano wa kimaslahi kati ya nchi za Kiafrika na Kiarabu, nchi kumi za Kiarabu zilizopo Afrika zitaegemea upande gani?
Unakumbuka majibu ya Morocco wakati wa kombe la dunia 2022? Walisema ushindi waliyoipata ni kwa ajili ya Waarabu na si Waafrika. Waliwawakikisha Waarabu.
Kwani sifa za kuwa Mwarabu ni zipi?Sudan, Somalia, Djibouti sio waarabu
Kwahiyo na ngozi yako hiyo mbupu ukienda kuishi Saudia unakuwa muarabu?watu weusi kuna sehemu tunakwama kiakili,
Wa Saudi na waarabu na mda huo huo ni wa asia
India ni wahindi na mda huo huo ni wa asia
China ni wachina na mda huo huo ni wa asia
Libya ni waarabu na mda huo huo ni waafrika.
Uafrika ni kitu mbali na uarabu ni kitu mbali. Africa ni bara Uarabu ni ethic. Munashindwaje kufahamu jambo dogo kama hilo?
Acheni kuchanganya uafrica na Ubantu.
Hapana madam! Nipo tayari kupata Elimu.Umetaja idadi ya nchi tu walizokuwepo, hujataja na udadi ya Waarabu waliopo Afrika na Asia.
Unafahamu maana ya "Waarabu" ?
Kuwa Mwarabu ni mila na tamaduni, siyo wa kutokea bara lipi wala siyo wa rangi ipi au dini ipi.Hapana madam! Nipo tayari kupata Elimu.
Ni WatanzaniaWangoni ni wa tz au wasauzi 😁
Ni WaarabuUtakuta huyu jamaa ni mhitimu wa chuo kikuu kabisa.
Je Waarabu wa Asia ni Waarabu au Waasia?
Uhitimu wa Chuo unahusianaje na mada tajwa?Nahisi ni mhitimu wa UDS...
Sijakuelewa mkuu hapo mwisho! Wahindi ni wahindi na muda huo huo ni Waasia,
Wachina pia ni wachina na muda huo ni Waasia
Libya ni waarabu na muda huo ni waafrika!
Kwanini Libya wasiwe WaLibya na wawe waafrika?
Unamaanisha niniemkuu?Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo,,,,🤣🤣🤣
kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo.
kama djibout,somalia,sudani ni waarabu kwanini Ethiopians na Rwandese na hapa Tanzania warangi,wamasai,wambulu wasiitwe waarabu?au uarabu ni mpaka jamii husika iwe na waislamu wengi(majority)?