GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #41
Ukitaja popote Afrika picha ya haraka inayokuja ni ngozi nyeusi.sasa mbona wanajiita african americans? kama wao ni just black americans?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaja popote Afrika picha ya haraka inayokuja ni ngozi nyeusi.sasa mbona wanajiita african americans? kama wao ni just black americans?
Nashukuru kwa majibu mazuri!Kuwa Mwarabu ni mila na tamaduni, siyo wa kutokea bara lipi wala siyo wa rangi ipi au dini ipi.
Ni sawa na kusema Mswahili.
Na Wamaorocco kipindi cha kombe la dunia walisema wao si Waafrika bali Waarabu!Wale ni waarabu wanaokaa Africa hata tamaduni zao ni za kiarabu na sio za kiafrika
Unakumbuka majibu ya Morocco wakati wa kombe la dunia 2022? Walisema ushindi waliyoipata ni kwa ajili ya Waarabu na si Waafrika. Waliwawakikisha Waarabu.
Hata mfalme wa Saudi Arabia aliwapongeza kwa kuwawakikisha Waarabu vyema.
Kama ni Waafrika, mbona Waafrika hawakuhusishwa kwenye mafanikio yao, bali Waarabu?
Kwahiyo na ngozi yako hiyo mbupu ukienda kuishi Saudia unakuwa muarabu?
Sudan, Somalia, Djibouti sio waarabu
Unatatizika waarabu wa Afrika kuitwa Waafrika, hutatiziki waabu wa Asia kuitojiita WaasiaKwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika.
Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia, Sudan, na Tunisia.
Kwa kuwa inafahamika kuwa Afrika ina jumla ya nchi 54, waliopo kwenye hizo nchi 10 za Kiarabu wanajitambulisha kama Waafrika au Waarabu?
Kukitokea mgongano wa kimaslahi kati ya nchi za Kiafrika na Kiarabu, nchi kumi za Kiarabu zilizopo Afrika zitaegemea upande gani?
Kwahiyo unazunguka koote huko, kumbe point yako wachezaji wa Morocco 🇲🇦Na Wamaorocco kipindi cha kombe la dunia walisema wao si Waafrika bali Waarabu!
Kwa sababu uafrica sio race is geographic name, na uarabu au uhindi ni ethnicSijakuelewa mkuu hapo mwisho! Wahindi ni wahindi na muda huo huo ni Waasia,
Wachina pia ni wachina na muda huo ni Waasia
Libya ni waarabu na muda huo ni waafrika!
Kwanini Libya wasiwe WaLibya na wawe waafrika?
Hivi thongeee ukweli tu,watu weusi kuna sehemu tunakwama kiakili,
Wa Saudi na waarabu na mda huo huo ni wa asia
India ni wahindi na mda huo huo ni wa asia
China ni wachina na mda huo huo ni wa asia
Libya ni waarabu na mda huo huo ni waafrika.
Uafrika ni kitu mbali na uarabu ni kitu mbali. Africa ni bara Uarabu ni ethic. Munashindwaje kufahamu jambo dogo kama hilo?
Acheni kuchanganya uafrica na Ubantu.
Akiwa na milana tamaduni za Kiarabu anakuwa Mwarabu,Waarabu wenye asili za Wasukuma na Wanyamwezi wapo wengi Oman na Yemen.Nashukuru kwa majibu mazuri!
Nina swali la nyongeza: Msukuma anaweza kujiita Mwarabu na ikakubalika?
Ni matokeo ya mfumo wa elimu unawamaliza watanzania wengi.watu weusi kuna sehemu tunakwama kiakili,
Wa Saudi na waarabu na mda huo huo ni wa asia
India ni wahindi na mda huo huo ni wa asia
China ni wachina na mda huo huo ni wa asia
Libya ni waarabu na mda huo huo ni waafrika.
Uafrika ni kitu mbali na uarabu ni kitu mbali. Africa ni bara Uarabu ni ethic. Munashindwaje kufahamu jambo dogo kama hilo?
Acheni kuchanganya uafrica na Ubantu.
Kumbe wasomali na wangazija ni waarabu! Sikulijua hilo.Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika.
Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia, Sudan, na Tunisia.
Kwa kuwa inafahamika kuwa Afrika ina jumla ya nchi 54, waliopo kwenye hizo nchi 10 za Kiarabu wanajitambulisha kama Waafrika au Waarabu?
Kukitokea mgongano wa kimaslahi kati ya nchi za Kiafrika na Kiarabu, nchi kumi za Kiarabu zilizopo Afrika zitaegemea upande gani?
KwanzaKwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika.
Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia, Sudan, na Tunisia.
Kwa kuwa inafahamika kuwa Afrika ina jumla ya nchi 54, waliopo kwenye hizo nchi 10 za Kiarabu wanajitambulisha kama Waafrika au Waarabu?
Kukitokea mgongano wa kimaslahi kati ya nchi za Kiafrika na Kiarabu, nchi kumi za Kiarabu zilizopo Afrika zitaegemea upande gani?
Wamarekani weusi wanatambulika kama African American.Mmarekani mweusi alisema yeye sio muafrika muwe mnamueleewa.kulw ulipozaliwa ndio kwenu
Wapi wewe.na watu wa Jamaica wanatambulika kama nani?Wamarekani weusi wanatambulika kama African American.
Afro-american ni watu gani?Uafrika sio race ,,, hakuna Mmarekani Muafrika isipokuwa kuna Wamarekani weusi. Au Wamarekani wenye asili ya Afrika .
Race ni rangi
Nashukuru madam. Nitafuatilia.Akiwa na milana tamaduni za Kiarabu anakuwa Mwarabu,Waarabu wenye asili za Wasukuma na Wanyamwezi wapo wengi Oman na Yemen.
Uarabu siyo kabila ni kama vile yeyote afatae mila na desturi za Kiswahili anakuwa ni mswahili, haijalishi yu kabila gani, rangi gani au dini gani.