Waarabu wa Afrika ni Waarabu au Waafrika?

Kuwa Mwarabu ni mila na tamaduni, siyo wa kutokea bara lipi wala siyo wa rangi ipi au dini ipi.

Ni sawa na kusema Mswahili.
Nashukuru kwa majibu mazuri!
Nina swali la nyongeza: Msukuma anaweza kujiita Mwarabu na ikakubalika?
 

Hakuna sehemu Morocco waliposema ni kwa ajili ya waarabu na si Africa, yule mchezaji aliehojiwa alisema ni kwa ajili ya waarabu wote, hakugusia kabisa neno Africa. Ni nyinyi watu weusi ni inferior complex zenu zilozukfanyeni muanze kuraparapa.
 
Kwahiyo na ngozi yako hiyo mbupu ukienda kuishi Saudia unakuwa muarabu?

mbona wapo wa Saudi weusi mkuu? unamkumbuka mchezaji mashuhuri wa Football akiitwa Saeed Al Owairan?
 
Unatatizika waarabu wa Afrika kuitwa Waafrika, hutatiziki waabu wa Asia kuitojiita Waasia
 
Na Wamaorocco kipindi cha kombe la dunia walisema wao si Waafrika bali Waarabu!
Kwahiyo unazunguka koote huko, kumbe point yako wachezaji wa Morocco 🇲🇦

Juzi hapa yanga walidhulumiwa goli na mamelodi mkapiga kelele weee😁, leo mmefyata kama hakijatokea kitu, ila wamorocco bado mnao tu, na huna uhakika kama waliongea ama aliongea hayo!

Mimi ni shabiki kindakindaki wa Morocco 🇲🇦 na huniambii kitu kwa timu ya Morocco 🇲🇦
 
Sijakuelewa mkuu hapo mwisho! Wahindi ni wahindi na muda huo huo ni Waasia,
Wachina pia ni wachina na muda huo ni Waasia
Libya ni waarabu na muda huo ni waafrika!
Kwanini Libya wasiwe WaLibya na wawe waafrika?
Kwa sababu uafrica sio race is geographic name, na uarabu au uhindi ni ethnic
 
Hivi thongeee ukweli tu,
Wale jamaa ni mapandikizi,sio waafrika kabisa,mfano Tunisia.

Na sisi kama africans inabidi tuwakatae,
 
Nashukuru kwa majibu mazuri!
Nina swali la nyongeza: Msukuma anaweza kujiita Mwarabu na ikakubalika?
Akiwa na milana tamaduni za Kiarabu anakuwa Mwarabu,Waarabu wenye asili za Wasukuma na Wanyamwezi wapo wengi Oman na Yemen.

Uarabu siyo kabila ni kama vile yeyote afatae mila na desturi za Kiswahili anakuwa ni mswahili, haijalishi yu kabila gani, rangi gani au dini gani.
 
Mmarekani mweusi alisema yeye sio muafrika muwe mnamueleewa.kulw ulipozaliwa ndio kwenu
 
Ni matokeo ya mfumo wa elimu unawamaliza watanzania wengi.

Mleta mada hajajua kuwakuhoji uafrika wa watu wa nchi alizozitaja ni sawa na kuhoji utanzania wa wapare, wasukuma, wajita, wamakonde na wamakua.

Inasikitisha sana.
 
Kumbe wasomali na wangazija ni waarabu! Sikulijua hilo.
 
Kwanza
Djibouti na Somalia,,,,siyo waarabu....

Pili
Uafrika siyo kabila ila ni utambulisho wa kutokea bara la Afrika.
 
Mmarekani mweusi alisema yeye sio muafrika muwe mnamueleewa.kulw ulipozaliwa ndio kwenu
Wamarekani weusi wanatambulika kama African American.
 

Attachments

  • African_American_festival_kicks_off_in_Warren(144p).mp4
    3.2 MB
Uafrika sio race ,,, hakuna Mmarekani Muafrika isipokuwa kuna Wamarekani weusi. Au Wamarekani wenye asili ya Afrika .

Race ni rangi
Afro-american ni watu gani?
Africa ni bara
African ni race (mwafrika) kama tunavyosema mchina, mhindi nk
China ni nchi
Chinese can mean race or nationality
 
Nashukuru madam. Nitafuatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…