mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,565
- 2,944
Wamasai wa Kenya ni wamasai au wakenya?? Ongeza akili japo kidogo basi swali lako halina maana!!Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika.
Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia, Sudan, na Tunisia.
Kwa kuwa inafahamika kuwa Afrika ina jumla ya nchi 54, waliopo kwenye hizo nchi 10 za Kiarabu wanajitambulisha kama Waafrika au Waarabu?
Kukitokea mgongano wa kimaslahi kati ya nchi za Kiafrika na Kiarabu, nchi kumi za Kiarabu zilizopo Afrika zitaegemea upande gani?
Hivi thongeee ukweli tu,
Wale jamaa ni mapandikizi,sio waafrika kabisa,mfano Tunisia.
Na sisi kama africans inabidi tuwakatae,
Kwa hiyo unataka kusema Mtu yoyote anayefuata mila na tamaduni za waarabu basi ni mwarabu?Kuwa Mwarabu ni mila na tamaduni, siyo wa kutokea bara lipi wala siyo wa rangi ipi au dini ipi.
Ni sawa na kusema Mswahili.
Kwani utambulisho wako kuwa Mwafrika ni upi?Hivi thongeee ukweli tu,
Wale jamaa ni mapandikizi,sio waafrika kabisa,mfano Tunisia.
Na sisi kama africans inabidi tuwakatae,
Siyo "anaefata" tu. "Anaefata" tu anakuwa mstaarabu.Kwa hiyo unataka kusema Mtu yoyote anayefuata mila na tamaduni za waarabu basi ni mwarabu?
Fafanua hii statement yako sijakuelewaSiyo "anaefata" tu. "Anaefata" tu anakuwa mstaarabu.
Mwenye mila na tamaduni mama za Kiarabu ndiyo Mwarabu.
Kama hujanielewa nisome tena taratibu.Fafanua hii statement yako sijakuelewa
Kabla ya mwaka 1948 kulikuwa hakuna nchi inayoitwa Israel.Mkuu sijui kwa nini watu wanadhani umeuliza swali la kijinga,but naona swali lako lina hoja ndani yake.
Na issue kama hizi ndio zinafanya watu tuhoji ilikuwa kuwa vipi Waisrael (whites) a.k.a Wazungu wakawa katikati ya nchi za kiarabu ambapo watu wake ni waarabu??
Mabara yaligawiwa kwa kufuta ethnic za watu,Waarabu waliopo Afrika asili yao ni Asia ambapo inajumuisha wachina,Indians,Korean,Japanese,Nepal, Mongolia na hawa watu ukiwaona wanendana kwa kila kitu.Huku Afrika walihamia tu-hivyo kuhamia huku hakuwafanyi wao kupoteza asili yao na kuwa Waarabu.
Wanaitwa Waafrika kwa kuwa wanaishi ndani ya bara la Afrika na hiyo ni kutokana na mgawanyo wa maeneo ya kiutawala but always watakuwa Waarabu.
Mkuu, umeshawahi kuhudhuria vikao vya mahakama? Hakuna swali la kipumbavu bali kunaweza kuwepo na majibu ya kipumbavu.Wamasai wa Kenya ni wamasai au wakenya?? Ongeza akili japo kidogo basi swali lako halina maana!!
Wamarekani weusi wanatambulika kama African American.
📌🔨Wale ni waarabu wanaokaa Africa hata tamaduni zao ni za kiarabu na sio za kiafrika
Uwe mwarabu tu inatoshaKwani sifa za kuwa Mwarabu ni zipi?
Wewe mstaarabu?
Kwani sifa za kuwa Mwarabu ni zipi?Uwe mwarabu tu inatosha
unanipa mashaka degree yako ulisomea kijiwe cha breakpoint pale posta?Sijakuelewa mkuu hapo mwisho! Wahindi ni wahindi na muda huo huo ni Waasia,
Wachina pia ni wachina na muda huo ni Waasia
Libya ni waarabu na muda huo ni waafrika!
Kwanini Libya wasiwe WaLibya na wawe waafrika?
Degree yangu nimeipata Kijiwe Nongwa mkuuunanipa mashaka degree yako ulisomea kijiwe cha breakpoint pale posta?
Ukiambiwa mwarabu unaelewa ninKwani sifa za kuwa Mwarabu ni zipi?
Wewe mstaarabu?
Naelewa ni Mwarabu.Ukiambiwa mwarabu unaelewa nin
Ushaambiwa muafrika siyo rangi bali asili ndiyo maana kuna waafrika wa rangi zoteWAAFRIKA WA UARABUNI NI WAARABU AU WAAFRIKA?