watu weusi kuna sehemu tunakwama kiakili,
Wa Saudi na waarabu na mda huo huo ni wa asia
India ni wahindi na mda huo huo ni wa asia
China ni wachina na mda huo huo ni wa asia
Libya ni waarabu na mda huo huo ni waafrika.
Uafrika ni kitu mbali na uarabu ni kitu mbali. Africa ni bara Uarabu ni ethic. Munashindwaje kufahamu jambo dogo kama hilo?
Acheni kuchanganya uafrica na Ubantu.