Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hao jmaa wanakera mno unaweza kwenda kushusha mzigo ukaambiwa mashine leo haifanyi kazi ,then mzigo unaingia storage wale agent wa kutoa mizgo wanajikuta wanaingia lawama kwa wateja kumbe shida ni TictsTicts ya karamagi ni wangese Sana!
Acha fikra potofu mkuu,hao dp wanaendesha bandari nyingi tu europe,kama sikosei hata greece na cyprus hao dp ndio waendeshaji wa hizo bandari,hata holland wana sehemu ya bandari iko chini yao,hao ni wazoefu wa hayo mambo hawana uswahili kama wa akina karamagi,kikubwa wapewe space wafanye kazi yao,naamini hamna container vessel itakayokaa bandari masaa 24 au kule nangani wiki 2 kusubiria kuingia bandarini,hao jamaa ni proffesional sio unga unga mwanaKama mwarabu kapewa bandari tumeisha
Ni swala la muda tu
Uharibifu mkubwa unaenda kutokea ktk nchi yetu
Unayosema ni kweli Ila pia hao sio malaika wana mapungufu na Kuna nchi wamekuwa terminated sababu ya kushindwa kufanya kazi kwa ufanisiAcha fikra potofu mkuu,hao dp wanaendesha bandari nyingi tu europe,kama sikosei hata greece na cyprus hao dp ndio waendeshaji wa hizo bandari,hata holland wana sehemu ya bandari iko chini yao,hao ni wazoefu wa hayo mambo hawana uswahili kama wa akina karamagi,kikubwa wapewe space wafanye kazi yao,naamini hamna container vessel itakayokaa bandari masaa 24 au kule nangani wiki 2 kusubiria kuingia bandarini,hao jamaa ni proffesional sio unga unga mwana
Kikubwa wapewe mkataba mfupi sio kama waliopewa tictsUnayosema ni kweli Ila pia hao sio malaika wana mapungufu na Kuna nchi wamekuwa terminated sababu ya kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi
Halafu enzi za JK walikuwa na makandokando mengi sana hawa TICTS. Wapumzishwe tu ili na wenzao walambe asali.TICTS kwani wamepewa hati miliki ya bandari yetu? Waondoke wamekaa sana
NakaziaKikubwa wapewe mkataba mfupi sio kama waliopewa ticts
Pumbavuuuu rudi tuuzwe wote na wewe 😅 😅 😅 😅Wasiishie hapo tu hata watanzania wote tuuzwe tu..
Mkataba mfupi?Kikubwa wapewe mkataba mfupi sio kama waliopewa ticts
Kwa sababu imekua hivyo tangu tupate Uhuru,na hapakua na sababu kwa nini kupewa mwarabu tumekwisha sababu mwarabu hamjawahi pewa project yyte kubwa hapa tz na tukashuhudia kwisha/kuibiwa kwetuNi kwa nn anaposemwa mwarabu huwa mnahusisha dini? Kipindi cha JK kulikuwa na story za Marekani kutaka kupewa kigamboni, mbona sikuona mtu/watu wakihusisha dini? Bali nilichoona ni kuhusisha mambo ya kijeshi na unyang'anyi?
Hata sasa kumeibuka story ya Marekani kutaka kupewa bandari ya Bagamoyo, sijaona mtu akihusisha dini bali inahusishwa military base na unyang'anyi mwingine.
China pia hivyohivyo akitaka kupewa sehemu kuendesha watu hukosoa sana, Ila sioni wakihusisha dini.
Kwa nn wakisemwa waarabu mnakimbilia dini?
Wewe na wenzako wa hiyo dini mna inferiority.Kwa sababu imekua hivyo tangu tupate Uhuru,na hapakua na sababu kwa nini kupewa mwarabu tumekwisha sababu mwarabu hamjawahi pewa project yyte kubwa hapa tz na tukashuhudia kwisha/kuibiwa kwetu
Wewe karani si mlikuwa mnasema Magufuli alikuwa anasubiri mkataba wa Ticts uishe ili awaondoe na mkaanza kulalamika sana kwamba anataka kuwahujumu ticts wasipewe mkataba mpya?Karamagi alijali sana kuhonga viongozi madola manono manono kuliko kujenga capacity in quality service delivery!!
Nilishangaa sana huyu Karamagi kuweza kumuweka hata Jiwe mfukoni!! Ngoja apumzike na TICTS yake tuone na wengine.
Inferiority!!!..wrong bro,tunajuana labda Kama una umri mdogo,Kama ulikuwepo wakati wa dowans na symbion utaelewa,mwarabu alipewa project gani kubwa tukaona unyang'anyi uliofanyika mpaka mtoa mada atutie hofu mwarabu kupewa bandari!!?..hiyo hofu imesukumwa na nini!?..unyang'anyi wa china na wazungu unajulikanaWewe na wenzako wa hiyo dini mna inferiority.
Kuhusu watu kuwa na wasiwasi mbona hata bandari ya Bagamoyo walipinga/wanapinga kupewa mchina?
Unasema mwarabu hajawahi kupewa project kubwa tukashuhudiwa kuibiwa kwetu?
Shida wenzetu huwa mnawaona waarabu ni malaika, bado nashindwa kuelewa Kuna uhusiano gani Kati ya kuwa muumini wa dini na race ya mtu flani? Kila siku tunawatukanaa wachina na Marekani lakini sijawahi kuona watu wakihusisha na dini, Ila kwa waarabu huwa mnakuwa wakali kweli.
Ana akili ndogo huyo achanaye.Ni kwa nn anaposemwa mwarabu huwa mnahusisha dini? Kipindi cha JK kulikuwa na story za Marekani kutaka kupewa kigamboni, mbona sikuona mtu/watu wakihusisha dini? Bali nilichoona ni kuhusisha mambo ya kijeshi na unyang'anyi?
Hata sasa kumeibuka story ya Marekani kutaka kupewa bandari ya Bagamoyo, sijaona mtu akihusisha dini bali inahusishwa military base na unyang'anyi mwingine.
China pia hivyohivyo akitaka kupewa sehemu kuendesha watu hukosoa sana, Ila sioni wakihusisha dini.
Kwa nn wakisemwa waarabu mnakimbilia dini?
Unaona sasa, hadi hapo unawaona waarabu ni malaika.Inferiority!!!..wrong bro,tunajuana labda Kama una umri mdogo,Kama ulikuwepo wakati wa dowans na symbion utaelewa,mwarabu alipewa project gani kubwa tukaona unyang'anyi uliofanyika mpaka mtoa mada atutie hofu mwarabu kupewa bandari!!?..hiyo hofu imesukumwa na nini!?..unyang'anyi wa china na wazungu unajulikana