Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

Mbona wao waarabu hawaitwi makafir
 
Ameendaje kufanya kazi Uarabuni? Kama sio Muislam ataitwa KAFIR na waarabu siku zote za maisha yake huko

Bado wataanza kumkojolea, kumnyea na kumuita Najis, hajaona WaSaudi Arabia wanavyowafanyia Mabinti wa kazi weusi kutoka Kenya na Somalia?
 
We ndio umembagua,weka ushaidi tuone, Jf imevamiwa na vichaa sikuizi ,bora nilivyokuwa msomaji tu bila kuwa member
 
Mbona tafsiri ya neno kafiri wala haina shida ? Ni kweli kwa tamaduni zao kama wewe sio wa dini yao ni halali wao kukuita kafiri kama ambavyo wewe pia unaweza kuwaita wapinga Kristo. Au mkuki kwa nguruwe ni mtamu ila kwa binadamu mchungu?🤔
 
Mtu hai atanukaje kama mzoga?

Kwani uarabu una ubora Gani dhidi ya mtu mweusi?
Allah Anatwambia kwenye Quran kuwa Ametuumba tofauti kwa makabila na jinsia ili tupate kutambuana. Lkn mbora wetu miongoni mwetu ni mwenye kumcha Allah
Kubagua kupo kwenye khulka ya mtu na wala sio kabila wala Dino yake.
Wahindi wapo nchi mmoja na wanabaguana wenyewe kwa wenyewe kwa makabila yao na rangi zao.
 

Attachments

  • VID-20221014-WA0019.mp4
    990.9 KB
Hapa bongo yenyewe Kuna vijiswahili vinajifanywa eti vinafuata Mila za kiarabu hilo tusi huwatukana wenzao wazi wazi
Hilo neno "kaffir" linatumika sana Afrika kusini". Tanzania tuna neno kafiri ambalo lipo hata kwenye biblia.

Unaelewa kutofautisha kaffir ya Kiarabu ya Afrika Kusini na kafiri ya kwenye biblia na Qur'an.

Na amaan ya yote hayo siyo aliyoileta mleta mada, sijalkutana mahali na maana hiyo.

Wewe unafahamu kaitowa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…