Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

Mbona katika maelezo yako inaonekana ni mtu MMOJA tu ndiye amemuita hivyo?? Lakini heading inasema Waarabu (pamoja na kwamba umeandika "Warabu") ukimaanisha ni wengi.

Kwa upande mwingine mbona humu JF baadhi ya Waislam huwa wanasema neno Kaffir siyo tusi?!!! Wanasema maana yake ni mtu ambaye hamuamini au kumuabudu Allah!!

Kwa kuwa kila mtu anamuabudu Mungu anayemuamini yeye basi kama mimi naamini Mungu Baba muumba vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana na mtu mwingine haamini ninayoamini mimi na yeye ni Kaffir!!! Kama wengine wanaamini Ng'ombe ndiyo Mungu, mimi ambaye siamini hivyo ni Kaffir kwa mtu huyo.

Kwa hiyo let us take things SIMPLE or EASY!!! AMINI UNACHOAMINI. Kila mtu ni Kaffir kwa mtu anayeamini tofauti na mwingine.
Acheni kuwatetea waarabu kipuuzi puuzi nyie hivi hawa watu mnawajua?? Au ndo Brain washaded??
 
Warabu wametia aibu soka la Africa kwa kumbagua Mwafrica mwenzao Kwa kumwita Kaffir, yaani mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga

Rulan Mokwena ni Coach wa Wydad Casablanca ya Morocco, zamani alikuwa coach wa Mamelod sundown ya Africa Kusini

Ubaguzi huo umefanywa na Moja ya viongozi wa benchi la ufundi la IR Tanger katika mchezo uliomalizika kwa suluhu

Siyo uungwana kumbagua mwenzako Kwa tusi la KAFFIR. Kamati kuu ya CAF itakaa kufanya maamuzi ya adhabu kwa hao waliomwita Coach Rulan Mokwena Kaffir
Nilikwambia WAARABU WANATAKIWA WAULIWE WOTE ILI DUNIA IWE SAFI NA USHOGA WAO NDIO WAANZILISHI
 
Morocco imekuwa ikibagua waafrika wenzao kwenye soka. Mara wajione si waafrika bali ni waarabu na waislam, mara wajione wako uarabuni na ukanda wa mediterania, ni wa kupuuzwa katika ubaguzi wao
 
Kungekuwa kuna uwezokano wa kuwatenga waarabu wote waliopo barani afrika morocco, tunisia, libya, algeria, misri, sudan ya kaskazini na wale wote wenye ushombeshombe wa kiarabu kama mauritania wangeondolewa wakajiunge na waarabu wenzao wa mashariki ya kati na asia kuliko race hiyo kuendelea kubagua wenzao wa bara moja la afrika, wanatia aibu katika soka
 
Mbona katika maelezo yako inaonekana ni mtu MMOJA tu ndiye amemuita hivyo?? Lakini heading inasema Waarabu (pamoja na kwamba umeandika "Warabu") ukimaanisha ni wengi.

Kwa upande mwingine mbona humu JF baadhi ya Waislam huwa wanasema neno Kaffir siyo tusi?!!! Wanasema maana yake ni mtu ambaye hamuamini au kumuabudu Allah!!

Kwa kuwa kila mtu anamuabudu Mungu anayemuamini yeye basi kama mimi naamini Mungu Baba muumba vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana na mtu mwingine haamini ninayoamini mimi na yeye ni Kaffir!!! Kama wengine wanaamini Ng'ombe ndiyo Mungu, mimi ambaye siamini hivyo ni Kaffir kwa mtu huyo.

Kwa hiyo let us take things SIMPLE or EASY!!! AMINI UNACHOAMINI. Kila mtu ni Kaffir kwa mtu anayeamini tofauti na mwingine.
Hii Imetosha kwa atakaye kuwa mweledi
 
Habatri ya kutokea ngara unauhakika nayo upi kuwa ni ya kweli?
Wewe Bibi unawashobekea Sana waarabu lkn hautamani kwenda kwenye nchi zao ungejitolea ata siku moja uendeko huko kwa hao mabwana zako ata Yemen karibu tu hapa Kama utarudi na malinda yako
 
Warabu wametia aibu soka la Africa kwa kumbagua Mwafrica mwenzao Kwa kumwita Kaffir, yaani mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga

Rulan Mokwena ni Coach wa Wydad Casablanca ya Morocco, zamani alikuwa coach wa Mamelod sundown ya Africa Kusini

Ubaguzi huo umefanywa na Moja ya viongozi wa benchi la ufundi la IR Tanger katika mchezo uliomalizika kwa suluhu

Siyo uungwana kumbagua mwenzako Kwa tusi la KAFFIR. Kamati kuu ya CAF itakaa kufanya maamuzi ya adhabu kwa hao waliomwita Coach Rulan Mokwena Kaffir
Picha ya huyo coacher
 
Wewe Bibi unawashobekea Sana waarabu lkn hautamani kwenda kwenye nchi zao ungejitolea ata siku moja uendeko huko kwa hao mabwana zako ata Yemen karibu tu hapa Kama utarudi na malinda yako
Huwa sikisii.

Mie mstaarabu, vipi wewe?
 
Vip ushatawaza
Upo coco beach unauliza baharini wapi?

Unafikiri mimi kondoo anaeogopa maji na kunya bila kutawadha?

Jamaa alikuwa ananuka nya nini kwenye benchi la ufundi? Au alikuwa anajambajamba hovyo?

Halafu weka kauli yako sawa, waliomtukana ni wa benchi la timu pinzani, siyo timu yake.

Au hujaelewa kilichoandikwa uliposoma hiyo habari?
 
Kabla ya kubagiliwa unaanza kujibagua mwenyewe. Kabla ya kudharauliwa unaanza kujidharau mwenyewe.
 
Back
Top Bottom