Kwahiyo uamini au?Hizi bange ndo mana zilipigwa marufuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo uamini au?Hizi bange ndo mana zilipigwa marufuku
Next time jifunze tofauti ya CUF na CAFHizi bange ndo mana zilipigwa marufuku
Huwajui kina Zidane? Huwajui kina Mo Salah? Huwajui kina Benzema?Rekodi za Nigeria, Ghana,Cameroon na senegal zinaeleweka kombe la dunia huwa wanatufutia aibu
Je, hawa waarabu wanarekod yeyote nzuri? Wakienda kombe la dunia? Wameshawahi kuvuka hata makundi?
Kwanini wamefanikiwa soka la africa lkn wakivuka mpaka wa bara wanakuwa kama timu za ndondo?
Huwajui ki drogba huwajui kina samataHuwajui kina Zidane? Huwajui kina Mo Salah? Huwajui kina Benzema?
Hivi unaishi dunia ipi wewe?
Sijuwi kama na wao hao ni Waarabu.Huwajui ki drogba huwajui kina samata
Isome vizuri mada kwanza bibiye FaizaFoxy Zizzou na Karim Benzema wanahusika vipi na timu za Afrika?Huwajui kina Zidane? Huwajui kina Mo Salah? Huwajui kina Benzema?
Hivi unaishi dunia ipi wewe?
Soma bichwa lako la habari. Umejumuisha Waarabu wote na ndiyo tumekupa elimu hivyo.Isome vizuri mada kwanza bibiye FaizaFoxy Zizzou na Karim Benzema wanahusika vipi na timu za Afrika?
Pia uzi unazungumzia mafanikio ya timu na sio mchezaji binafsi
alaf kwa nn ata wasingepambanishwa wenyew kwa wenyew ila wapunguze tim za kiarabu uko mf Misri vs Tunisia au Algeria vs Morocco alf game zao ukiondoa Misri wote wanamalizia nyumban kwao.
Ok, mada sijaanzisha mimi lakini nadhani wote tumeelewa mada kwa mtizamo tofautiSoma bichwa lako la habari. Umejumuisha Waarabu wote na ndiyo tumekupa elimu hivyo.
Usikute miongoni mwa watu uliyejadiliana nao ni huyu mleta uziLeo tukiwa sehemu tumejadili hii mada. Naikuta tena hapa.
Tukazungumzia Egypt inavyokuwa mdobwedo hata akikutana na nduguze Saud Arabia.
Safi Sana....hata kushiriki ni mafanikio makubwa.2014 magiants wa afrika, Algeria alifanya vizuri
Algeria na Germany, sema bahati haikua yao
Umesahau tulishiriki Afcon ya 2019.Watanzania katika ubora wetu, tunajadili in details ya wenzetu, je sisi tutafika huko lini?,Africon ya mwisho 1980 loooooo, Peter Tino,Juma Pondamali, T.Ally, M.Salim, etc etc no Jella Mtagwa (legend)hawa wa sasa chips na mayai, hii team ya 1980 walikua wanakula shima ya Unga wa ngano!
Ghana na UruguayHivi ile mechi ya kombe la dunia Asamoh gyan alikosa penalt dk za mwisho ilikuwa ghana na nani?
Waarabu wamenufaika na makao makuu ya cuf kuwepo egypt hujuma nyingi zinaanzia kule kwa soka la africa
Wanatiaga aibu sana world cup hawa waarabu
Wanabana nafasi za mataifa yanayofanya vizuri tu