Waarabu wana mafanikio gani tangu waanze kufuzu Kombe la Dunia

Waarabu wana mafanikio gani tangu waanze kufuzu Kombe la Dunia

Rekodi za Nigeria, Ghana,Cameroon na senegal zinaeleweka kombe la dunia huwa wanatufutia aibu

Je, hawa waarabu wanarekod yeyote nzuri? Wakienda kombe la dunia? Wameshawahi kuvuka hata makundi?

Kwanini wamefanikiwa soka la africa lkn wakivuka mpaka wa bara wanakuwa kama timu za ndondo?
Huwajui kina Zidane? Huwajui kina Mo Salah? Huwajui kina Benzema?


Hivi unaishi dunia ipi wewe?
 
Kumbukumbu za kombe la dunia 1978 argentina mwakilishi pekee wa africa alikuwa Tunisia [emoji1249] na kundi lake ilikuwepo west Germany na mexico pamoja na Austria na Kwa mara ya kwanza timu kutoka Africa ilifanya maajabu kwa kupata ushindi mechi moja dhidi ya mexico kwa mabao 3 kwa 1 na kupata droo dhidi ya Austria ya bao 2 kwa 2 na kupoteza mechi dhidi ya west germany kwa bao 1kwa 0 katika group hilo kwa mara ya kwanza fifa ilitoa shutuma nzito kwa west germany na Austria kwa kupanga matokeo mechi yao ili Tunisia wabaki na mkumbuke kipindi hicho mwakilishi wetu ilikuwa timu moja tu lakini kwa uwezo wa Tunisia wa kipindi hicho ndipo Africa tukaongezewa nafasi moja world cup ya 1982 nchini Spain
 
Huwajui kina Zidane? Huwajui kina Mo Salah? Huwajui kina Benzema?


Hivi unaishi dunia ipi wewe?
Isome vizuri mada kwanza bibiye FaizaFoxy Zizzou na Karim Benzema wanahusika vipi na timu za Afrika?

Pia uzi unazungumzia mafanikio ya timu na sio mchezaji binafsi
 
Isome vizuri mada kwanza bibiye FaizaFoxy Zizzou na Karim Benzema wanahusika vipi na timu za Afrika?

Pia uzi unazungumzia mafanikio ya timu na sio mchezaji binafsi
Soma bichwa lako la habari. Umejumuisha Waarabu wote na ndiyo tumekupa elimu hivyo.
 
alaf kwa nn ata wasingepambanishwa wenyew kwa wenyew ila wapunguze tim za kiarabu uko mf Misri vs Tunisia au Algeria vs Morocco alf game zao ukiondoa Misri wote wanamalizia nyumban kwao.

mkuu ratiba zimepangwa kwa ubora wa rank ama viwango vya timu, timu zinazomalizia nyumbani kwa sasa ndio timu zinaongoza kwa ubora Africa.
 
Munateseka sana na Waarabu, Ila hawa waarabu ni hatari sana, wanawanyoosha wabantu mpaka wanaishia kumwaga povu la chuki tu mitandaoni.

Kwa kifupi tu kati ya timu 5 zinazokwenda world cup 4 zitakua ni za kiarabu.
Katika timu 8 ambazo zitacheza robo fainali ya CAF champion league msimu huu 6 ni za kiarabu
Katika timu 8 ambazo zitacheza robo fainali ya CAF Confederation msimu huu 5 zinatarajiwa kuwa ni Za kiarabu

SO wamatumbwi acha waendelea kumwaga povu tu
 
Hivi ile mechi ya kombe la dunia Asamoh gyan alikosa penalt dk za mwisho ilikuwa ghana na nani?
 
Leo tukiwa sehemu tumejadili hii mada. Naikuta tena hapa.
Tukazungumzia Egypt inavyokuwa mdobwedo hata akikutana na nduguze Saud Arabia.
Usikute miongoni mwa watu uliyejadiliana nao ni huyu mleta uzi
 
Watanzania katika ubora wetu, tunajadili in details ya wenzetu, je sisi tutafika huko lini?,Africon ya mwisho 1980 loooooo, Peter Tino,Juma Pondamali, T.Ally, M.Salim, etc etc no Jella Mtagwa (legend)hawa wa sasa chips na mayai, hii team ya 1980 walikua wanakula shima ya Unga wa ngano!
Umesahau tulishiriki Afcon ya 2019.
 
Back
Top Bottom