Waarabu wanachezea mali alizowapa Mungu wakati duniani wapo Waislamu ambao hawapati hata mlo mmoja kwa siku

Mbona wazungu ni wakristu lkn misaada yao inaenda mpaka kwa waislamu?Wewe kwa nini unakazia Waarabu wasaidie Waislamu...Wasaidie ulimwengu, waweke charity..
Huwezi ona hayo sababu nafikiri kati ya species za binadamu ambazo akili zao zinashida ni hao Waarabu. Inawezekana ni genetics au ubaguzi au roho mbaya.
Wewe mfano Palestina anakula kichapo heavy hakuna wanachofanya...sasa kama wao wanafanyiana hivyo ndo wakasaidie kwingine??
 
Kwahiyo ni sawa kuchezea mali ilhali ndugu zako wanaangamia kwa umasikini?
 
Huo wajibu wa kuwatazima waislam dunia nzima nan kawapa ?
Kila mtu anakula anachovuna waache watumie Mali zao
Hivi unajua kwamba katika Uislamu kuna ngazi za uongozi, na viongozi wakubwa wanatokea huko
 
Sahihi kabisa, lakini Uislamu umehimiza kusaidiana na sio kuchezea mali kwa mambo ambayo ni batili.
 
Yaani ukiwa muislamu moja kwa moja unawuqualify kunufaika na utajiri wa nchi za kiarabu?
Hapana, lakini sio sahihi kuchezea mali alizokupa Mungu na ndugu zako katika imani wanateseka na kuangamia
 
Huwezi kupinga au kukata kwamba waarabu kwa sasa wana uchumi mkubwa na mapato makubwa
 
1. Kwa nini hao magaidi wa Isis wakubali kutumikia makafiri kufanya uovu wote huo kama kweli uislamu unapinga uovu huo.
Hao ni binadamu na wanaweza kuwa waasi kwa matakwa yao, Uislamu hauna hatia katika hilo.
 
Wewe mfano Palestina anakula kichapo heavy hakuna wanachofanya...sasa kama wao wanafanyiana hivyo ndo wakasaidie kwingine??
Hata mimi najiuliza kuhusu hilo, kwanini wanatizamq ndugu zao wakiagamizwa bila kuchukua hatua yoyote
 
Uarabu na Uislamu ni vitu viwili tofauti. Uarabu ni jamii ya watu wa mashariki ya kati wanaoongea lugha ya Kiarabu.

Uislamu ni imani ya watu inaoamni kuwa Muhammad aliyezaliwa Mecca mwaka 570 AD na kufia Madina mwaka 632 AD ni Mtume wa Mungu.

Aidha zaidi ya 90% ya Waarabu ni Waislamu. Kuna Waarabu Wakristu pia 12 millioni au 6% duniani kote

Wewe Bob Manson wa Buza usijidanganye kamwe kuwa Waarabu ni ndugu zako kwa kuwa tu wote mnaswali sawa.

Waache Waarabu watumie utajiri wao wanavyotaka.
 
Wakija kuwagawia pesa mtasikia waarabu wananunua watu, wanataka kununua nchi. Pambaneni na hali zenu
 
Wakija kuwagawia pesa mtasikia waarabu wananunua watu, wanataka kununua nchi. Pambaneni na hali zenu
Sio kugawa pesa kwa kila mtu, ila ni kusaidia wale wenye uhitaji.
 
Waarabu wa pale makka ndio wakwanza kumpinga Mtume Muhammad na wao ndio wa kwanza kumpiga vita bali walitaka kumuua kabisa. Inazungumziaje hili?

Bilal alikuwa ni Mwafrika wa Ethiopia Alikuwa Miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kuukubali Uislamu kabla ya Waarabu wengi baadae.

For your information Nchi yenye waislamu wengi zaidi Dunia kwa sasa hata sio ya Kiarabu.
 
Usiwapangie matumizi. Kutoa ni moyo, usambe ni utajiri
Sijawapangia matumizi, nime wakumbusha kwamba Mungu hapendi watu wachezee mali ilhali ndugu zao wanaangamia.
 
Huwezi kupinga au kukata kwamba waarabu kwa sasa wana uchumi mkubwa na mapato makubwa
Waarabu wapi na kina nani ? Ukiongelea Mafuta behind wao kuna Nchi za Western ndio zinawatumia kwa kupitia wafalme wao na ni viongozi wao ndio wanafaidika hata hivi unajua mfano USA ina deposits za mafuta ya kutosha na basi ikiamua kutoa ziwani kuna deposits za kufa mtu ? Hivi unajua haya mafuta karibia yote wanaonufaika ni Makampuni ya kina ExxonMobil, Chevron, BP, Shell, Eni and TotalEnergies ?

Kwahio unadhani when push comes to shove ni nani atashinda njaa mwenye ardhi ambayo inaweza kutoa mazao na resources nyingine ikiwemo nishati mbadala au ni watu waliopo jangwani wanaotegemea fossil fuels ? Hivi unadhani wanapoamua kuingia kwa kutumia DP World au kipindi walipotumia Utumwa kama njia ya kujipatia kipato ni nini ? (resources wise they are lacking); washukuru tu dunia ilikuwa depent kwenye oil economy and that has nothing to do with God.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…