Waarabu wanachezea mali alizowapa Mungu wakati duniani wapo Waislamu ambao hawapati hata mlo mmoja kwa siku

Waarabu wanachezea mali alizowapa Mungu wakati duniani wapo Waislamu ambao hawapati hata mlo mmoja kwa siku

Mbona wazungu ni wakristu lkn misaada yao inaenda mpaka kwa waislamu?Wewe kwa nini unakazia Waarabu wasaidie Waislamu...Wasaidie ulimwengu, waweke charity..
Huwezi ona hayo sababu nafikiri kati ya species za binadamu ambazo akili zao zinashida ni hao Waarabu. Inawezekana ni genetics au ubaguzi au roho mbaya.
Wewe mfano Palestina anakula kichapo heavy hakuna wanachofanya...sasa kama wao wanafanyiana hivyo ndo wakasaidie kwingine??
 
Umiza kichwa upate mabilioni kisha uwe unasaidia watu,waarabu waliumiza kichwa wakatumia rasilimali walizonazo kutajirika na kuwapa maisha bora raia wao.
Hata wewe kwenye nchi ulipo kuna rasilimali nyingi tu ikiwemo Dhahabu,Almasi,Mafuta,Gesi,Mbuga za wanyama,Mashamba(uarabuni ni jangwa,hakuna kilimo)hamasisha viongozi wako wazitumie vizuri ili upate maendeleo kama ya waarabu.
Kwahiyo ni sawa kuchezea mali ilhali ndugu zako wanaangamia kwa umasikini?
 
Huo wajibu wa kuwatazima waislam dunia nzima nan kawapa ?
Kila mtu anakula anachovuna waache watumie Mali zao
Hivi unajua kwamba katika Uislamu kuna ngazi za uongozi, na viongozi wakubwa wanatokea huko
 
Kuwa mwarabu pekee hakukufanyi uwe muislam, na sio kila muislam anauishi uislam, waislam wemgi hatuishi uislam ambao mtume S.A.W aliuishi na aliufundisha.
Mie muislam naweza kwenda daily msiktini lakini mwanga, mnafiki, mgombanishi, mchoyo, hapatani na ndugu yake, hana adabu kwa mzazi wake.
Anaonekana muislam lakini hana imani, hana dini katika vitendo.
Sahihi kabisa, lakini Uislamu umehimiza kusaidiana na sio kuchezea mali kwa mambo ambayo ni batili.
 
Yaani ukiwa muislamu moja kwa moja unawuqualify kunufaika na utajiri wa nchi za kiarabu?
Hapana, lakini sio sahihi kuchezea mali alizokupa Mungu na ndugu zako katika imani wanateseka na kuangamia
 
Nchi za kiarabu huwezi kusema wana wealthy naturally..., ni basi tu imetokea uchumi wa kidunia kwa wakati mrefu umekuwa dependent kwenye OIL lakini ukiongelea nishati kuna Nishati mbadala nyingi and we can no away with OIL

Kwahio in comparison Tanzania ni moja ya nchi yenye resources za kutosha na hali ya hewa murua kabisa maradufu kuliko huko Jangwani.....
Huwezi kupinga au kukata kwamba waarabu kwa sasa wana uchumi mkubwa na mapato makubwa
 
1. Kwa nini hao magaidi wa Isis wakubali kutumikia makafiri kufanya uovu wote huo kama kweli uislamu unapinga uovu huo.
Hao ni binadamu na wanaweza kuwa waasi kwa matakwa yao, Uislamu hauna hatia katika hilo.
 
Wewe mfano Palestina anakula kichapo heavy hakuna wanachofanya...sasa kama wao wanafanyiana hivyo ndo wakasaidie kwingine??
Hata mimi najiuliza kuhusu hilo, kwanini wanatizamq ndugu zao wakiagamizwa bila kuchukua hatua yoyote
 
Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.

Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.

Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.

Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.

Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.

Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Uarabu na Uislamu ni vitu viwili tofauti. Uarabu ni jamii ya watu wa mashariki ya kati wanaoongea lugha ya Kiarabu.

Uislamu ni imani ya watu inaoamni kuwa Muhammad aliyezaliwa Mecca mwaka 570 AD na kufia Madina mwaka 632 AD ni Mtume wa Mungu.

Aidha zaidi ya 90% ya Waarabu ni Waislamu. Kuna Waarabu Wakristu pia 12 millioni au 6% duniani kote

Wewe Bob Manson wa Buza usijidanganye kamwe kuwa Waarabu ni ndugu zako kwa kuwa tu wote mnaswali sawa.

Waache Waarabu watumie utajiri wao wanavyotaka.
 
Wakija kuwagawia pesa mtasikia waarabu wananunua watu, wanataka kununua nchi. Pambaneni na hali zenu
 
Wakija kuwagawia pesa mtasikia waarabu wananunua watu, wanataka kununua nchi. Pambaneni na hali zenu
Sio kugawa pesa kwa kila mtu, ila ni kusaidia wale wenye uhitaji.
 
Ninyi waislamu si huwa mnataka tusihusianishe uarabu na uislamu.

Huwa mnakataa katakata kwamba hamna mahusiano kila tukiwaambia uislamu ni jadi ya waislamu katika kuabudu na practically uislamu umejaa uarabu na kwamba kwa waarabu nyie ni kama watumwa tu.

Mnabisha.

Iweje leo mnataka waarabu wawasaidie waislamu wa nchi za kajamba nani?
Waarabu wa pale makka ndio wakwanza kumpinga Mtume Muhammad na wao ndio wa kwanza kumpiga vita bali walitaka kumuua kabisa. Inazungumziaje hili?

Bilal alikuwa ni Mwafrika wa Ethiopia Alikuwa Miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kuukubali Uislamu kabla ya Waarabu wengi baadae.

For your information Nchi yenye waislamu wengi zaidi Dunia kwa sasa hata sio ya Kiarabu.
 
Huwezi kupinga au kukata kwamba waarabu kwa sasa wana uchumi mkubwa na mapato makubwa
Waarabu wapi na kina nani ? Ukiongelea Mafuta behind wao kuna Nchi za Western ndio zinawatumia kwa kupitia wafalme wao na ni viongozi wao ndio wanafaidika hata hivi unajua mfano USA ina deposits za mafuta ya kutosha na basi ikiamua kutoa ziwani kuna deposits za kufa mtu ? Hivi unajua haya mafuta karibia yote wanaonufaika ni Makampuni ya kina ExxonMobil, Chevron, BP, Shell, Eni and TotalEnergies ?

Kwahio unadhani when push comes to shove ni nani atashinda njaa mwenye ardhi ambayo inaweza kutoa mazao na resources nyingine ikiwemo nishati mbadala au ni watu waliopo jangwani wanaotegemea fossil fuels ? Hivi unadhani wanapoamua kuingia kwa kutumia DP World au kipindi walipotumia Utumwa kama njia ya kujipatia kipato ni nini ? (resources wise they are lacking); washukuru tu dunia ilikuwa depent kwenye oil economy and that has nothing to do with God.....
 
Back
Top Bottom