Mwarabu amechukua nafasi ya mchina.Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake Uarabuni.
Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea Uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa Koulibaly na golikipa Mendy muda wowote wataelekea Uarabuni.
Waarabu wamedhamiria kweli nina mashaka baada ya misimu michache wachezaji wengi wa daraja la juu watakuwa wanacheza huko uarabuni
Mbona ligi na timu ya taifa ya Saudi imejaa watu weusi acha kukalili.
Kwanza nawashangaaga nyinyi mnao sema waarabu wanawadharau watu weusi hali ya kuwa waarabu ndo jamii pekee ya watu weupe wenye muingiliano mkubwa wa kimahusiano na watu weusi kuliko jamii nyingine.
Inatumika pia kama mali ghafi ya kutengenezea bidhaa mbalimbali lakini nchi mbalimbali zinazo zalisha mafuta tayari zimeshaanza kufanya "Diversification," hivyo usifikiri wenyewe ni wajinga na eti wewe wa hapo Tandika kwa Mchambia Chupa ndio una akili kuwazidi.Kwahiyo mafuta yanatumika kwenye Magari tu?
ππππ
Binti mbona povu kama mgonjwa wa kifafa?Inatumika pia kama mali ghafi ya kutengenezea bidhaa mbalimbali lakini nchi mbalimbali zinazo zalisha mafuta tayari zimeshaanza kufanya "Diversification," hivyo usifikiri wenyewe ni wajinga na eti wewe wa hapo Tandika kwa Mchambia Chupa ndio una akili kuwazidi.
Sio hana kiwango yule ni mtu na nusu ila kwa falasafa za barca haendani na mpira wa barcaRuben neves tetesi za kutakwa na Barca kaanzisha wakala wake tu, Hana kiwango chochote acha aende uarabuni tu
Angekua Mtu na nusu miaka yote SITA Hio asingekaa wolves, hakuna mchezaji hapendi kua club kubwa na kucheza ucl... Lakini pale wolves ndo palikua saizi yakeSio hana kiwango yule ni mtu na nusu ila kwa falasafa za barca haendani na mpira wa barca
Mwana Mfalme wa Saudia ameagiza vilabu viandae bajeti ya kuhakikisha wachezaji nyota 300 wa dunia wanaenda kucheza Ligi ya Saudia.Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake Uarabuni.
Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea Uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa Koulibaly na golikipa Mendy muda wowote wataelekea Uarabuni.
Waarabu wamedhamiria kweli nina mashaka baada ya misimu michache wachezaji wengi wa daraja la juu watakuwa wanacheza huko uarabuni
China hawajashindwa mbona mkuu, wao China wana project ya muda mrefu wakilenga kuanzia 2050 watawale soka sasa hapa wame fail vp?China na Marekani walishindwa
Pesa inaongeaRuben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake Uarabuni.