pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Mwarabu amechukua nafasi ya mchina.Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake Uarabuni.
Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea Uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa Koulibaly na golikipa Mendy muda wowote wataelekea Uarabuni.
Waarabu wamedhamiria kweli nina mashaka baada ya misimu michache wachezaji wengi wa daraja la juu watakuwa wanacheza huko uarabuni
Sent using Jamii Forums mobile app