Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Sahihi kabisaMpira pesa weka pesa toa pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisaMpira pesa weka pesa toa pesa
Inaonyeshwa channel gani?Wenyewe wameweza hasa baada ya usajili wa Ronaldo, ligi yao ilikua haijawi kuonyeshwa nje ya Asia lakini sasa hivi dunia nzima wana itazama.
Sio Arsenal Wenger, Ni Arsene[emoji2]Mzee asernal Wenger alipoulizwa na watu wa China ,Mzee Sisi tufanyeje tuwe kama nyinyi huko ulaya?Mzee asernal Wenger alijibu kama hivi;Uingereza iliwachukua miaka 150 kufika pale walipo!
Sasa mtoa mada huko uarabuni unakosema bado sana ,kuna sababu zinazofika 30 kuweza kufika Ile Hali unayoona pale England.
Nikuulize swali mwarabu yupi anakubali kulala na ngozi nyeusi ili tupate watoto?Jibu angalia England ilivyo wao wataweza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sio kirahisi hivyo
thanks huyu ndio Koch's mchumi dunianiSio Arsenal Wenger, Ni Arsene[emoji2]
Nimetazama mara kadhaa kwenye channel ya sports focus startimesInaonyeshwa channel gani?
Wanawaharibia Mpira how ?!!!
Ingawa ukweli ni kwamba Ulaya ndio umeharibu mpira wa Dunia (wanachukua talent zote za dunia na kuziweka bench) nchi kama Brazil academy zote zinafundisha wachezaji wake kucheza soko la ulaya kwahio vionjo vya mpira wa mataifa mengine vimekufa (hakuna varieties) Ndio maana majuzi nikauliza mpira wa Tanzania ndio umepanda au wa Afrika umeshuka ingekuwa enzi za kina Hossam Hassan hata Mo Salah angekuwa anacheza National na sio liverpool... (Talent nyingi badala ya kucheza kwao zinakaa bench ulaya) waste of talent...
Kiwango cha Soka Tanzania Kimepanda au cha Afrika Kimeshuka?
Wakati natafakari hayo najiuliza zaidi. Je, Ulaya na Hususan UK Premier League inadumaza viwango vya Mpira Sehemu Nyingine? Kulikuwa na wakati nchi tofauti zina vionjo tofauti, Afrika Nguvu na Showboating, Brazil Ginga Football n.k.; Nilisoma article moja ya Academy huko Brazil kwamba sasa hivi...www.jamiiforums.com
Hence ulaya kupanda mpinzani wa pesa ni bora; after all mpira ulaya / England sio sustainable soon or later vilabu vinakufa / vitakufa kwa kutokuendeshwa sustainably... Ndio maana hapo mwanzo nilisema.....
Wenger's Way is the Right Way.....
Katika uendeshaji wa timu wa muda mrefu na sio kutaka mafanikio ya haraka haraka na kuua timu, kocha anayefaa kuigwa ni Arsene Wenger..., Mashabiki wa Arsenal inabidi wafikilie sana wanachokitaka (kununua wachezaji wengi wenye wage bill kubwa) itakayopelekea Timu kufilisika au kutumia pesa na...www.jamiiforums.com
Kwahiyo mafuta yanatumika kwenye Magari tu?Hiyo ya Saudi Arabia ni swala la muda tu kwani mafuta hayana mustakabali wowote. Kuanzia mwaka 2035 Ulaya yote, Marekani, Canada, Japan na South Korea wanaacha kutengeneza magari yanayotumia (Fossil Fuels) hivyo ndio utakuwa mwanzo wa bei ya mafuta kuporomoka.
Kwani wewe Dada ulikua unataka kuolewa na Mwarabu ili upate watoto Eeh?Mzee asernal Wenger alipoulizwa na watu wa China ,Mzee Sisi tufanyeje tuwe kama nyinyi huko ulaya?Mzee asernal Wenger alijibu kama hivi;Uingereza iliwachukua miaka 150 kufika pale walipo!
Sasa mtoa mada huko uarabuni unakosema bado sana ,kuna sababu zinazofika 30 kuweza kufika Ile Hali unayoona pale England.
Nikuulize swali mwarabu yupi anakubali kulala na ngozi nyeusi ili tupate watoto?Jibu angalia England ilivyo wao wataweza?🤣🤣🤣🤣sio kirahisi hivyo
Wewe unataka pesa au unataka kufurahisha watu huku unaumia?Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake Uarabuni.
Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea Uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa Koulibaly na golikipa Mendy muda wowote wataelekea Uarabuni.
Waarabu wamedhamiria kweli nina mashaka baada ya misimu michache wachezaji wengi wa daraja la juu watakuwa wanacheza huko uarabuni
Endeleeni Kubishania umaskini wenuTuwape bandari waarabu
Soko la mafuta liko zaidi Afrika na Asia waarabu wataendelea tu kupiga pesa maana tunazaana kama panya!Hiyo ya Saudi Arabia ni swala la muda tu kwani mafuta hayana mustakabali wowote. Kuanzia mwaka 2035 Ulaya yote, Marekani, Canada, Japan na South Korea wanaacha kutengeneza magari yanayotumia (Fossil Fuels) hivyo ndio utakuwa mwanzo wa bei ya mafuta kuporomoka.