Waarabu wanatuharibia mpira wa Ulaya

Waarabu wanatuharibia mpira wa Ulaya

Mzee asernal Wenger alipoulizwa na watu wa China ,Mzee Sisi tufanyeje tuwe kama nyinyi huko ulaya?Mzee asernal Wenger alijibu kama hivi;Uingereza iliwachukua miaka 150 kufika pale walipo!

Sasa mtoa mada huko uarabuni unakosema bado sana ,kuna sababu zinazofika 30 kuweza kufika Ile Hali unayoona pale England.

Nikuulize swali mwarabu yupi anakubali kulala na ngozi nyeusi ili tupate watoto?Jibu angalia England ilivyo wao wataweza?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sio kirahisi hivyo
Sio Arsenal Wenger, Ni Arsene[emoji2]
 
Wanawaharibia Mpira how ?!!!

Ingawa ukweli ni kwamba Ulaya ndio umeharibu mpira wa Dunia (wanachukua talent zote za dunia na kuziweka bench) nchi kama Brazil academy zote zinafundisha wachezaji wake kucheza soko la ulaya kwahio vionjo vya mpira wa mataifa mengine vimekufa (hakuna varieties) Ndio maana majuzi nikauliza mpira wa Tanzania ndio umepanda au wa Afrika umeshuka ingekuwa enzi za kina Hossam Hassan hata Mo Salah angekuwa anacheza National na sio liverpool... (Talent nyingi badala ya kucheza kwao zinakaa bench ulaya) waste of talent...

Hence ulaya kupanda mpinzani wa pesa ni bora; after all mpira ulaya / England sio sustainable soon or later vilabu vinakufa / vitakufa kwa kutokuendeshwa sustainably... Ndio maana hapo mwanzo nilisema.....

Mkuu hii dunia ipo hivi kinachofanywa na wazungu ni sawa, ila wengine wasiokuwa wazungu wakifanya kama kile wao huitwa waharibifu.
Chakusikitisha mpaka sisi watu weusi tumekuwa na fikra kama hizo.
 
Hiyo ya Saudi Arabia ni swala la muda tu kwani mafuta hayana mustakabali wowote. Kuanzia mwaka 2035 Ulaya yote, Marekani, Canada, Japan na South Korea wanaacha kutengeneza magari yanayotumia (Fossil Fuels) hivyo ndio utakuwa mwanzo wa bei ya mafuta kuporomoka.
Kwahiyo mafuta yanatumika kwenye Magari tu?

😀😀😀😀
 
Mzee asernal Wenger alipoulizwa na watu wa China ,Mzee Sisi tufanyeje tuwe kama nyinyi huko ulaya?Mzee asernal Wenger alijibu kama hivi;Uingereza iliwachukua miaka 150 kufika pale walipo!

Sasa mtoa mada huko uarabuni unakosema bado sana ,kuna sababu zinazofika 30 kuweza kufika Ile Hali unayoona pale England.

Nikuulize swali mwarabu yupi anakubali kulala na ngozi nyeusi ili tupate watoto?Jibu angalia England ilivyo wao wataweza?🤣🤣🤣🤣sio kirahisi hivyo
Kwani wewe Dada ulikua unataka kuolewa na Mwarabu ili upate watoto Eeh?
 
Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake Uarabuni.

Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea Uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa Koulibaly na golikipa Mendy muda wowote wataelekea Uarabuni.

Waarabu wamedhamiria kweli nina mashaka baada ya misimu michache wachezaji wengi wa daraja la juu watakuwa wanacheza huko uarabuni
Wewe unataka pesa au unataka kufurahisha watu huku unaumia?
 
Mleta mada,mpira ni ajira kwa wachezaji,pia ndio ajira ya muda mfupi sana,ukishafika miaka 34 value inashuka au unaretire,huko maofisini nani anaretire kwa umri wa miaka 35?

Hela mbele kama tai,wachezaji hawachezi ili tu kukufurahisha wewe uliyepo kwenye kibanda umiza na maji yako ya mia mkononi.
 
Wenye hela waacheni tu, na hawana pa kuzipeleka ila kutafuta the finest

Kuna wakati Uingereza kulikuwa na Wapishi wa kimataifa ambao walikuwa wanaonesha umahiri wao kwenye TV na walikuwa wanapendwa haswa

Ila Dubai walipoanza kujenga mahoteli makubwa wakaona wachukue wapishi bora duniani

Wakawapa dau wakashindwa kulikataa pamoja na wao kupata mshahara ninono kwenye show zao huku wakiwa nyumbani kabisa walikozaliwa ila waliamua kwenda kwenye joto la kufa mtu kisa hela

Cheza na hela wewe
Na hawa wachezaji hata akiwekwa bench akiwa huko sawa tu mradi account inatema
 
Hiyo ya Saudi Arabia ni swala la muda tu kwani mafuta hayana mustakabali wowote. Kuanzia mwaka 2035 Ulaya yote, Marekani, Canada, Japan na South Korea wanaacha kutengeneza magari yanayotumia (Fossil Fuels) hivyo ndio utakuwa mwanzo wa bei ya mafuta kuporomoka.
Soko la mafuta liko zaidi Afrika na Asia waarabu wataendelea tu kupiga pesa maana tunazaana kama panya!

Ulaya ukifika utashangaa imejaa magari ya kutumia umeme miaka mingi sana sasa na Kila mtaa Kuna sehemu pembeni ya Barabara ya kuchaji magari ila bei ya mafuta Iko vile vile na inazidi kupanda.

Dunia Iko mbali sana kitechnolojia na kimaisha wenzetu ulaya na Marekani washasahau njaa na shida sisi huku viongozi weusi, wabunge weusi na watunga sera weusi wote hawana uwezo wa kuzungumza kwa English na wamejaa ujinga na wanalazimisha Kiswahili kitumike ili wabongo wanaoenda nje wawe wa kuhesabu wao wapate kuabudiwa hadi siku wanazokufa! Mtu mweusi ni .
Mjinga Tangu anazaliwa hadi kufa!

Tunahitaji sasa English iwe lugha ya kufundishia Ili WaTz waweze kufanya kazi nje ya nchi na kuleta pesa nyumbani kama Kenya. Ujinga wa Nyerere na Kiswahili chake bado viongozi wamekumbatia tu! Mtu amelala ila bado viongozi wanamuogopa! Ushamba ni mzigo mzigo!

Naamini Bimkubwa Samia atautafuna mfupa huu wa Nyerere kulazimisha Kiswahili kufundishia ameharibu sana akili zetu kwa kutufanya tusalie bongo kwa kushindwa kuongea English vizuri.

My take; Wafundishe wanao English nao watapata fursa nyingi za kufika ulaya na Marekani
 
Back
Top Bottom