Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

NILIJUA KICHWA CHA MWENDAWAZIMU LAKINI HAPANA HATA MWENDAWAZIMU ANA AKILI TIMAMU. yani hii nchi imelaaniwa.
 
Yani mtu kapewa njia ya pekeyake, abiria wote wakwake ila anasema eti gharama za uendeshaji zipo juu anashindwa hata kufanya service ya magari.
 
Kampuni itakayokidhi vigezo husika ipewe kandarasi bila ubaguzi wa aina yoyote!
 
Laiti ungejua kuwa kuna matajiri wengi walizalishwa kipindi cha JPM usingeongea pumba. Tena ni wale matajiri clean sio wauza unga wala pembe za ndovu.
Tajiri Gani alizalishwa kipindi Cha jpm. Matajairi wote waliambiwa wataishi kama mashetani. Ndo mana kila tajiri akaanza kufikiri kusepa hata mo alitaka kusepa wakamdaka na kumficha
 
Jpm alikuwa na allergy ya matajairi. Alitaka kubakia madaraki kwa kuwafukarisha watanzania
Tuachane na hizo habari za JPM (RIP)na tujikite kwenye hili lililopo mezani kwa sasa hivi kwani tutapoteza muda kumjadili ambaye hayupo tena. Hawa actors waliopo sasa tunawaweka fungu gani?
 
Tajiri Gani alizalishwa kipindi Cha jpm. Matajairi wote waliambiwa wataishi kama mashetani. Ndo mana kila tajiri akaanza kufikiri kusepa hata mo alitaka kusepa wakamdaka na kumficha
Huwezi kuelewa umegubikwa chuki tu
 
Sasa,kuliko kufanya hivo,si bora aajiliwe Manager wa BRT kutoka nchi wanayoitaka,kuliko kuibinafsisha!
 
Hujui kitu kama kimya. Mashirika yote Marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba Serikali haiwezi kuendesha hapana ila ni swala la multiplier effect tu
 
Wenye akili wapi ila wamekaa kimya, ukiwa kwenye kundi la wajinga usipende kuonesha werevu sababu wajinga wengi wamejawa chuki na roho mbaya hawatasita kukuumiza ili maslahi yao yaendelee kuwepo hata kama inaikosti nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…