mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Wewe wakuwekwa kwenye sandarusi hivi unafundishaga nini watoto wako hapo nyumbani???Hujui kitu kama kimya. Mashirika yote Marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba Serikali haiwezi kuendesha hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Serikali haifanyi kazi kwa kupigiwa kelele na watu inafanya kazi kwa mipango .Kwahiyo sasa hivi ndio mmejua kuna PPP( baada ya kushidwa kwa aibu.)
Watu walivyowanapiga kelele apewe mwekezaji mlikuwa mnaseamaje?
Serikali kazi yake ni ku"falitate" sio kufanya biashara.Hivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
Ndio kilichopo werevu wako kimya walishajichokea miaka mingi tu toka enzi za IPTL ya Mkapa.Umenena vyema mkuu. Ok; Sasa walioko huko Serikalini hawasikilizwi, wakitoa ushauri wa Kitaalam , ushauri hauzingatiwi unatupiliwa mbali (ref CAG report) na wanasiasa walijiingiza humo wengine huwa na genda zao za siri za kuangushana. Kwa mantiki hiyo, ni bora kuwakwepa mazima. Inafikirisha sana kwamba maprofesa/PHd na wasomi nguli wengine wapo lakini ni kama wametulia vile na kuangalia game linakwendaje na mti utaangukia wapi.
Usimamizi wa serekali , lazima uwe na usimamizi duni, ikiendeshwa kama kampuni binafsi hakuwezi kuwepo uzembe! wa kitanzania.Hivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
Furahia maendeleo wewe acha mbambambaWakati wa Jiwe aliitwa mzalendo , leo PPP ! tunawatakieni kila la heri
Dogo toka siku ile nimekueleza hii kitu imekuwa nongwa. Watakukoma sasaHuko Chadema mnahitaji kupigwa msasa. Kuna kitu kinaitwa (PPP) yani Public - Private Partnership.
Serikali haiwezi kufanya biashara. Popote duniania nchi ambzo Serikali inashikilia biashara ufanisi ni mdogo.Hivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
Kuiba "kile kitu" kinachofanyika kila baada ya miaka mitano!Hivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
Kubuni TozoHivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
Enhee; ule kwa urefu wa kamba yako sivyo?Ndio kilichopo werevu wako kimya walishajichokea miaka mingi tu toka enzi za IPTL ya Mkapa.
Na akiletwa mtu wa kupambana nao wanaonufaika na huu utaratibu wa hovyo salaleh atatukanwa huyo. Huyu sijui hajui ataitia serikali matatizo, huyu anaharibu biashara, huyu anavunja morale ya watumishi etc with nonsense.
Shuda zaidi anajikuta ugomvi wake umekuwa mkubwa zaidi kwa sababu kuna wadandiaji ambao ni gullible public wana support tu jamaa ni mmbaya kwa kuambiwa na wengine tu; halafu huna backup ya boss kwenye hiyo vita. Sasa bi bora ukae kimya uwe sehemu ya mgao na wewe tu uendeshe maisha yako.
Analinganisha nchi ambayo rais anaweza hukumiwa vs nchi ambayo ambayo watu kibao wana kinga ya kutokustakiwaJibu swali unailinganisha US na TZ?
Sasa si wabinafsishe na TANESCO?Hujui kitu kama kimya. Mashirika yote Marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba Serikali haiwezi kuendesha hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Au wanasemaga eti "Ukila na Kipofu usimguse mkono"Wenye akili wapi ila wamekaa kimya, ukiwa kwenye kundi la wajinga usipende kuonesha werevu sababu wajinga wengi wamejawa chuki na roho mbaya hawatasita kukuumiza ili maslahi yao yaendelee kuwepo hata kama inaikosti nchi.
Ndio wakati wa mabadiliko tunausubiriaAu wanasemaga eti "Ukila na Kipofu usimguse mkono"
Lakini itafikia mahali hata hao wajinga watabaini ukweli wa mambo na ku-react vinginevyo
Hili ndo neno HASWA na inafaa likazingatiwa.Sasa si wabinafsishe na TANESCO?
Sema watanzania sio serikaliHivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?