macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
CCM inazidi kudidimiza nchi ka sababu ya ''ubongo kisoda'' kama wewe. Ameuliza: hii serikali inaweza kufanya nini? Wewe unamletea habari za Marekani. Pumbavu kabisa. Haya Marekani wamesharusha rocket mpaka mwezini! Mbona sisi hatujarusha?Hujui kitu kama kimya. Mashirika yote Marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba Serikali haiwezi kuendesha hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Weeee! Sijui; kwani waTz wakisha pewa kanga/vitenge na Kapero na ss wa huku vikijini tukinunuliwa makopo ya komoni na mchele tunapotezaga akili - hatuangalii tena mbele. Utaskia Mpeeeeee, na Apiteeeeee!Ndio wakati wa mabadiliko tunausubiria
Broo; Tulijipiga ss wenyewe wala tusiwalaumu wawekezaji.Watu mnasema mbona US na UK ,private sector zinaendesha uchumi.Okay je terms za mikataba yao na ya kwetu zinafanana?
Hamna anaye kataa wawekezaji ila kama taifa lina experience mbaya sana ya kupigwa kupitia mikataba.
Hata Marekani kuna makampuni yanayoendeshwa na serikali kwa Amtrak, ambalo linahusika na usafiri kwa njia ya reliHujui kitu kama kimya. Mashirika yote Marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba Serikali haiwezi kuendesha hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Mhhh. Yan mkuu unatoa ushauri huo? Tutafika kweli? Eti mtu apewe simply kwa sababu ni Mzawa. Ukishaingiza humo habari za vyama vya siasa ujue 100% umeshafeli. 😳Si wampe hata mzawa basi.Aibu ya ccm kubinafsisha Kila kitu
Hadi leo vyuma vimekazaSiyo kuuza ni kubinafsisha. Nchi zenye akili mashirika yote ya uma yanaendeshwa thru PPP ili kutengeneza matajairi zaidi na kukuza ajira na ufanisi. Shirika la ndege la marekani halieneshwi na serikali. Ukiona serikali inaendesha kila kitu basi watu wake ni maskini wa kutupwa kama ilivyokuwa kwa jpm ambapo kwa mara ya kwanza vyuma vilikaza kila kona
We acha tu. Kuna wajinga wengi sana. Nimesema wajings sio wapumbavu kuepusha shari.Wewe ndiyo kilaza kabisaa!!!!
Ni aibu kujifanya unajua kumbe mweupe kichwani
Swali la kipuuzi mnoooHivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
Wewe si ndo chawa wa mama tulia maana kila leo Makelele tu!Hivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
Ulipoandika 'swala' ndo nikakuona malajajaHujui kitu kama kimya. Mashirika yote Marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba Serikali haiwezi kuendesha hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Yaani mimi leo nimekuwa Chawa wa Mama ! eeee bhana eee !!!Wewe si ndo chawa wa mama tulia maana kila leo Makelele tu!
Wangetafuta foreigner aongezSasa,kuliko kufanya hivo,si bora aajiliwe Manager wa BRT kutoka nchi wanayoitaka,kuliko kuibinafsisha!
umenena vema ni miaka 26 tokea mkapa aifungue nchi kwa kuleta waekezaji tuwe wa kweli hakuna cha maana walichofanyaWatu mnasema mbona US na UK ,private sector zinaendesha uchumi.Okay je terms za mikataba yao na ya kwetu zinafanana?
Hamna anaye kataa wawekezaji ila kama taifa lina experience mbaya sana ya kupigwa kupitia mikataba.
Mmeanza lini hiyo kazi ?Serikali kazi yake ni ku"falitate" sio kufanya biashara.