Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

Usijaribu kushawishi taifa letu liingie kwenye mgogoro usio na tija,uje usababishe tupoteze territory kwa hiden enemy,najua TISS wanajua hili,najua nchi haitajiingiza vitani kwa kukulupuka kufata maneno ya watu ambao hawajawahi kuingia frontline
Yaan tippee territory! Nyie wanyarwanda hamna akili
 

PK anahitaji shinikizo kubwa Ili Drc itulie.

Yoda
 
Vita vya Kagame huko Congo toka 1996 mpaka sasa vimeua wangapi ?
Vile vilikuwa ni Vita lakini Mobutu alikuwa alikuwa anaua raia wake bila sababu.
 
Waasi wanazidi kuteka Vijiji na Miji midogo midogo wakoelekea Bukavu,wakati huo huo Uganda imepeleka Majeshi yake katika mpaka na Kongo.
 
Mapigano sasa yako umbali wa Kilometa 50 kutoka Bukavu vyanzo vimeiambia AFP kuwa Waasi wanasonga mbele kwa kasi ya ajabu.
 
Haya sasa nasikia Jeshi la Burundi linaanza kuaibishwa katika mapigano ya jana na Leo M23 imetoa Dozi kali sana wako kilomita 50 kufika Bukavu.
 
Mimi nauelewa huu mgogoro una ethnic dimension na ndio kiini cha mgogoro Warundi uchumi wao ni mbovu sana vita hata ya mwezi mmoja hawawezi.
Usijali Hilo la Warundi baba yao yupo atawasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…