Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

Sawa vyovyote utakavyosema, lakini unamjua aliewafurusha 2013 basi ni huyo huyo atakaewarudisha kwao Rwanda.
Hawezi, kwasababu Watutsi wa Kongo ni Wakongomani labda akawakamate fldr awakabidhi Rwanda.
 
Kagame ni mnafiki ktk hilo la kushinda uchaguzi. Huko Rwanda yeye si anashindana mwenyewe.
 
Ananyoosha tu Bukavu Uvira Kalemie Moba yaani kando kando ya Ziwa Tanganyika Potwe hadi Lubumbashi.
Hahahaha,hii ndio njia hata mm naona atatumia,ila sasa vile vikundi vya ulinzi vya kijadi..Mai Mai ,Simba na wengine wataelewana kweli?
 
Hahahaha,hii ndio njia hata mm naona atatumia,ila sasa vile vikundi vya ulinzi vya kijadi..Mai Mai ,Simba na wengine wataelewana kweli?
Vita ni training equipment na ammo na CAUSE.


Sasa hawa ndio Wamayimayi unafikiri watazuia Waasi wa Congo River Alliance?

Labda uchawi wao ufanye kazi ya nguvu.
 
Nilichokigundua Felix Tshisekedi ana maadui wengi sana ndani ya Kongo sijui aliwafanya nini?
Congo Kuna ukabila Fulani hv ,hasa watu wa Katanga,huwa wanawadharau watu wa Kabila la Kasai anakotokea Felix

Kipindi Cha nyuma wacongo hasa wakatangee walikua wakiapa kabisa DRC hatokuja kuwa na Rais kutoka Kasai

Sasa alipoingia Felix (mkasai ) waluba na wakatangee wengi ni km hawamkubali

Atapata tabu Felix maana na uhakika pale Katanga, ( haut Katanga /Lubumbashi,) kupata full sapoti ni ngumu
 
Gen. (Rtd) James Kabarebe, a three war veteran

Gen (Rtd) Kabarebe afunguka siri na mbinu za medani zilizotumika na RPA, kulishinda jeshi la FAR la rais jenerali Habyarimana


View: https://m.youtube.com/watch?v=9i2yKyxTYA0
Jenerali mstaafu James Kabarebe anaelezea umuhimu wa kutwaa eneo na kulikalia kuwa mtaji kwa ajili ya matumizi ya kimkakati kama ambavyo M23 wametwa eneo la Jimbo la Kivu ya Kaskazani pamoja na mji mkuu wake wa Goma na sasa mipango kuelekea Bukavu na mbele ... itakavyofaidika na hatua hii ya mwanzo Goma kutiwa kibindoni kuonesha uwezo wa M23 na malengo yake kisiasa na kiuongozi wa nchi nzima
 
Kipindi hiki tutawajua wengi sana wanaojiita watanzania kumbe mioyo yao ipo Rwanda.

Ikiwemo wewe mleta Uzi.
Mkuu umelijua kwa kuchelewa sana, mim nna rafki zangu watutsi kibao na wengine wako kwenye ukoo wetu,yaani wanaspirit ya aina yake.
Yaani usije fikoria hata siku moja kwamba mtutsi wa Tz anaweza kuwa kinyume na mtutsi wa Burund, Congo, Uganda n. K.
Inshort kila anayewafam hawa jamaa atakwambia mengi.
Pia ujue kueleza ukweli unahusu ubaya wao inakuwa kama unachochea ubaguz. Ukitaka uendane nao nikukubali itikad zao,yaan hawana uvumilivu kama CCM isivyo vumilia wasioipenda.
 
Mmmh ,naona hii ngoma ngumu, maana kama M23 imemuweka mbele Cornele Nangaa Yobeluo maana ake wanataka sapoti ya wacongo ,hasa upande huo ulikoanzia vita , Kwa waluba ambao wengi hawamoendi Felix
Hapo tunawaona kama M23 ndo tatzo, lakin kiuhalisia akili za wakongo nikama mwanamke malaya anayelala na wanaume wengine kwenye chumba cha mme wake. Sasa hapo unafikiri usalama wa nyumba na mmewe ukiwa mashakani kosa ni lanani?.
 
Hao ni Wanyarwanda usiwagawe, Ututsi ni ethnicity Unyarwanda ni Nationality.

Watutsi wa Kongo ni Wakongomani Watutsi wa Tanzania ni Watanzania.
No, watutsi wamejilimbikizia madaraka/mamlaka Rwanda, ndiyo namaanisha tutsi etnicity,wabinafsi,wamejimilikisha Rwanda
 
In
Yeah na ndiye aliyetangaza matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Felix Tshishekedi
Inawezekana alikuwa compromised mda mrefu, ukumbuke Joseph Kabila hawali sahan moj na Tshiseked.Ukiona anaujasiri wa kusonga mbele ujue huko Kinshasa kuna watu wana prosess hilo tena ikulu. Hiyo movement nkama ya Laurent Kabila against Mobutu. Manake hapo Colonel Nanga ashaiuzia M23 kipande cha congo ili wamweke madarakani. Na ukweli nkwamba itajirudia picha ya fate ya Laurent Kabila na Rwanda baada ya kumng'oa Mobutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…