Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu

Tokea jana nakuelimisha na sasa nakupa Darasa lingine Watutsi wote sio Wanyarwanda na Wanyarwanda wote sio Watutsi.
Na sijui kama watz tuliowengi tunafanya makusud au hatujui, hili la kuwaita watutsi wanyarwanda huwa tunamaanisha nin?
 
Yey
Amewakomboa Wacongo kutoka kwenye makucha ya Brutal Dictator Mobutu Sese Seko kuku Ngwendu wa Zabanga.

Hiyo ni zawadi kubwa sana ilitakiwa Wakongo wamjengee Sanamu la heshima pale Kinshasa likae karibu na Sanamu la Lumumba.
Mkuu ukosahihi,lakin kama ni hivo ilitakiwa kwanza lijengwe sanamu la M7 Kigali.
 
Kagame alikomesha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 mauaji ya kikatili sana sasa iweje yeye ndie asingiziwe ukatili?!
Mkuu yeye nikama malaika yuko innocent 💯, ila ujue story ya simba kwa watoto wake sio same story kwa watoto wa swala.
 
Na sijui kama watz tuliowengi tunafanya makusud au hatujui, hili la kuwaita watutsi wanyarwanda huwa tunamaanisha nin?
Hizi ni propaganda za Wahutu wa Tanzania labda wanataka kutuchonganisha.
 
No, watutsi wamejilimbikizia madaraka/mamlaka Rwanda, ndiyo namaanisha tutsi etnicity,wabinafsi,wamejimilikisha Rwanda
Sasa hivi kitambulisho cha Rwanda hakisemi huyu ni Mtwa huyu ni Mtutsi huyu ni Mhutu sasa wewe unajuaje lwa kusema fulani kajilimbikizia Madaraka?!
 
Tena wawahi fasta kuwazuia
Na kila mji na kijiji wanazidi kuandika Wapiganaji wapya by the time wanafika Kalemie wanaweza kufikia hata 50,000 strong na hao Wanamgambo wa mayi mayi nao wata defect na kujiunga na Waasi halafu ndio wanaingia kwenye msitu mzito inakuwa kama Kabila snr Rebellion.

Na wakishika Mji mkuu wa Katanga wa LBB Tishekedi atakosa mapato yote ya Migodi ya Katanga.

Kama mimi ni Tishekedi ningekaa na Rebels na kufanya implementation ya makubaliano ya awali haraka iwezekavyo.

MUNGU IPONYE AFRICA MUNGU IBARIKI AFRIKA.
 
Na kila mji na kijiji wanazidi kuandika Wapiganaji by the time wanafika Kalemie wanaweza kufikia hata 50,000 strong na hao Wanamgambo wa mayi mayi nao wata defect na kujiunga na Waasi halafu ndio wanaingia kwenye msitu mzito inakuwa kama Kabila snr Rebellion.

Na wakishika Mji mkuu wa Katanga wa LBB Tishekedi atakosa mapato yote ya Migodi ya Katanga.

Kama mimi ni Tishekedi ningekaa na Rebels na kufanya implementation ya makubaliano ya awali haraka iwezekavyo.

MUNGU IPONYE AFRICA MUNGU IBARIKI AFRIKA.
Umepita mule mule
 
Sasa hivi kitambulisho cha Rwanda hakisemi huyu ni Mtwa huyu ni Mtutsi huyu ni Mhutu sasa wewe unajuaje lwa kusema fulani kajilimbikizia Madaraka?!
Si mnaonekana tu,mtusi anajulikana kama ambavyo mwarabu anajulikana, kwani mliuana vipi 1994?
 
Kwahiyo kama ni muonekano tu hivi Mmasai akivua Mgolole asitoboe masikio bila massai stereo types unaweza ukamjua?!

Kwasababu hata Interahamwe wakati wanafanya Genocide walikuwa wanategemea Kitambulisho cha Karangamuntu ili kujia ethnicity ya Mnyarwanda.
 
Masai tofauti na watutsi, watutsi wembamba,warefu na pua ndiyo zinawahumukumu,tangu 1994 nasikiliza habari na muonekano ndiyo ilikua utambulisho
 
Kwahiyo hata Mhutu mwembamba mrefu pia anakuwa ni Mtutsi?!

Kwahiyo "Kasongoo" wote ni Watutsi
 
Mkuu umelijua kwa kuchelewa sana, mim nna rafki zangu watutsi kibao na wengine wako kwenye ukoo wetu,yaani wanaspirit ya aina yake.
Yaani usije fikoria hata siku moja kwamba mtutsi wa Tz anaweza kuwa kinyume na mtutsi wa Burund, Congo, Uganda n. K.
Inshort kila anayewafam hawa jamaa atakwambia mengi.
Pia ujue kueleza ukweli unahusu ubaya wao inakuwa kama unachochea ubaguz. Ukitaka uendane nao nikukubali itikad zao,yaan hawana uvumilivu kama CCM isivyo vumilia wasioipenda.
Hiyo jamii imeshathibitisha haifai kukaa na jamii nyengine.

Hawa dawa yao warudishwe huko huko makwao.

Hata kama wakikosa makazi watajua wao wenyewe.
 
Hata kama M23 watakubali kusitisha mapigano lakini vikundi vingine vimeapa kuendelea hadi Kinshasa.
 
Hiyo jamii imeshathibitisha haifai kukaa na jamii nyengine.
Wewe mfiadini ingekuwa M23 ni Alshababu ungeanza kusifia sifia na kutuandikia hadithi za kiarabu humu.
 
Binafsi ninhependa wachukue Nchi hiyo iwe KIVu Ili kuweka na stability japo suala hili ni gumu haliungwi mkono Kimataifa ila wanaweza jitemga kama Somaliland na maisha yakaenda.
Wanokifanya Rwanda kwa sasa ni kupora maeneo au “seizing territories” kitendo ambacho chakiuka sheria za kimataifa.

Lakini ukizingatia ramani zilowekwa na wakoloni kwenye mkutano wa Berlin 1884-1885 je mipaka iliyopo ni halali kiuhalisia? Na je sheria hizo za kimataifa zakidhi hali halisi ya leo?

Kwasababu tukirudi kabla ya Berlin Conference 1884-1885 basi eneo lote la ilokuwa ni la ufalme wa wanyarwanda ambao walikuja kupendelewa na wabelgiji kwa uwezo wao wa akili litakuwa chini ya Rwanda.

Na hilo litasababisha Urundi imezwe, Tanzania sehemu ya Kigoma imezwe kidogo na eneo lote la mashariki ya Congo DRC hadi Bukavu kwenye milima ya Mulenge yote itakuwa chini ya Rwanda.

Hata Sudan nao watasema wachukue sehemu zaidi upande wa kusini hivyo kusogea ndani ya Uganda.

Hivyo usione ukimya wa wazungu juu ya utapeli waloufanya bali ni ile kuwa na guilty conscious na pia maraisi wa Tanzania na Uganda au Kenya kufikiria mara mbili badala ya kukurupuka.
 
Kweni Kingdom of Rwanda/Urundi ilikuwa inatawaliwa na Mfalme mmoja na ilikuwa na mipaka inayotambulika?!
 
Wanokifanya Rwanda kwa sasa ni kupora maeneo au “seizing territories” kitendo ambacho chakiuka sheria za kimataifa.

Lakini ukizingatia ramani zilowekwa na wakoloni kwenye mkutano wa Berlin 1884-1885 je mipaka iliyopo ni halali kiuhalisia? Na je sheria hizo za kimataifa zakidhi hali halisi ya leo?

Kwasababu tukirudi kabla ya Berlin Conference 1884-1885 basi eneo lote la ilokuwa ni la ufalme wa wanyarwanda ambao walikuja kupendelewa na wabelgiji kwa uwezo wao wa akili litakuwa chini ya Rwanda.

Na hilo litasababisha Urundi imezwe, Tanzania sehemu ya Kigoma imezwe kidogo na eneo lote la mashariki ya Congo DRC hadi Bukavu kwenye milima ya Mulenge yote itakuwa chini ya Rwanda.

Hata Sudan nao watasema wachukue sehemu zaidi upande wa kusini hivyo kusogea ndani ya Uganda.

Hivyo usione ukimya wa wazungu juu ya utapeli waloufanya bali ni ile kuwa na guilty conscious na pia maraisi wa Tanzania na Uganda au Kenya kufikiria mara mbili badala ya kukurupuka.
M23 ni Rwanda?
 
Back
Top Bottom