Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Umenikumbusha kangonya! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji1493][emoji1493][emoji1493]
 
Elimu yako mbovu, DRC ilikuwa koloni la Ubelgeji, Kifaransa ni lugha mojawapo ya Ubelgeji.
Rudia kusoma history of central Africa uko french alituma assimilation policy
 
APC za bongo ndio hizi
 
Kama hii ina ukweli, basi hii ishu bado ni nzito.
 
Hawa Rwanda na DRC watolewe tu EAC, wanatuchafua,,, viongozi waunde FFU ya East Africa wapeleke kule
 
Mengi uliyoandika yana mashiko ila kwa nini Rwanda huwa inawahifadhi viongozi wa makundi ya waasi wa DRC kama Bosco Ntaganda wa M23 na Laurent Nkunda wa CNDP?
Hapo sikubaliani nawewe kidogo,
Kati yaulio wataja hakuna hata mmoja anayehifadhiwa na Rwanda:
Ntaganda alikamatiwa Rwanda, Nkunda mpaka leo hii amefungiwa nchini Rwanda.
 
Utapingwa mno ila East africa kenya ndo mweye zana za kisasa zaidi.
 
Hao wote walikimbilia Rwanda na kukaa kwa muda mrefu kwa kificho na baadaye wazi kabisa wakiishi raha mustarehe mpaka kelele kutoka nje zilipozidi kuwa nyingi kwa serikali ya Kagame.
Hapo sikubaliani nawewe kidogo,
Kati yaulio wataja hakuna hata mmoja anayehifadhiwa na Rwanda:
Ntaganda alikamatiwa Rwanda, Nkunda mpaka leo hii amefungiwa nchini Rwanda.
 
Hapo sikubaliani nawewe kidogo,
Kati yaulio wataja hakuna hata mmoja anayehifadhiwa na Rwanda:
Ntaganda alikamatiwa Rwanda, Nkunda mpaka leo hii amefungiwa nchini Rwanda.
Nkunda ni raia wa Congo pia aliwahi kuwa mkubwa jeshini, mtu kama huyu unamkamataje kirahisi tu? Maana yake Rwanda ilikuwa na taarifa za uwepo wake tangu awali. Pia Nkunda amefungiwa nyumbani kwake sio jela kama wahalifu wengine wa kivita.Hadi leo hajarudishwa Congo, hajapelekwa ICC wala hajashtakiwa nchini Rwanda(ingawa hawana mamlaka), hii inakupa picha gani.

Ntaganda alijisalimisha ubalozi wa Marekani nchini Rwanda, lakini kwanini achague ubalozi uliopo Rwanda na sio Congo, Burundi, Uganda au Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…