Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Ila itafikia mahala pamoja na madhaifu yooote ya wazee wa kangonya pamoja na serikali puppet pamoja na jeshi dhaifu ipo siku watachoka,ipo siku kitaibuka kichwa kitakunywa maji ya bendera na kitaapa kwa nsha ya risasi ndipo hapo ukombozi kamili wa bamutu ba congolee
Umenikumbusha kangonya! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji1493][emoji1493][emoji1493]
 
Elimu yako mbovu, DRC ilikuwa koloni la Ubelgeji, Kifaransa ni lugha mojawapo ya Ubelgeji.
Rudia kusoma history of central Africa uko french alituma assimilation policy
 
Bajeti kama haipo silaha wataziona ila watazikosa. Sasa kama huna MRAP missions ndogo ndogo utaenda na nini, na wakati huo huna APC maana kama umekosa MRAP hata za Mamba kutoka South Africa utaweza consider APC. Troops utawapelekwa kwa mguu kama jeshi la Congo. Kinachotofautisha waasi waliowahi kuwa wanajeshi zamani au waliopokea mafunzo na wana determination kali dhidi ya jeshi la serikali ni silaha.
APC za bongo ndio hizi
Erh50PnVgAAOiEN.jpg
APC(2).jpg
zanzibar-tanzania-13th-jan-2014-armored-vehicles-participate-in-the-DPDEXP.jpg
maxresdefault(0).jpg
Erh50PnVgAAOiEN.jpg
maxresdefault.jpg
 
M23 ni wa Congo mainly kutoka sehemu inaitwa Masisi.
Hii area ilikuwa Rwanda kabla ya wakoloni kugawa mipaka.
Baada ya kugawa mipaka hii sehemu ilijikuta ikiwa ndani ya Congo DRC(Zaire):
Original Congolese bado hawajawakubali hawa kama wenzao, lugha na tabia ni tofauti:
Hawa Rwandese waliojikuta congolese sababu ya mipaka walianza kuonewa na serikali haikuwachukulia kama wananchi wake..
Vuguvugu la kudai haki lilianza miaka ya zamani M23 nimuendelezo tu.
Jina M23 nikukumbusha tarehe ya makubaliano kati ya jamii ya Warwanda waliojikuta Congo na serikali ya Congo.
Kwa madai ya M23 serikali imeshindwa kutimiza makubaliano hayo.
Serikali inasema nyinyi niwanyarwanda rudini kwenu..
M23 wanasema nikweli sisi niwanyarwanda lakini hii ardhi niyetu hatujahamia mababu namababu walizaliwa hapahapa…
It is more complex issue than merely accuse Rwanda..
Rwanda imesema haina faida yoyote kwa kumsaidia M23.
Issue ya ku annex Kivu kwa nchi ya Rwanda, hilo nijambo haliwezekani katika dunia ya leo.
Vita ya hawa watu na serikali inazaidi ya miaka 50 , hata wakipigwa leo watoto wao watapigana tena kama madai yao hayajatekelezwa:
Ukitaka long lasting solution nibora kuangalia sababu ya vita kwanza:
Kuwapiga which is possible hata EAC forces wanajiandaa kuingilia kati itapunguza uzito kwa mda kidogo..
NOTE: I am Rwandese, sina uhakika kama majeshi ya Rwanda kweli yanasaidia waasi.
Rwanda ni nchi masikini kama nchi nyingi za Africa sidhani kama itajiingiza kwenye vita na nchi jirani bila faida yoyote.
Issue ya kwenda kupora rasilimali hazina mshiko , ingekuwa hivyo Congo ingekuwa nchi tajiri duniani.
Maana hizo rasilimali wanazo nawamezikalia miaka na miaka..
Kama hii ina ukweli, basi hii ishu bado ni nzito.
 
Hawa Rwanda na DRC watolewe tu EAC, wanatuchafua,,, viongozi waunde FFU ya East Africa wapeleke kule
 
Mengi uliyoandika yana mashiko ila kwa nini Rwanda huwa inawahifadhi viongozi wa makundi ya waasi wa DRC kama Bosco Ntaganda wa M23 na Laurent Nkunda wa CNDP?
Hapo sikubaliani nawewe kidogo,
Kati yaulio wataja hakuna hata mmoja anayehifadhiwa na Rwanda:
Ntaganda alikamatiwa Rwanda, Nkunda mpaka leo hii amefungiwa nchini Rwanda.
 
Yes Kenya...najua baadhi ya vikos vyao vilishakuwaga huko..wana uzoefu huo..Kenya army wapo vizuri..sio wa kucheka hata kidogo,battle yao na Somalia/Alshabab ilkua poa sana ukilinganisha na ile ya AU ya Kutoa waasi Comoro iliyoongozwa na Jeshi la Tanzania
Utapingwa mno ila East africa kenya ndo mweye zana za kisasa zaidi.
 
Hao wote walikimbilia Rwanda na kukaa kwa muda mrefu kwa kificho na baadaye wazi kabisa wakiishi raha mustarehe mpaka kelele kutoka nje zilipozidi kuwa nyingi kwa serikali ya Kagame.
Hapo sikubaliani nawewe kidogo,
Kati yaulio wataja hakuna hata mmoja anayehifadhiwa na Rwanda:
Ntaganda alikamatiwa Rwanda, Nkunda mpaka leo hii amefungiwa nchini Rwanda.
 
Hapo sikubaliani nawewe kidogo,
Kati yaulio wataja hakuna hata mmoja anayehifadhiwa na Rwanda:
Ntaganda alikamatiwa Rwanda, Nkunda mpaka leo hii amefungiwa nchini Rwanda.
Nkunda ni raia wa Congo pia aliwahi kuwa mkubwa jeshini, mtu kama huyu unamkamataje kirahisi tu? Maana yake Rwanda ilikuwa na taarifa za uwepo wake tangu awali. Pia Nkunda amefungiwa nyumbani kwake sio jela kama wahalifu wengine wa kivita.Hadi leo hajarudishwa Congo, hajapelekwa ICC wala hajashtakiwa nchini Rwanda(ingawa hawana mamlaka), hii inakupa picha gani.

Ntaganda alijisalimisha ubalozi wa Marekani nchini Rwanda, lakini kwanini achague ubalozi uliopo Rwanda na sio Congo, Burundi, Uganda au Tanzania
 
Back
Top Bottom