cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Haswaaaah, maisha mafupi haya.Unawaza kugawa tako tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaaah, maisha mafupi haya.Unawaza kugawa tako tu
Kenya?😄😄😄😄😄Nazan ni muda sasa DRC wawe na security pact(security guarantee)na nchi kama Tanzania au Kenya..wanapokua wamevamiwa kwenye ardhi yao basi jeshi la nchi walizoingia nazo mkataba ziingie vitani zikisaidiana na FARDC kuwakimbiza hao wavamizi..wasiingie mkataba na nchi kama Uganda wala Rwanda..maana wote hawa ni kitu kimoja. Maana hao waasi sio wakusumbua miaka yote hio..
Kumbe wewe ni mwanadada , nilifikili umeweka picha tuuHaswaaaah, maisha mafupi haya.
Oi kwani jeshi la Kenya mbona unalizalau hivi lina Nini mwana.Kenya?😄😄😄😄😄
Mbona wapo fresh hasa kwenye equipment Ni za kisasa.Kenya?😄😄😄😄😄
Khaaaaah kumbeee.Kumbe wewe ni mwanadada , nilifikili umeweka picha tuu
Aya bhana hongeraHaswaaaah, maisha mafupi haya.
Nilishawahi ona ma poti Wana somba maji Mara wanaiba chocolate whitegateOi kwani jeshi la Kenya mbona unalizalau hivi lina Nini mwana.
Sikuizi adi Wana wanagawaKumbe wewe ni mwanadada , nilifikili umeweka picha tuu
PoaaaahAya bhana hongera
Askari 600 wanazidiwaje nguvu kama sio muundo mbovu wa jeshiLabda m23 walikuwa wengi mno sijajua Bado wapo wangani m23.
Ila nimeona video aliyotuma Mr Putin yani Askari wa Congo wanavaa ndala na yeboyebo katika mapambano, hawako serious kabisa.
Kukimbia labda walizidiwa nguvu nafikili.
Poor training+kukosa Moyo wa kizalendo kwa nchi Yao.Askari 600 wanazidiwaje nguvu kama sio muundo mbovu wa jeshi
Msikilize Sultan Makenga hapa👇M23 ni wa Congo mainly kutoka sehemu inaitwa Masisi.
Hii area ilikuwa Rwanda kabla ya wakoloni kugawa mipaka.
Baada ya kugawa mipaka hii sehemu ilijikuta ikiwa ndani ya Congo DRC(Zaire):
Original Congolese bado hawajawakubali hawa kama wenzao, lugha na tabia ni tofauti:
Hawa Rwandese waliojikuta congolese sababu ya mipaka walianza kuonewa na serikali haikuwachukulia kama wananchi wake..
Vuguvugu la kudai haki lilianza miaka ya zamani M23 nimuendelezo tu.
Jina M23 nikukumbusha tarehe ya makubaliano kati ya jamii ya Warwanda waliojikuta Congo na serikali ya Congo.
Kwa madai ya M23 serikali imeshindwa kutimiza makubaliano hayo.
Serikali inasema nyinyi niwanyarwanda rudini kwenu..
M23 wanasema nikweli sisi niwanyarwanda lakini hii ardhi niyetu hatujahamia mababu namababu walizaliwa hapahapa…
It is more complex issue than merely accuse Rwanda..
Rwanda imesema haina faida yoyote kwa kumsaidia M23.
Issue ya ku annex Kivu kwa nchi ya Rwanda, hilo nijambo haliwezekani katika dunia ya leo.
Vita ya hawa watu na serikali inazaidi ya miaka 50 , hata wakipigwa leo watoto wao watapigana tena kama madai yao hayajatekelezwa:
Ukitaka long lasting solution nibora kuangalia sababu ya vita kwanza:
Kuwapiga which is possible hata EAC forces wanajiandaa kuingilia kati itapunguza uzito kwa mda kidogo..
NOTE: I am Rwandese, sina uhakika kama majeshi ya Rwanda kweli yanasaidia waasi.
Rwanda ni nchi masikini kama nchi nyingi za Africa sidhani kama itajiingiza kwenye vita na nchi jirani bila faida yoyote.
Issue ya kwenda kupora rasilimali hazina mshiko , ingekuwa hivyo Congo ingekuwa nchi tajiri duniani.
Maana hizo rasilimali wanazo nawamezikalia miaka na miaka..
Yes Kenya...najua baadhi ya vikos vyao vilishakuwaga huko..wana uzoefu huo..Kenya army wapo vizuri..sio wa kucheka hata kidogo,battle yao na Somalia/Alshabab ilkua poa sana ukilinganisha na ile ya AU ya Kutoa waasi Comoro iliyoongozwa na Jeshi la TanzaniaKenya?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwani hao m23 wapo wangapi?Askari 600 wanazidiwaje nguvu kama sio muundo mbovu wa jeshi
Daaaa,Poor training+kukosa Moyo wa kizalendo kwa nchi Yao.
Nimeona video Jeshi la Congo linakimbia huku likiwaacha wananchi nyuma,imeacha mpk vifaru.
Huyu muuni tuu, hata anavyoongea hayoko series kabisa, alikuwa kijana wa kagame ndani ya RPA.Msikilize Sultan Makenga hapa👇
Jeshi likiwa na muundo mbovu linakuwajeAskari 600 wanazidiwaje nguvu kama sio muundo mbovu wa jeshi
Battle ya Al sababu si mchezo,Yes Kenya...najua baadhi ya vikos vyao vilishakuwaga huko..wana uzoefu huo..Kenya army wapo vizuri..sio wa kucheka hata kidogo,battle yao na Somalia/Alshabab ilkua poa sana ukilinganisha na ile ya AU ya Kutoa waasi Comoro iliyoongozwa na Jeshi la Tanzania