Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Nazan ni muda sasa DRC wawe na security pact(security guarantee)na nchi kama Tanzania au Kenya..wanapokua wamevamiwa kwenye ardhi yao basi jeshi la nchi walizoingia nazo mkataba ziingie vitani zikisaidiana na FARDC kuwakimbiza hao wavamizi..wasiingie mkataba na nchi kama Uganda wala Rwanda..maana wote hawa ni kitu kimoja. Maana hao waasi sio wakusumbua miaka yote hio..
Kenya?😄😄😄😄😄
 
offcourse, M23 is the project.... behind the project there is "top dogs". Who we think, got no fund for the project, he is just the branch manager and controller of project DRC and others around..

Need to be carefully dealing with cubs, they have their parents behind the show...

Last time was easy because somebody and somebody was there without permission, it was their own mission to top-up the pockets. Not sure of now, whatch out please...
There is plenty of airstrips inside DRC even the GOVDRC doesnt know, they are there purposely.

There are owners of this things, controlling and monitoring everything, to bark them you should be strong enough like Mr USSR..
 
M23 ni wa Congo mainly kutoka sehemu inaitwa Masisi.
Hii area ilikuwa Rwanda kabla ya wakoloni kugawa mipaka.
Baada ya kugawa mipaka hii sehemu ilijikuta ikiwa ndani ya Congo DRC(Zaire):
Original Congolese bado hawajawakubali hawa kama wenzao, lugha na tabia ni tofauti:
Hawa Rwandese waliojikuta congolese sababu ya mipaka walianza kuonewa na serikali haikuwachukulia kama wananchi wake..
Vuguvugu la kudai haki lilianza miaka ya zamani M23 nimuendelezo tu.
Jina M23 nikukumbusha tarehe ya makubaliano kati ya jamii ya Warwanda waliojikuta Congo na serikali ya Congo.
Kwa madai ya M23 serikali imeshindwa kutimiza makubaliano hayo.
Serikali inasema nyinyi niwanyarwanda rudini kwenu..
M23 wanasema nikweli sisi niwanyarwanda lakini hii ardhi niyetu hatujahamia mababu namababu walizaliwa hapahapa…
It is more complex issue than merely accuse Rwanda..
Rwanda imesema haina faida yoyote kwa kumsaidia M23.
Issue ya ku annex Kivu kwa nchi ya Rwanda, hilo nijambo haliwezekani katika dunia ya leo.
Vita ya hawa watu na serikali inazaidi ya miaka 50 , hata wakipigwa leo watoto wao watapigana tena kama madai yao hayajatekelezwa:
Ukitaka long lasting solution nibora kuangalia sababu ya vita kwanza:
Kuwapiga which is possible hata EAC forces wanajiandaa kuingilia kati itapunguza uzito kwa mda kidogo..
NOTE: I am Rwandese, sina uhakika kama majeshi ya Rwanda kweli yanasaidia waasi.
Rwanda ni nchi masikini kama nchi nyingi za Africa sidhani kama itajiingiza kwenye vita na nchi jirani bila faida yoyote.
Issue ya kwenda kupora rasilimali hazina mshiko , ingekuwa hivyo Congo ingekuwa nchi tajiri duniani.
Maana hizo rasilimali wanazo nawamezikalia miaka na miaka..
Msikilize Sultan Makenga hapa👇
 

Attachments

  • twitter_20220614_161729.mp4
    1.2 MB
Kenya?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yes Kenya...najua baadhi ya vikos vyao vilishakuwaga huko..wana uzoefu huo..Kenya army wapo vizuri..sio wa kucheka hata kidogo,battle yao na Somalia/Alshabab ilkua poa sana ukilinganisha na ile ya AU ya Kutoa waasi Comoro iliyoongozwa na Jeshi la Tanzania
 
Yes Kenya...najua baadhi ya vikos vyao vilishakuwaga huko..wana uzoefu huo..Kenya army wapo vizuri..sio wa kucheka hata kidogo,battle yao na Somalia/Alshabab ilkua poa sana ukilinganisha na ile ya AU ya Kutoa waasi Comoro iliyoongozwa na Jeshi la Tanzania
Battle ya Al sababu si mchezo,
Mpaka kutumia ndege na helicopter za kivita na mzinga na magari ya kivita si mchezo , huko kila kifaa Cha kivita kinatumika na wakenya mpaka vifaru, ila Bado Al sababu wapo, shida ya kule Ni kwamba unapigana na wenyeji wa pale, Ni Kama Vita Kati ya wasoviet na jihad kule afughanistan, , walipigana miaka ishirini bila mafanikio wishowe walipoteza Askari 40,000. Sijajua Kenya wamepoteza Askari wangapi ila Ni wengi Sana kule wamepoteza. Maana Kuna siku waliuwawa Kama 36 ndani ya usiku mmoja. Pia nimewaiona siku tofauti tofauti zimeangushea helicopter Kama 5.
 
Back
Top Bottom