Hezbollah walionywa na Israeli watulie wasiingilie ugomvi wake na Hammas wakakataa,wakaweka masharti kwamba hawataacha kurusha roketi mpaka Israeli waache kuipiga Gaza,basi Israeli wakawapelekea moto ndo wamekubali kutulia hutosikia wakirusha roketi au kurudi mpakani mwa Israel sasa Houth wanautamani moto wataupata si mudarefu๐คฃ๐คฃ๐คฃTuambie ww Hezbollah imekuwaje kwani tunachojua IDF ilikwenda walipo Hezbollah IDF walipelekewa moto wakatoka mbio IDF wakaamia kupigana na mejengo ya Beirut mpaka Israel inaomba poooo ilikuwa Telaviv inapigwa kama ngoma!!
๐คฃ๐คฃ๐คฃEwe kobazi letu mkuu sheikh Ayattolah Khomein masambusa unaenda kuwaponza makobazi wenzetu hivi hivi tunaona๐ฅน๐ฅน๐ฅน
๐คฃ๐คฃ๐คฃHakuna hata kimoja walichotengeneza wao,silaha zote wameuziwa na makarifi.๐
Mnasemaga hivyo hivyo, mkitolewa kende mnaanza kulalamika Allah anaonewa.Icho unachokiona ni toys tu mazee jamaaa wapo na midude inatembeya kas kas kupitiliza zayuni kachoka kuusu Yemen. Mana imeanza kupigwa kitambo kweli lkn Yemen bado inarusha vitu hatari hatari.
Tutawatoa kende kisha tunapita kibabe๐พ๐ช| #Yemeni President: Any ship linked to the Zionist entity will not pass through the red sea no matter the cost.
Is there any Arab president as brave as the Yemeni president?
sawa umejibu kitaalam safi. Lkn IDF lengo lake kuu sio kuzuiya Hezbollah isishambulie tu lkn uwepo wa Hezboollh jilan na Israel ni kitisho kwa usalama w Israel tumeona Hezbollah walikuwa wakipiga maeneo ya IDF kila kona ya Israel haifa telaviv na tuliona adi nyumba ya Netanyahu ilipigwa je ww unadhani kama sio nguvu za kijesh za Hezbollah Israel ingekubali kufanya mkataba ili nayo iyache kupiga Lebanon ni wazi nguvu za Hezbollah ndio zimewaokoa sio uruma ya Israel. Lkn pia Tumeona IDF ikipiga majengo ya mji mkuu Beirut sasa unawasifia kwa uwezo wa kupambana na Hezbollah au kwa uwezo wa kuangusha majengo ya Lebanon ikiwa vita tuliona zilipigwa kule kusini kati yao IDF na Hezbollah na tuliona mwanzo IDF ilikuwa kama inasonga mbele kwenda kusini ya Lebanon lkn baadae tukaona IDF wanatoka mbio kusini ata msemaji wa Hezbollah kabla ajauwawa alisema icho kitu kikawauma wakamuuwa alisema zaid mwezi sasa IDF awamiliki ata mita moja ya Lebanon na ajabu zaid IDF walikuwa elf 50000 lkn bado wakachemka kutoka apo Tukaona IDF wameamia kwenye majumba. Hezbollah awakujua kuwa IDF ikishindwa vita inaamia kushusha majengo makubwa. Yawezekana ushindi w Israel ulitokea apo lkn sio kushindwa Hezbollah kupigana ana kwa ana kama Gaza Hezbollah bado wapo oky ndio mana kuna kutu kinaitwa mkataka. Unipige namm sikupigi ingekuwa wameshindwa Hezboolah kusingekuwa na uwo mkataba.Hezbollah walionywa na Israeli watulie wasiingilie ugomvi wake na Hammas wakakataa,wakaweka masharti kwamba hawataacha kurusha roketi mpaka Israeli waache kuipiga Gaza,basi Israeli wakawapelekea moto ndo wamekubali kutulia hutosikia wakirusha roketi au kurudi mpakani mwa Israel sasa Houth wanautamani moto wataupata si mudarefu๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kwahyo mkuu Israel ilipoomba na Hezbollah ikakubali?Tuambie ww Hezbollah imekuwaje kwani tunachojua IDF ilikwenda walipo Hezbollah IDF walipelekewa moto wakatoka mbio IDF wakaamia kupigana na mejengo ya Beirut mpaka Israel inaomba poooo ilikuwa Telaviv inapigwa kama ngoma!!
Houth ni maskini jeuri,hana chakupoteza!Icho unachokiona ni toys tu mazee jamaaa wapo na midude inatembeya kas kas kupitiliza zayuni kachoka kuusu Yemen. Mana imeanza kupigwa kitambo kweli lkn Yemen bado inarusha vitu hatari hatari.
Unapaswa kukumbuka malengo ya oparesheni ya Israeli kusini mwa lebanoni nikuwaondoa Hezbollah mpakani na Israeli kuwasukumia ndani Ili raia wa Israeli waliohama kaskazini warudi,msemaji wa hezbolah akasema Hilo ahiwezekani raia wa Israeli kurudi kaskazini lkn baada ya kipigo hesbolah wamekubali kuondoka kusini na raia wa Israeli wamerudi kaskazini maana Hezbollah harushi Tena roketisawa umejibu kitaalam safi. Lkn IDF lengo lake kuu sio kuzuiya Hezbollah isishambulie tu lkn uwepo wa Hezboollh jilan na Israel ni kitisho kwa usalama w Israel tumeona Hezbollah walikuwa wakipiga maeneo ya IDF kila kona ya Israel haifa telaviv na tuliona adi nyumba ya Netanyahu ilipigwa je ww unadhani kama sio nguvu za kijesh za Hezbollah Israel ingekubali kufanya mkataba ili nayo iyache kupiga Lebanon ni wazi nguvu za Hezbollah ndio zimewaokoa sio uruma ya Israel. Lkn pia Tumeona IDF ikipiga majengo ya mji mkuu Beirut sasa unawasifia kwa uwezo wa kupambana na Hezbollah au kwa uwezo wa kuangusha majengo ya Lebanon ikiwa vita tuliona zilipigwa kule kusini kati yao IDF na Hezbollah na tuliona mwanzo IDF ilikuwa kama inasonga mbele kwenda kusini ya Lebanon lkn baadae tukaona IDF wanatoka mbio kusini ata msemaji wa Hezbollah kabla ajauwawa alisema icho kitu kikawauma wakamuuwa alisema zaid mwezi sasa IDF awamiliki ata mita moja ya Lebanon na ajabu zaid IDF walikuwa elf 50000 lkn bado wakachemka kutoka apo Tukaona IDF wameamia kwenye majumba. Hezbollah awakujua kuwa IDF ikishindwa vita inaamia kushusha majengo makubwa. Yawezekana ushindi w Israel ulitokea apo lkn sio kushindwa Hezbollah kupigana ana kwa ana kama Gaza Hezbollah bado wapo oky ndio mana kuna kutu kinaitwa mkataka. Unipige namm sikupigi ingekuwa wameshindwa Hezboolah kusingekuwa na uwo mkataba.
Hawa ndo wanajiandaa kuingia vitani na Israeli, wanataka tumia uzoefu wao wa kupambana na Saudi Arabia kuwasaidia Hamasi
View attachment 3182400
Pumba zako umeziandika kwa uchungu sanasawa umejibu kitaalam safi. Lkn IDF lengo lake kuu sio kuzuiya Hezbollah isishambulie tu lkn uwepo wa Hezboollh jilan na Israel ni kitisho kwa usalama w Israel tumeona Hezbollah walikuwa wakipiga maeneo ya IDF kila kona ya Israel haifa telaviv na tuliona adi nyumba ya Netanyahu ilipigwa je ww unadhani kama sio nguvu za kijesh za Hezbollah Israel ingekubali kufanya mkataba ili nayo iyache kupiga Lebanon ni wazi nguvu za Hezbollah ndio zimewaokoa sio uruma ya Israel. Lkn pia Tumeona IDF ikipiga majengo ya mji mkuu Beirut sasa unawasifia kwa uwezo wa kupambana na Hezbollah au kwa uwezo wa kuangusha majengo ya Lebanon ikiwa vita tuliona zilipigwa kule kusini kati yao IDF na Hezbollah na tuliona mwanzo IDF ilikuwa kama inasonga mbele kwenda kusini ya Lebanon lkn baadae tukaona IDF wanatoka mbio kusini ata msemaji wa Hezbollah kabla ajauwawa alisema icho kitu kikawauma wakamuuwa alisema zaid mwezi sasa IDF awamiliki ata mita moja ya Lebanon na ajabu zaid IDF walikuwa elf 50000 lkn bado wakachemka kutoka apo Tukaona IDF wameamia kwenye majumba. Hezbollah awakujua kuwa IDF ikishindwa vita inaamia kushusha majengo makubwa. Yawezekana ushindi w Israel ulitokea apo lkn sio kushindwa Hezbollah kupigana ana kwa ana kama Gaza Hezbollah bado wapo oky ndio mana kuna kutu kinaitwa mkataka. Unipige namm sikupigi ingekuwa wameshindwa Hezboolah kusingekuwa na uwo mkataba.
โก๏ธWe succeeded in thwarting an American-British attack and targeted the aircraft carrier "USS Harry S. Truman" and a number of destroyers.
โก๏ธTargeting the US aircraft carrier and its destroyers coincided with the start of the aggressive attack on Saturday evening.
โก๏ธThe operation was carried out with 8 cruise missiles and 17 drones.
โก๏ธWe shot down an F-18 aircraft during the operation while destroyers were trying to confront Yemeni drones and missiles
Madawa ya kulevya ni mabaya sanaHawa ndo wanajiandaa kuingia vitani na Israeli, wanataka tumia uzoefu wao wa kupambana na Saudi Arabia kuwasaidia Hamasi
View attachment 3182400