Mbona video ya September 2023? Halafu naona trafik wa Tanzania kwenye gwarideHawa ndo wanajiandaa kuingia vitani na Israeli, wanataka tumia uzoefu wao wa kupambana na Saudi Arabia kuwasaidia Hamasi
View attachment 3182400
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona video ya September 2023? Halafu naona trafik wa Tanzania kwenye gwarideHawa ndo wanajiandaa kuingia vitani na Israeli, wanataka tumia uzoefu wao wa kupambana na Saudi Arabia kuwasaidia Hamasi
View attachment 3182400
Unasema!?Hiyo ndio Raha ya kupigana na MATAIFA yasiyokuwa na MUNGU WA UKWELI UNAJIAMLIA LEO PIGA IRAN, KESHO SYRIA, KESHOKUTWA HEZBOLLAH, MTONDOGOO WAHOUTH WENGINE WAKILETA SHOBO mnawatumia virus
dini inazidi pombe,ngoja majengo ya kandamize watoto.Yani matumaini yamebadilika kwa Houth, wanamgambo? Kweli maisha yanaenda kasi. Juzi tu story ilikuwa Hamas, Baada ya Muda story ikawa Hesbolla mara Nasralla atatoa tamko, Mara Assad, Mara Iran, Saiv naona story ni Houth.
Naona huruma sana kwa watoto na wanawake wa hizi nchi. Mtu anaenda kununua ugomvi ata usio mhusu analeta nyumbani. Iv kwa akili ya kawaida Houth wanaweza pigana vita na Muunganiko wa Uingereza, USA na Israel kweli?
Nashindwa kujua hizi akili ni za wapi
Ushabiki maandazi maalim apo usha shiba tende una waza kwenda kushenyeta tuTuambie ww Hezbollah imekuwaje kwani tunachojua IDF ilikwenda walipo Hezbollah IDF walipelekewa moto wakatoka mbio IDF wakaamia kupigana na mejengo ya Beirut mpaka Israel inaomba poooo ilikuwa Telaviv inapigwa kama ngoma!!
Mashabiki wenzako wanadai hezboolah ilichakazwa mbiona uwakemei kwa kudanya ukweli ulio wazi hezboolah aikushindwa vita ukweli ndio uwo Israel baadaa kupokea kipigo wakatoka mbio baada ya apo tuliona IDF ikichakaza majengo uko mbali Beirut ndio vita vikasimama sasa wamechakaza majengo lkn nyie mizwazwa mnadai imechakazwa Hezbollah. Wkt tuliona vita iliwashinda IDF wakatoka kusini wakaamia kwenye majengo adi kufikia lengo Lao la kuwataka Hezboolah warudi nyuma lkn man to man IDF ilichapwa. Mnakataaa nn mkiitwa mazwazwa tutakuwa tunawaonea et.Ushabiki maandazi maalim apo usha shiba tende una waza kwenda kushenyeta tu
Kuanguka kwa Asad ni moja ya kielelezo kuwa HezBolla walichakazwa vibaya. Just imagine walivyo saiv wamefundishwa " Mind your own business" .Mashabiki wenzako wanadai hezboolah ilichakazwa mbiona uwakemei kwa kudanya ukweli ulio wazi hezboolah aikushindwa vita ukweli ndio uwo Israel baadaa kupokea kipigo wakatoka mbio baada ya apo tuliona IDF ikichakaza majengo uko mbali Beirut ndio vita vikasimama sasa wamechakaza majengo lkn nyie mizwazwa mnadai imechakazwa Hezbollah. Wkt tuliona vita iliwashinda IDF wakatka kusini wakaamia kwenye majengo adi kufikia lengo Lao la kuwataka Hezboolah warudi nyuma lkn man to man IDF ilichapwa. Mnakataaa nn mkiitwa mazwazwa tutakuwa tunawaonea et.
Yeah. ........Inarusha vitu hatari hatari lakini mmhh; naona muda haujawadia ili waanze kula sahani moja na Myahudi. Ngoja kwanza Myahudi amalizane huko Gaza na Lebanon then awageukie ndo watamwelewa.Icho unachokiona ni toys tu mazee jamaaa wapo na midude inatembeya kas kas kupitiliza zayuni kachoka kuusu Yemen. Mana imeanza kupigwa kitambo kweli lkn Yemen bado inarusha vitu hatari hatari.
Exactly. Ni soko la bidhaa wanazozalisha i.e. Silaha za kivita. Kwa hiyo kusipokuwepo na vita hayo makorokoro yao watayauza wapi??Kuna watu vita ndio biashara yao
Yaani mnavyoendelea kupigana ndio furaha yao, wanachekelea tu.
Watahakikisha vita haviishi huko Middle East.
Ameshinda Hezbollah.Sasa kati ya Hizboullah na Zayuni nani aliyeomba kusimamisha mapigano? Kama Israel ana ubavu si angeendelea kupigana?
YESU pia alivaa kobaz au ww unayo picha YESU alivaa MOKA!! Ukiona YESU kavaa moka!! Plz mwangalie vizuli pengine uyo Mwamposa sio YESU!!!Kobazi ni sandals au viatu vya wazi ambavyo hupenda sana kuvaa waislamu, nadhani ndiyo viatu alivyokuwa anamtumia mtume wao 😀😀😀😀
Sasa yesu na mudi si walewale dini zao tumeletewa na ngozi nyeupe????YESU pia alivaa kobaz au ww unayo picha YESU alivaa MOKA!! Ukiona YESU kavaa moka!! Plz mwangalie vizuli pengine uyo Mwamposa sio YESU!!!
Milungi au bangi?Madawa ya kulevya ni mabaya sana