Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃😃 hili jina la kobazi naona lina trend sana humu, lilianzaje na nini hasa maanake? Nachekaga sana kila ninapo lisomaEwe kobazi letu mkuu sheikh Ayattolah Khomein masambusa unaenda kuwaponza makobazi wenzetu hivi hivi tunaona🥹🥹🥹
Saivi mpaka bongo wanaweza kutuma kitu within 10minutes tukatafutana wanashusha drones kama njiwa tu porini wameadvance haraka sana kwenye sector ya military mpaka US kapagawa alishindwa kumchapa kipindi hana chochote akiwa na shogaake Saudia saivi ndio basi tenaHawa houth miaka ile ulikuwa unawaona na makanzu yao fulu vilemba sasa hivi mpaka unifom wanazo
Wewe jamaa wewe nguvu ya hizbullah ipo south Lebanon huko ndio wanatawala ndio jeshi ndio polisi ndio kila kitu sio Beirut ,kule Beirut wao wanamajengo na ofisi mitaa ya Dahiyah south beirut na kule central na north ni makazi ya serikali yao ya umoja wa kitaifa ya Lebanon.Unapaswa kukumbuka malengo ya oparesheni ya Israeli kusini mwa lebanoni nikuwaondoa Hezbollah mpakani na Israeli kuwasukumia ndani Ili raia wa Israeli waliohama kaskazini warudi,msemaji wa hezbolah akasema Hilo ahiwezekani raia wa Israeli kurudi kaskazini lkn baada ya kipigo hesbolah wamekubali kuondoka kusini na raia wa Israeli wamerudi kaskazini maana Hezbollah harushi Tena roketi
Israeli anapigana kwa akili sana,alijua kuwa viongozi na nguvu ya Hezbollah haipo kusini bali beiruti ndo maana akaanza kushusha Yale magholofa ambamo viongozi wakubwa wa Hezbollah walifia pia
Na ndo maana Hesbolah akasalim amri haraka
Kobazi ni sandals au viatu vya wazi ambavyo hupenda sana kuvaa waislamu, nadhani ndiyo viatu alivyokuwa anamtumia mtume wao 😀😀😀😀😃😃😃 hili jina la kobazi naona lina trend sana humu, lilianzaje na nini hasa maanake? Nachekaga sana kila ninapo lisoma
Viongozi wakuu wa Hezbollah waliuwawa wakiwa wapi?Wewe jamaa wewe nguvu ya hizbullah ipo south Lebanon huko ndio wanatawala ndio jeshi ndio polisi ndio kila kitu sio Beirut ,kule Beirut wao wanamajengo na ofisi mitaa ya Dahiyah south beirut na kule central na north ni makazi ya serikali yao ua umoja wa kitaifa ya Lebanon.
Walipo viongozi ndio nguvu ilipo ????? Na hizbullah iliomba ceasefire baada ya viongozi kuuliwa au mapigano yaliendelea headqurter ni majengo tu ila fighting forces ndio nguvu yao na kwa wao iko south lebanon na ndio maana Netanyahu anataka watoke huko south lebanon.Viongozi wakuu wa Hezbollah waliuwawa wakiwa wapi?
Basi hapo ndo myahudi kawashinda anapiga kichwa kiwiliwili kinanyooka hapo Beiruti ndo palikuwa commanding postWalipo viongozi ndio nguvu ilipo ????? Na hizbullah iliomba ceasefire baada ya viongozi kuuliwa au mapigano yaliendelea headqurter ni majengo tu ila fighting forces ndio nguvu yao na kwa wao iko south lebanon na ndio maana Netanyahu anataka watoke huko south lebanon.
we huwaoni wanavyopenda kutinga makobazi na vilemba vile ila kabla ya kobazi walikua kwenye hivi😃😃😃 hili jina la kobazi naona lina trend sana humu, lilianzaje na nini hasa maanake? Nachekaga sana kila ninapo lisoma
Wadanganye wenzio wageuzwe majivuIcho unachokiona ni toys tu mazee jamaaa wapo na midude inatembeya kas kas kupitiliza zayuni kachoka kuusu Yemen. Mana imeanza kupigwa kitambo kweli lkn Yemen bado inarusha vitu hatari hatari.
Yeah!....wamekuwa serikali kabisa.Hawa houth miaka ile ulikuwa unawaona na makanzu yao fulu vilemba sasa hivi mpaka unifom wanazo
Hamas gani hao wanaopigwa mbona ni raia ndio wahanga wa hii vita? Hamas bado wanaua wanajeshi kila siku lazima idf wafe ndani ya gazaBasi hapo ndo myahudi kawashinda anapiga kichwa kiwiliwili kinanyooka hapo Beiruti ndo palikuwa commanding post
Hesbolah wametii Israeli ila Israeli haijatii Heabolah
Hesbolah waliingia mapiganoni ili kuwalazimisha Israeli wasiwapige Hamasi lkn Hilo hawajafanikiwa kwani hamasi anaendelea kupigwa
Israeli waliwataka Hesbolah kutoingilia mapigano, kwasasa hesbolah wametii,
Israeli waliwataka Hesbolah waondoke mpakani Hilo pia wametii
Nazani nimekurahisishia kidogo hapo
Hao hamasi si wanatumia raia kama ngao lazima wafe tuHamas gani hao wanaopigwa mbona ni raia ndio wahanga wa hii vita? Hamas bado wanaua wanajeshi kila siku lazima idf wafe ndani ya gaza
Kwa hyo ww un achagulia watu mungu wa kweli na asie wa ukweli au mke mwema au asie mwema hv unakili au matope jee yule anae abudu ngombe ambae ww unamla utamwitaje umejaza matope kwa bichwa tikitiHiyo ndio Raha ya kupigana na MATAIFA yasiyokuwa na MUNGU WA UKWELI UNAJIAMLIA LEO PIGA IRAN, KESHO SYRIA, KESHOKUTWA HEZBOLLAH, MTONDOGOO WAHOUTH WENGINE WAKILETA SHOBO mnawatumia virus
Lengo la hizbullah hostility ni kuwapunguza madhila hamas na wamefanikiwa in such a small place kama gaza its over a year sasa muisrael bado anaendelea kupigana yaani ameshindwa completely kumdisarm hamas ila amefanikiwa kuharibu miji na majengo kama sio hostility ya hizbullah large force ya idf ingekuwa gaza almost entire army ingekuwa huko mambo yangekuwa magumu zaidi kwa hamas ila kwa kuhofia hizbullah kuvamia galilee idf alipreserve na kugawa jeshi ilikulinda kaskazini pia hii imewapa ahueni pia hamas na ndio maana wapo hadi leo,Basi hapo ndo myahudi kawashinda anapiga kichwa kiwiliwili kinanyooka hapo Beiruti ndo palikuwa commanding post
Hesbolah wametii Israeli ila Israeli haijatii Heabolah
Hesbolah waliingia mapiganoni ili kuwalazimisha Israeli wasiwapige Hamasi lkn Hilo hawajafanikiwa kwani hamasi anaendelea kupigwa
Israeli waliwataka Hesbolah kutoingilia mapigano, kwasasa hesbolah wametii,
Israeli waliwataka Hesbolah waondoke mpakani Hilo pia wametii
Nazani nimekurahisishia kidogo hapo