Waasi waliomuangusha Assad wa Syria waapa kuendeleza vita hadi kuiteka Yerusalem

Waasi waliomuangusha Assad wa Syria waapa kuendeleza vita hadi kuiteka Yerusalem

US na Israel wanajaribu kuzuia hicho.

Wajaribu kuharibu silaha na kusambaratisha makundi mengine.
Wanasambaratisha ISIS,ila hapo ngoma inogile, waislam wanaharakati kuibonda israel huwa ipo kichwani mwao
 
Israel ANACHINJA KAMA KUKU VIONGOZI WA NCHI ZA KIAARABU MAGAIDI, anapopoa kwenye helicopter Viongozi, kuijaribu Israel ni kujitakia UMAUTI kwa Viongozi bwa hivyo vikundi, watajibiwa soon kwa kauli hiyo, watapopolewa Viongozi wao soon
Wamuulize Yahaya na Nasrallah
 
Data ndugu wkt uko Israe walijua watafekwa kwa wingi wakawai kupitosha Sheria ya kuzuia Habari zao zisitoke. Tofaut na upande w pili watu wapo huru kupost chochote. MAKOMANDO MBONA AWENGI WAMEKUFA ukiacha IDF wakawaida amba ndio usiseme utaona tu vilio vyao IDF.msimu wamezika IDF wengi acha Ubishi
Pia Waisrael wanafuta picha za vifo kwenye IDF picha nyingi wamefuta
 
Ha haaaa tena hao waasi wa Syria, nasema kwa uhakika, Israel ikiamua inawafuta in a single day kwa njia ya Anga, tena hutawaona tena, sema sasa hivi Israel inafurahia sana Assad katolewa, kwani alikuwa rafiki wa Iran, so Assad kakimbia ni furaha kwa Israel kwa sasa..!!

Ila nasema ila, siku chache zijazo hao waasi wakijichanganya wakaanza kuichokoza Israel, hapo itakuwa mwisho wao kabisa kabisa, subiri uone.
Trump hatoi hela za vita mkuu
 
we unahisi Assad katolewa na nan ?
Iran ana focus kwenye front ya Lebanon na Houthi, Russia ana focus Ukraine so interest zao Syria zimeisha ndio maana waasi walitumia wiki 2 tu kuchukua nchi bila upinzani mkubwa.

Ila hao Russia na Iran wangetumia airforce si wangemalizwa tu kama miaka yote!! Assad wa useless to them
 
Ha haaaa tena hao waasi wa Syria, nasema kwa uhakika, Israel ikiamua inawafuta in a single day kwa njia ya Anga, tena hutawaona tena, sema sasa hivi Israel inafurahia sana Assad katolewa, kwani alikuwa rafiki wa Iran, so Assad kakimbia ni furaha kwa Israel kwa sasa..!!

Ila nasema ila, siku chache zijazo hao waasi wakijichanganya wakaanza kuichokoza Israel, hapo itakuwa mwisho wao kabisa kabisa, subiri uone.
Assad alikua sio tishio kwa Israel kama hawa HTS. Kingine unadhani HTS itakataa kufanya kazi na Iran iende kuwakumbatia Israel? You're dreaming
 
Israel ground operation hawezi wakiamua kwenda nae watampa tabu sana. Ataishia kuuwa Wananchi wa Syria na kuangusha majengo ndio kazi anayoiweza
 
Assad alikua sio tishio kwa Israel kama hawa HTS. Kingine unadhani HTS itakataa kufanya kazi na Iran iende kuwakumbatia Israel? You're dreaming
HTS ni wasunni.

Moja ya ndoto za ma Ayatola wa Iran ambao ni washia, ni kumaliza wasunni wote duniani.

Kamwe Sunni na Shia hawawezi kuelewana.
 
Niliwaambia

Niliwaambia Mmepanda usafiri w ngili wakizani punda. Sasa kazikazi adi JERUSALEM
Wanafiki sana hao
Ooh Israel na us ndio wameunda hili group
Sasa kwanini waisrael wachukue kipande tena Golan heights?
Paka kabisa hao
 
Trump hatoi hela za vita mkuu


Trump hatoi hela kwa Ukraine kasema, sio Israel, hujui kabisa kuhusu Israel na Trump..!! Tena Trump kasema ata wipe out Iran, kasema wazi wazi, kwa Ukraine hatoi hela kabisa, but kwa Israel, atatoa hela kibao na Iran najua kabisa inaenda kupotea like Iraq, Libya, Syria, pia Yemen itaisha kabisa kwa Trump..!! Najua huamini, mark my words alafu baada ya mwaka utakuja kusema haya nayoandika..!!
 
Hao ni Maajent wanapima upepo, kama huyu Mr FAFO.
aPA6bXg_460s.jpg
 
Naam, umeniita?

Tatizo nini?
Baby, una maoni Gani na kupinduliwa kwa Assad.

Alafu unaona Israel anavowasaidia Iran na Washirika wake anahakikisha Silaha hatari za Assad haziingi mikononi wa HTS au makundi mengine ya Kissuni... Hii inahakikisha wakija kupigana tena wanatumia Silaha za kawaida sana.
 
Taliban hails Islamist victory in Syria

The government in Kabul has welcomed the fall of Damascus to opposition forces

The Taliban government in Afghanistan has congratulated the coalition of armed opposition groups that seized Damascus, Syria, toppling President Bashar Assad.

A loose collection of fighters led by the Islamist group Hayat Tahrir al-Sham (HTS) launched a surprise offensive late last month and quickly overran most of the territory held by government forces. The offensive culminated in the capture of the Syrian capital on Sunday.

Although HTS is listed as a terrorist organization by the UN and US, the group has promised to protect Syria’s religious minorities, including Christians.

Afghanistan’s Foreign Ministry released a statement on Sunday, congratulating “the leadership of Hayat Tahrir al-Sham (HTS) movement and the people of Syria on the recent advancements resulting in the removal of the factor of conflict and instability, and the fall of the capital Damascus.”

“We express hope that the remaining phases of the revolution will be managed in a way that secures a peaceful, unified and stable system,” the statement read.
 
Hapo watafunga break, wakiendelea Israel inaanza kujenga makazi ya wayahudi Damascus, halafu watalia weee kuomba dunia iwasaidie bila kupata suluhu.

Sasa badala kuchukua kilicho chao wamevimba vichwa na kuanza kujiona ni wakombozi wa uislamu.

Wakijaribu hata hiyo Syria wanaipoteza.
 
Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem.

View attachment 3172882

Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa.

View attachment 3172884


Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila hasimu amepata adui mpya.

Tuendelee kuombea amani
Israel huwa anafyeka kabla hawajajipanga .. Rabbi wa Israel amesema yeyote atakaye jaribu kutaka kuipiga Israel ataangamia yeye
 
Back
Top Bottom