Wababa na Wamama wa Kimachame mnachangia sana kuvunja ndoa za mabinti zenu kwa tamaa za mali

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
4,994
Reaction score
9,625
Habari zenu,

Kwanini kila siku mlaumiwe nyinyi tu wamama wa kimachame kwa kuhusika na vifo vya waume zenu???

Wababa wa kimachame wekeni utaratibu wa kurithisha mali mabinti zenu, sio mnawapa watoto wa kiume peke yao.

Nyie kina baba huwa mna tabia ya kuwambia mabinti zenu kuwa kwenu hakuna kupata mali wala urithi bali mali na urithi wa binti zenu upo kwa waume zao watakao waoa. Automatically, binti anakuwa akielewa kuwa mali ya mumewe ni ya kwake na ana haki nayo licha ya kuwa hajachangia chochote katika kuitafuta.

Wamama wa kichaga wenye asili ya kimachame huwa mna tamaa sana na kujifanya mna sauti kubwa mbele ya waume zenu. Kabla hamjakimbilia kuua waume zenu basi hakikisheni mnaenda kuomba urithi kwa wazee wenu.. Ok najua ni bahati kukuta baba zenu wapo hai maana yamkini walishauliwa na mama zenu.

Hii video hapa chini imeniongezea sababu za milioni kutokuoa mwanamke wa kichaga mwenye asili ya machame...ok kuweka mambo sawa nimeshapiga pini kuoa mwanamke yoyote wa kichaga.

Taarifa iwafikie wote wanaotoka kwenye koo za kina Mushi, kimaro,Nkya,Swai, massawe, Lema,urassa,Ndossi, Meena, uronu,mbasha, Silaa,Kweka,Munisi, Mboya,Mafuwe ,somi na Mbowe.

Ili kuepusha mauaji mengi ndani ya taasisi ya ndoa, nawashauri Wachaga muoane na wachaga wenzenu. Huenda mabinti zenu wakahofia kuleta tamaa za kutaka kudhulumu mali za waume zao wa kichaga.
 
Habari zenu,

Kwanini kila siku mlaumiwe nyinyi tu wamama wa kimachame kwa kuhusika na vifo vya waume zenu???

Wababa wa kimachame wekeni utaratibu wa kurithisha mali mabinti zenu, sio mnawapa watoto wa kiume peke yao.

Nyie kina baba huwa mna tabia ya kuwambia mabinti zenu kuwa kwenu hakuna kupata mali wala urithi bali mali na urithi wa binti zenu upo kwa waume zao watakao waoa. Automatically, binti anakuwa akielewa kuwa mali ya mumewe ni ya kwake na ana haki nayo licha ya kuwa hajachangia chochote katika kuitafuta.

Wamama wa kichaga wenye asili ya kimachame huwa mna tamaa sana na kujifanya mna sauti kubwa mbele ya waume zenu. Kabla hamjakimbilia kuua waume zenu basi hakikisheni mnaenda kuomba urithi kwa wazee wenu.. Ok najua ni bahati kukuta baba zenu wapo hai maana yamkini walishauliwa na mama zenu.

Hii video hapa chini imeniongezea sababu za milioni kutokuoa mwanamke wa kichaga mwenye asili ya machame...ok kuweka mambo sawa nimeshapiga pini kuoa mwanamke yoyote wa kichaga.

Taarifa iwafikie wote wanaotoka kwenye koo za kina Mushi, kimaro,Nkya,Swai, massawe, Lema,urassa,Ndossi, Meena, uronu,mbasha, Silaa,Kweka,Munisi, Mboya,Mafuwe ,somi na Mbowe.
View attachment 3686576
Aione anti-chagga GT ERoni
 
Hii video hapa chini imeniongezea sababu za milioni kutokuoa mwanamke wa kichaga mwenye asili ya machame...ok kuweka mambo sawa nimeshapiga pini kuoa mwanamke yoyote wa kichaga.
Hii haitakusaidia kama kweli ulishakuwa na mtu na ukawa na malengo nae mtengeneze utakavyo vita haikimbiwi wala haisusiwi kama umepiga chini haikuwa na haja yakuleta uzi hapa ungeleta report ya nini ulifanya iyo mila potofu ikaaondoka ina maana basi wanawake wote wa machame wanafanana bila shaka sio kweli wapo waliowa wamachame na waliolewa na hao wamachame na mambo yanaenda super.
 
Duuu wamachame na pesa , sawa CCM na madaraka

Kuna watu wanaipenda pesa ...mm Huwa najua ni wachaga wote ndyo wauwaji kumbe Kuna ( sub tribe kanaitwa wamachame)
Note✍️
Yaani hadi wachaga wa maeneo mengine huwa wanaogopa wanawake wa machame. Imagine unaoa mwanamke ukijipa imani kuwa mnajenga kesho bora ya vizazi vyenu halafu yeye anakuzunguka kuanzisha kesho bora ya kwake peke yake.

Jamaa anaumwa kansa ya tumbo, mwanamke kashaenda ardhi kubadilisha hati kuweka majina ya watoto na jina lake kama msimamizi mkuu wa mali. Mbali na hayo tayari alikuwa kwenye mipango ya kutafuta talaka. Which means jamaa alikuwa anaachwa akiwa mikono mitupu ili hali yupo anaugua maradhi makubwa ya kansa.
 
Back
Top Bottom