Wababa na Wamama wa Kimachame mnachangia sana kuvunja ndoa za mabinti zenu kwa tamaa za mali

Wababa na Wamama wa Kimachame mnachangia sana kuvunja ndoa za mabinti zenu kwa tamaa za mali

CC: Taarifa iwafikie wote wanaotoka kwenye koo za kina Mushi, kimaro,Nkya,Swai, massawe, Lema,urassa,Ndossi, Meena, uronu,mbasha, Silaa,Kweka,Munisi, Mboya,Mafuwe ,somi na Mbowe.
Una mali gani wewe za kuhofia kuuwawa? Hebu tulia huko usitupigie kelele bwana
 
Huu ni ukatili mkubwa sana, nimekaa kwenye field ya afya kitengo cha Kansa kwa miaka kadhaa, moja ya kansa yenye mateso makali ni ya tumbo hasa utumbo mpana kwenda kwenye haja kubwa.
Mtu akiumwa anahitaji faraja na uangalizi wa hali ya juu ktk matibabu yake. Yanapotokea mambo kama haya inakuwa ni hatari mno kwa afya ya mgonjwa.
Kesi za hili kabila kuua waume zao zimekuwa ni nyingi sasa.
Mwamba kaona bora akafie kwenye mikono ya serikali kuliko kudhalilishwa na mwanamke
 
Huoni kama mheshimiwa Mkono Mmoja andiko lako hili linachochea uhasama kati ya makabila mengine kwa uhalisia ni kwamba mambo yamebadilika sana kwa sasa hapo awali machame walikuwa hawaowani na wachaga wengine kama wakibosho but migogoro hiyo ilisababishwa na vita na sasa hayo maagano hayapo wanaowana bila kwahiyo hoja yangu hapo ni kwamba mambo mengi ni mapokeo sidhani kama kutoa mali ni jambo baya wapo hata watoto wakike wanaopewa mali inategemea tuu na ukoo au familia na kwa asilimia kubwa hao mabinti ndio wanaojenga kwao hivyo andiko lako lina ukakasi maana inaonekana kuna jambo hukutendewa au umetendewa na mmachame mmoja ukatoa hukumu kwa wamachame wote.
kua uyaone mdogo wangu
 
Ili kuepusha mauaji mengi ndani ya taasisi ya ndoa, nawashauri Wachaga muoane na wachaga wenzenu. Huenda mabinti zenu wakahofia kuleta tamaa za kutaka kudhulumu mali za waume zao wa kichaga.
Labda wewe ni mgeni kwenye hili pole. Sana na usiwajaribu watakuumbua
 
Back
Top Bottom