Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
- Thread starter
- #21
Sio unasikia bali ndio uhalisia.Nasikia kule Moshi hata wachaga wengine wanawaogopa,ukisema unaoa Machame au kuolewa nao lazima uwekwe kikao kwanza na wazazi...

Wamenikosa. Nimepitia Case study ya Laurent Kweka.Wewe ushaingia kwenye mfumo
sio poaIla wachaga wengi hasa chini ya miaka 25 baba zao siyo wachagga. Ila wanatambulika kama Wachaga kwasababu ya mama zao.
Mila potovu ya kimachame itaondoka tu endapo wazazi wa kiume wataanza kuwarithisha mali mabinti zao wa kike na si kuwaambia kuwa mali na urithi wao upo kwa waume zao.Hii haitakusaidia kama kweli ulishakuwa na mtu na ukawa na malengo nae mtengeneze utakavyo vita haikimbiwi wala haisusiwi kama umepiga chini haikuwa na haja yakuleta uzi hapa ungeleta report ya nini ulifanya iyo mila potofu ikaaondoka ina maana basi wanawake wote wa machame wanafanana bila shaka sio kweli wapo waliowa wamachame na waliolewa na hao wamachame na mambo yanaenda super.
Yaani hadi wachaga wa maeneo mengine huwa wanaogopa wanawake wa machame. Imagine unaoa mwanamke ukijipa imani kuwa mnajenga kesho bora ya vizazi vyenu halafu yeye anakuzunguka kuanzisha kesho bora ya kwake peke yake.
Jamaa anaumwa kansa ya tumbo, mwanamke kashaenda ardhi kubadilisha hati kuweka majina ya watoto na jina lake kama msimamizi mkuu wa mali. Mbali na hayo tayari alikuwa kwenye mipango ya kutafuta talaka. Which means jamaa alikuwa anaachwa akiwa mikono mitupu ili hali yupo anaugua maradhi makubwa ya kansa.
Daah ,inatisha
Huoni kama mheshimiwa Mkono Mmoja andiko lako hili linachochea uhasama kati ya makabila mengine kwa uhalisia ni kwamba mambo yamebadilika sana kwa sasa hapo awali machame walikuwa hawaowani na wachaga wengine kama wakibosho but migogoro hiyo ilisababishwa na vita na sasa hayo maagano hayapo wanaowana bila kwahiyo hoja yangu hapo ni kwamba mambo mengi ni mapokeo sidhani kama kutoa mali ni jambo baya wapo hata watoto wakike wanaopewa mali inategemea tuu na ukoo au familia na kwa asilimia kubwa hao mabinti ndio wanaojenga kwao hivyo andiko lako lina ukakasi maana inaonekana kuna jambo hukutendewa au umetendewa na mmachame mmoja ukatoa hukumu kwa wamachame wote.Mila potovu ya kimachame itaondoka tu endapo wazazi wa kiume wataanza kuwarithisha mali mabinti zao wa kike na si kuwaambia kuwa mali na urithi wao upo kwa waume zao.
Asante kwa kutasanua koo za kimachame.Habari zenu,
Kwanini kila siku mlaumiwe nyinyi tu wamama wa kimachame kwa kuhusika na vifo vya waume zenu???
Wababa wa kimachame wekeni utaratibu wa kurithisha mali mabinti zenu, sio mnawapa watoto wa kiume peke yao.
Nyie kina baba huwa mna tabia ya kuwambia mabinti zenu kuwa kwenu hakuna kupata mali wala urithi bali mali na urithi wa binti zenu upo kwa waume zao watakao waoa. Automatically, binti anakuwa akielewa kuwa mali ya mumewe ni ya kwake na ana haki nayo licha ya kuwa hajachangia chochote katika kuitafuta.
Wamama wa kichaga wenye asili ya kimachame huwa mna tamaa sana na kujifanya mna sauti kubwa mbele ya waume zenu. Kabla hamjakimbilia kuua waume zenu basi hakikisheni mnaenda kuomba urithi kwa wazee wenu.. Ok najua ni bahati kukuta baba zenu wapo hai maana yamkini walishauliwa na mama zenu.
Hii video hapa chini imeniongezea sababu za milioni kutokuoa mwanamke wa kichaga mwenye asili ya machame...ok kuweka mambo sawa nimeshapiga pini kuoa mwanamke yoyote wa kichaga.
Taarifa iwafikie wote wanaotoka kwenye koo za kina Mushi, kimaro,Nkya,Swai, massawe, Lema,urassa,Ndossi, Meena, uronu,mbasha, Silaa,Kweka,Munisi, Mboya,Mafuwe ,somi na Mbowe.
View attachment 3686576
Mkuu case zipo nyingi sana kuhusu hao watu. Mimi mwenyewe hapa nina case moja ya jambo kama hilohilo la mmama wa kimachame wala sio mtu mzima sana.Huoni kama mheshimiwa Mkono Mmoja andiko lako hili linachochea uhasama kati ya makabila mengine kwa uhalisia ni kwamba mambo yamebadilika sana kwa sasa hapo awali machame walikuwa hawaowani na wachaga wengine kama wakibosho but migogoro hiyo ilisababishwa na vita na sasa hayo maagano hayapo wanaowana bila kwahiyo hoja yangu hapo ni kwamba mambo mengi ni mapokeo sidhani kama kutoa mali ni jambo baya wapo hata watoto wakike wanaopewa mali inategemea tuu na ukoo au familia na kwa asilimia kubwa hao mabinti ndio wanaojenga kwao hivyo andiko lako lina ukakasi maana inaonekana kuna jambo hukutendewa au umetendewa na mmachame mmoja ukatoa hukumu kwa wamachame wote.
Mkuu hapa una maana gani?Ila wachaga wengi hasa chini ya miaka 25 baba zao siyo wachagga kama ilivyo tu kwa wakikuyu Kenya. Ila wanatambulika kama Wachaga kwasababu ya mama zao.
Kweka ilibid aanze na huyu mama mkwe mshenziHabari zenu,
Kwanini kila siku mlaumiwe nyinyi tu wamama wa kimachame kwa kuhusika na vifo vya waume zenu???
Wababa wa kimachame wekeni utaratibu wa kurithisha mali mabinti zenu, sio mnawapa watoto wa kiume peke yao.
Nyie kina baba huwa mna tabia ya kuwambia mabinti zenu kuwa kwenu hakuna kupata mali wala urithi bali mali na urithi wa binti zenu upo kwa waume zao watakao waoa. Automatically, binti anakuwa akielewa kuwa mali ya mumewe ni ya kwake na ana haki nayo licha ya kuwa hajachangia chochote katika kuitafuta.
Wamama wa kichaga wenye asili ya kimachame huwa mna tamaa sana na kujifanya mna sauti kubwa mbele ya waume zenu. Kabla hamjakimbilia kuua waume zenu basi hakikisheni mnaenda kuomba urithi kwa wazee wenu.. Ok najua ni bahati kukuta baba zenu wapo hai maana yamkini walishauliwa na mama zenu.
Hii video hapa chini imeniongezea sababu za milioni kutokuoa mwanamke wa kichaga mwenye asili ya machame...ok kuweka mambo sawa nimeshapiga pini kuoa mwanamke yoyote wa kichaga.
Taarifa iwafikie wote wanaotoka kwenye koo za kina Mushi, kimaro,Nkya,Swai, massawe, Lema,urassa,Ndossi, Meena, uronu,mbasha, Silaa,Kweka,Munisi, Mboya,Mafuwe ,somi na Mbowe.
View attachment 3686576
😂😂😂tunatoa onyo mapema...sisi ni wakurya wa sirari hatuna mchezo ktk mali zetu
Huu ni ukatili mkubwa sana, nimekaa kwenye field ya afya kitengo cha Kansa kwa miaka kadhaa, moja ya kansa yenye mateso makali ni ya tumbo hasa utumbo mpana kwenda kwenye haja kubwa.Yaani hadi wachaga wa maeneo mengine huwa wanaogopa wanawake wa machame. Imagine unaoa mwanamke ukijipa imani kuwa mnajenga kesho bora ya vizazi vyenu halafu yeye anakuzunguka kuanzisha kesho bora ya kwake peke yake.
Jamaa anaumwa kansa ya tumbo, mwanamke kashaenda ardhi kubadilisha hati kuweka majina ya watoto na jina lake kama msimamizi mkuu wa mali. Mbali na hayo tayari alikuwa kwenye mipango ya kutafuta talaka. Which means jamaa alikuwa anaachwa akiwa mikono mitupu ili hali yupo anaugua maradhi makubwa ya kansa.
Hao watu wote ni hivyo hivyo wanapenda pesa kuliko utuDuuu wamachame na pesa , sawa CCM na madaraka
Kuna watu wanaipenda pesa ...mm Huwa najua ni wachaga wote ndyo wauwaji kumbe Kuna ( sub tribe kanaitwa wamachame)
Note✍️
Wachaga wengi hasa chini ya miaka 25 baba zao siyo wachagga.Mkuu hapa una maana gani?
Mtoa mada uko sahihi kabisa sio wa Machame tuh yaani wachaga wote ndio utaratibu wao Asante Sana kupitia mada yako umeokoa vijana wengi Sana naamini wapo waliokuelewa watakaokaza fuzu basi ikawe heri.Habari zenu,