Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
tunatoa onyo mapema...sisi ni wakurya wa sirari hatuna mchezo ktk mali zetuKumekuchaaa!! 😂😂😂
ni nomaAisee, hii ni hatari sana
Kuna kauli fulani inasemaga eti hapendwi mtu bali pochi yake yaani pesa na vitu anavyomiliki, nasikia hata wakiwa ndoani hisia zao zipo mbali mpaka uwapige na minoti noti ndiyo wanasisimkani noma
Machame inaongoza kwa ma single mama..Wanawake zao wanaamini kuwa wanawezaKuna kauli fulani inasemaga eti hapendwi mtu bali pochi yake yaani pesa na vitu anavyomiliki, nasikia hata wakiwa ndoani hisia zao zipo mbali mpaka uwapige na minoti noti ndiyo wanasisimka
uliogopa kutangulia?Kuna Mchagga mmoja wa huko Machame hapa katikati nilienda nae nikaona pigo km sizielewi elewi hivi nikapiga chini fasta, nani anataka kuchungulia kaburi lake?
Wanaongoza kwa kuwapeleka wenzi wao ahera madukaniMachame inaongoza kwa ma single mama..Wanawake zao wanaamini kuwa wanaweza
Aione anti-chagga GT ERoniHabari zenu,
Kwanini kila siku mlaumiwe nyinyi tu wamama wa kimachame kwa kuhusika na vifo vya waume zenu???
Wababa wa kimachame wekeni utaratibu wa kurithisha mali mabinti zenu, sio mnawapa watoto wa kiume peke yao.
Nyie kina baba huwa mna tabia ya kuwambia mabinti zenu kuwa kwenu hakuna kupata mali wala urithi bali mali na urithi wa binti zenu upo kwa waume zao watakao waoa. Automatically, binti anakuwa akielewa kuwa mali ya mumewe ni ya kwake na ana haki nayo licha ya kuwa hajachangia chochote katika kuitafuta.
Wamama wa kichaga wenye asili ya kimachame huwa mna tamaa sana na kujifanya mna sauti kubwa mbele ya waume zenu. Kabla hamjakimbilia kuua waume zenu basi hakikisheni mnaenda kuomba urithi kwa wazee wenu.. Ok najua ni bahati kukuta baba zenu wapo hai maana yamkini walishauliwa na mama zenu.
Hii video hapa chini imeniongezea sababu za milioni kutokuoa mwanamke wa kichaga mwenye asili ya machame...ok kuweka mambo sawa nimeshapiga pini kuoa mwanamke yoyote wa kichaga.
Taarifa iwafikie wote wanaotoka kwenye koo za kina Mushi, kimaro,Nkya,Swai, massawe, Lema,urassa,Ndossi, Meena, uronu,mbasha, Silaa,Kweka,Munisi, Mboya,Mafuwe ,somi na Mbowe.
View attachment 3686576
Hii haitakusaidia kama kweli ulishakuwa na mtu na ukawa na malengo nae mtengeneze utakavyo vita haikimbiwi wala haisusiwi kama umepiga chini haikuwa na haja yakuleta uzi hapa ungeleta report ya nini ulifanya iyo mila potofu ikaaondoka ina maana basi wanawake wote wa machame wanafanana bila shaka sio kweli wapo waliowa wamachame na waliolewa na hao wamachame na mambo yanaenda super.Hii video hapa chini imeniongezea sababu za milioni kutokuoa mwanamke wa kichaga mwenye asili ya machame...ok kuweka mambo sawa nimeshapiga pini kuoa mwanamke yoyote wa kichaga.
Wewe ushaingia kwenye mfumotunatoa onyo mapema...sisi ni wakurya wa sirari hatuna mchezo ktk mali zetu
Yaani hadi wachaga wa maeneo mengine huwa wanaogopa wanawake wa machame. Imagine unaoa mwanamke ukijipa imani kuwa mnajenga kesho bora ya vizazi vyenu halafu yeye anakuzunguka kuanzisha kesho bora ya kwake peke yake.Duuu wamachame na pesa , sawa CCM na madaraka
Kuna watu wanaipenda pesa ...mm Huwa najua ni wachaga wote ndyo wauwaji kumbe Kuna ( sub tribe kanaitwa wamachame)
Note✍️