Wababa na Wamama wa Kimachame mnachangia sana kuvunja ndoa za mabinti zenu kwa tamaa za mali

Ila wachaga wengi hasa chini ya miaka 25 baba zao siyo wachagga kama ilivyo tu kwa wakikuyu Kenya. Ila wanatambulika kama Wachaga kwasababu ya mama zao.
 
Mila potovu ya kimachame itaondoka tu endapo wazazi wa kiume wataanza kuwarithisha mali mabinti zao wa kike na si kuwaambia kuwa mali na urithi wao upo kwa waume zao.
 
 
Mila potovu ya kimachame itaondoka tu endapo wazazi wa kiume wataanza kuwarithisha mali mabinti zao wa kike na si kuwaambia kuwa mali na urithi wao upo kwa waume zao.
Huoni kama mheshimiwa Mkono Mmoja andiko lako hili linachochea uhasama kati ya makabila mengine kwa uhalisia ni kwamba mambo yamebadilika sana kwa sasa hapo awali machame walikuwa hawaowani na wachaga wengine kama wakibosho but migogoro hiyo ilisababishwa na vita na sasa hayo maagano hayapo wanaowana bila kwahiyo hoja yangu hapo ni kwamba mambo mengi ni mapokeo sidhani kama kutoa mali ni jambo baya wapo hata watoto wakike wanaopewa mali inategemea tuu na ukoo au familia na kwa asilimia kubwa hao mabinti ndio wanaojenga kwao hivyo andiko lako lina ukakasi maana inaonekana kuna jambo hukutendewa au umetendewa na mmachame mmoja ukatoa hukumu kwa wamachame wote.
 
Asante kwa kutasanua koo za kimachame.
 
Mkuu case zipo nyingi sana kuhusu hao watu. Mimi mwenyewe hapa nina case moja ya jambo kama hilohilo la mmama wa kimachame wala sio mtu mzima sana.
 
Kweka ilibid aanze na huyu mama mkwe mshenzi
 
Huu ni ukatili mkubwa sana, nimekaa kwenye field ya afya kitengo cha Kansa kwa miaka kadhaa, moja ya kansa yenye mateso makali ni ya tumbo hasa utumbo mpana kwenda kwenye haja kubwa.
Mtu akiumwa anahitaji faraja na uangalizi wa hali ya juu ktk matibabu yake. Yanapotokea mambo kama haya inakuwa ni hatari mno kwa afya ya mgonjwa.
Kesi za hili kabila kuua waume zao zimekuwa ni nyingi sasa.
 
Duuu wamachame na pesa , sawa CCM na madaraka

Kuna watu wanaipenda pesa ...mm Huwa najua ni wachaga wote ndyo wauwaji kumbe Kuna ( sub tribe kanaitwa wamachame)
Note✍️
Hao watu wote ni hivyo hivyo wanapenda pesa kuliko utu
 
Mtoa mada uko sahihi kabisa sio wa Machame tuh yaani wachaga wote ndio utaratibu wao Asante Sana kupitia mada yako umeokoa vijana wengi Sana naamini wapo waliokuelewa watakaokaza fuzu basi ikawe heri.
 
Nimewahi kuwa na mahusiano na mwanamke wa maeneo ya huko uchagano, kibosho hukooo. Usemayo mleta mada ya ukweli kwa zaidi ya 90%. Pia hizi mada humu ndani zimeshaletwa na kujadiliwa na wengi kuhusu madai haya haya. Vijana wa kiumo kuoa huko Kaskazini tuwaze mara mbilimbili, kwa bahati mbaya hata wanaume wa huko hawataki kuoa wanawake wa kwao, so think twice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…